Sawa sisy...pamoja
Na hii iende kwa wazazi wote ambao wanalazimisha watoto wao kuoa, hili suala sio poa wawaache watoto wao wajitafute ili siku wakijipata na isivyo bahati wakayakanyaga basi wasilaumiweHukugundua wakati wa uchumba? Kosea kujenga nyumba kwani utabomoa na kujenga upya, sio kuoa. Vijana, nawaasa, kuoa ni mtihani mgumu sana.
Dah angalau leo umejibu comment yangu nimefarijika kwa kweli, nitumie namba yako nikufanyie muamala faster, I'm very happy to day[emoji16][emoji16][emoji16]Mimi sio mvivu na sio feminist
Kwani wewe una umri gani dogo?ukikua utajitambua
Kila mtu ashinde mechi zake usinipangie wala sijaomba ushauriBado kijana mdogo. Ukiwa mtu mzima utaelewa.
Hili unaloota hata uarabuni huko wanapofuga wanawake sidhani kama ni kwa kiwango hicho.
[emoji23][emoji23][emoji23] hata hawaeleweki nini wanataka. LolMnatuchanganya mlisema mnataka golikipa
Sasa hivi mnaelemewa..
Huyo mbona kaolewa tayari, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]wewe bado hujaoa hao viumbe hawaelekezeki hata upige ngumi sanasana utapata kesi tu..
Ooooh kumekuchaaa!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Subiri kwanza wewe ni ME au KE?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mashangazi rudisheni vitenge mlivyopewa
Kutii masharti ni lazima? Wee shangazii eti unasemajee?Kutii mashart ni lazima,Mimi naona shida sio kutokuwa na kazi ni mvivu ni tabia yake
😀😀kutii ni sheria labda kama sio jambo la kheri analotaka ufanyeKutii masharti ni lazima? Wee shangazii eti unasemajee?
Ndiyo anapaswa kusema naye b..., bila kusema naye sidhani kama ni hotua nzuri. Ndoa ni ya wawili.Lakini b... kuna point ya msingi sana hapo hujaizingatia... hana hisia ya mapenzi tena kwa mkewe.
Katika mahusiano/ndoa, ukipoteza hisia ni point of no return. Ni ngumu sana kurudisha.
Na kupoteza huko hisia ndiko kumemfumbua macho ya kasoro hizo anazozisema juu ya mkewe.
Mapenzi upofu, eti?
Inatokea sometimes kwa baadhi ya watu. na hata mkiongea vipi itabadilika siku moja mbili na baadaye kurudi kule kule. Najua umesema ni miezi minne tu, je mna watoto kabla ya ndoa? Au mna mtoto mtarajiwa? Kama mna watoto au mnategemea mtoto, hapo ni uvumilivu mpaka mtoto akukiwa mkubwa awe independent, then utachukua maamuzi ufanyeje. ila kama hamna watoto au hamtegemei watoto, hiyo hali ya kuyokuwa na raha itaendelea zaidi na zaidi. Chukua maamuzi sahihi. Mkeo siyo ndugu yako.Wakuu nakiri kabisa from heart ya kwamba hii ndoa yangu nilikurupuka sana yapata takribani mienzi minne ya ndoa yangu sina hisia ya mapenzi na nahisi kujuta sana kwenye maisha yangu na sina furaha kabisa.
Yaani sina furaha kabisa wakuu yaani najuta kuoa mwanamke wa chop money yaani yeye ni kula tu na kulala na ni mvivu sana na mbaya zaidi kinachoniuma nimetoa mahari nyingi sana lakini binti ni mvivu sana na nahisi majukumu yamenielemea kabisa.
Tafadhali naombeni ushauri wenu wakuu na nataka nimrudishe mazima kwao ili nikeep furaha yangu.
Msinipopoe wakuu