SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Ndiyo tatizo lenu chawa mnatumia makalio kufikiri.Wivu tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo tatizo lenu chawa mnatumia makalio kufikiri.Wivu tu
Huwezi kuleta kiburi kwa mtu ambaye unajua atakuwajibisha kama wana viburi manake wanajua hawezi kuwafanya chochote. Na ndicho kinatokea anaishia tu kusema mwende mkalitizame mara anawaonea haya wazee waliomzidi umri sasa kuna kiongozi tena hapo na hili alisema mwenyeweUwezo anao Hila anaowasimamia ndo vibuli wameamua makusudi kutosimamiwa Sasa atakuwa anabadili watendaji mbaka lini katiba ingekua inaruhusu angechagua watendaji kutoka vyama vingine wangemsaidia sana
Mbona tayari,ni vibwengo wachache tu wanaojiita chawa wa mama ndiyo wamejitoa ufahamuKuna siku wote tutaongea lugha moja inayoeleweka
Na yeye ni mwovu kwani hao wote ni wateule wake.Rais amezungukwa na Watu waovu kupitiliza, Tumuombee!
sawasawa mwijaku kwenye ubora wako, hata wewe tunapaswa kukutazama pia!Nitaendelea kumuunga mkono mh Rais wetu mpendwa siku zote.Nitakuwa upande wake,nitasimama naye popote alipo na kumtetea popote niwapo, nitasema kwa nguvu zangu zote mazuri yote anayoendelea kuyafanya katika Taifa letu.kila mtu anatambua dhamira njema aliyonayo mh Rais katika Taifa letu. Sote tumeona kazi kubwa aliyoifanya katika secta ya Elimu, Afya, miundombinu,kilimo n.k. Tumeona shule zilijengwa kila eneo,tumeona vyumba vya madarasa zaidi ya elfu 20 vikijengwa,tumeona Elimu ikitolewa bure hadi kidato cha sita,tumeona vituo vya afya vikijengwa kila kona ya Taifa letu.Tumeona leo hii miradi mbalimbali ya maendeleo ikichipua kila sehemu .kwa hakika nitaendelea kuwa pamoja na Rais samia na serikali yake mpaka mwisho.
MbwawashambaWewe ondoka zako kapambane huko maana mamilioni ya watanzania wanaendelea na tunaendelea kuwa pamoja na kumuunga mkono mh Rais.kila mtu anatambua juhudi za mh Rais katika kila Eneo katika kutatua changamoto mbalimbali.sisi watanzania hatuzalishi mafuta na wala hatuna visima vya mafuta hapa nchini.sisi kama zilivyo nchi zingine nyingi tunaagiza mafuta kutoka nje ya nchi,hivyo katika uagizaji lazima ujuwe changamoto huwa hazikosekani hata kidogo.bkuna kuchelewa kufika kwa mafuta nchini kutokana na sababu mbalimbali hasa maeneo ambako yanatoka mpaka kufika hapa nchini.
Rais wetu na serikali yetu siyo wajinga kwamba waache watanzania wahangaike mitaani wakati mafuta yapo nchini. Hiyo haiwezekani na haiwezi kutokea katika serikali ya Rais samia. Wewe huna lolote zaidi ya ubabaishaji tu na kutokuwa na msimamo,wewe ni mnafiki tu na mshamba tu.
Nenda huko kwa hao uliokuwa ukiwaunga mkono na bado utashuhudia mh Rais wetu Dr Samia akipita na kushinda kwa kishindo kikuu uchaguzi ujao.hakuna Mwenye ubavu wala uwezo wa kushindana naye katika sanduku la kura.Hakuna wa kumkwamisha katika uchaguzi ujao .Rais samia ndiye chaguo la watanzania,ndiye kiu ya watanzania ,ndiye aliyepita katika mioyo ya watanzania na ndiye aliyepata kibali mbele za Mungu na watanzania wote kwa mamilioni.
Mimi piaMimi Samia sio Rais wangu
Taja jina lako, namba ya simu na sehemu ulipo ili tukukumbuke kwenye teuziNitaendelea kumuunga mkono mh Rais wetu mpendwa siku zote.Nitakuwa upande wake,nitasimama naye popote alipo na kumtetea popote niwapo, nitasema kwa nguvu zangu zote mazuri yote anayoendelea kuyafanya katika Taifa letu.kila mtu anatambua dhamira njema aliyonayo mh Rais katika Taifa letu. Sote tumeona kazi kubwa aliyoifanya katika secta ya Elimu, Afya, miundombinu,kilimo n.k. Tumeona shule zilijengwa kila eneo,tumeona vyumba vya madarasa zaidi ya elfu 20 vikijengwa,tumeona Elimu ikitolewa bure hadi kidato cha sita,tumeona vituo vya afya vikijengwa kila kona ya Taifa letu.Tumeona leo hii miradi mbalimbali ya maendeleo ikichipua kila sehemu .kwa hakika nitaendelea kuwa pamoja na Rais samia na serikali yake mpaka mwisho.
Mwanangu Dotto Biteko na wenzio pale Wizarani,ili nalo muende mkalitizame![emoji1787]Na huu uzi nao mkautazame
Wivu tu.Ndiyo tatizo lenu chawa mnatumia makalio kufikiri.
Hata Yuda Iskarioti alikuwa ni Mteule wa Masihi wa Mungu Yesu Kristo 😀Na yeye ni mwovu kwani hao wote ni wateule wake.
Wataisoma namba wao wenyeweMbona tayari,ni vibwengo wachache tu wanaojiita chawa wa mama ndiyo wamejitoa ufahamu
Nimekuwa nikimtetea Sana Rais Samia kwenye mambo mbalimbali. Hata kwenye issue ya DP world nilikuwa naona wanamuonea, nimesimama Daima kuona alifanya uamuzi sahihi
Kwa hakika alikuwa na Kura yangu ya kumsogeza mpaka 2030, lakini leo rasmi natangaza simuungi mkono tena na nimeona udhaifu wake.
Mafuta ya petrol na Diesel imekuwa mateso sasa Tanzania. Yaani Rais kashindwa simamia issue ndogo ya Mafuta tunapaki magari, na vyombo vya usafiri, mkoa mzima kuna Petrol station moja tu kwa takribani wiki na hakuna kauli iliotoka? Kwa hakika Mama nchi amepelea.
Nami naunga sasa mkono tutafute mwanaume tena aongoze nchi. Wanawake wameshafeli
Zile kauli za "Ninaomba mkalitazame na hili", nahisi ndio zimetufikisha hapa, mikoani huku petrol na Diesel hakuna. Vituo vya mafuta vimefungwa.
Hii ilitokea mwezi uliopita tukadhani ni bahati mbaya, imetokea na mwezi huu, tafsiri ni kuwa kila mwezi itatulazimu watu wa mikoni kupaki gari zetu kwa wiki moja au zaidi kukiwa hakuna mafuta, lakini pia tukitumia muda kupanga foleni masaa hadi kumi kupata mafuta kwenye station chache mathalani moja inauokuwa imebaki na akiba, na Serikali ipo.
Hivi sio hawa walituaminisha Serikali inatumia na kuagiza mafuta ya miezi mitatu nyuma? Leo wanaficha mafuta kusubiri bei zipande Raia tunaumia. Gari kutoka dar kufika bukoba, musoma, sumbawanga, songea tangu bei kupanda ni siku 3
Rais yupo na hatoi kauli, akitoa anasema naomba na hili mkalitazame...aisee..
Its a time, I'm no longer backing President Samia for Second term of Presidency. Tukomae tu na wanaime hata akiwa badhirifu kuna kuda anatoa Sauti ya Ma
Sikiliza wewe usiye na adabu walaa akili kichwani mwako. Rais Samia Ni Akili kubwa ndio maana tumefanikiwa kupata maendeleo na mafanikio katika kila Eneo na kila secta. Ni kwa akili kubwa ya Rais samia leo hii wakulima wanajivunia kuwa wakulima baada ya kukipa uhai kilimo. Leo hii huduma za afya ,elimu ,maji , miundombinu ni bora kutokana na akili kubwa na maono aliyonayo Rais samiaTukiwaambia huyo ana akili nyepesi mno kukalia kiti kikubwa mtuelewe sasa. Huyo ni bibi tayari mwepesi kama kipepeo
Mmoja kati ya 12,sasa hao wa huyo mamio wote ni waovu hapo unasemaje.Hata Yuda Iskarioti alikuwa ni Mteule wa Masihi wa Mungu Yesu Kristo [emoji3]
We mpuuzi sana yani huoni shida wanazopata wananchi. Mkoa wa Mara mpaka boda boda kauliwa kwa hii issue ya mafuta.Wivu tu