Sina furaha kwenye ndoa yangu, nahisi nilikurupuka

Madhara ya kuchukua mtoto mkali ,
Chukua kwasukwasu linakua linaogopa kuachwa , kazi kwenda mbele.
 
Pole sana.

Sababu ipi, au sababu zipo zilikupelekea kuoa? Na je, matarajio yako yalikuwa nini baada ya ndoa?

Kwa mtazamo wangu, hali unayoipitia ni ya kawaida sana.
Kabla ya ndoa, kila mmoja wenu ali fake. Hata wewe ulifake kwake kama unamvumilia mapungufu yake. Hata kama huku fake, huenda ulijipa moyo kwamba ukishamuoa atabadilika.

Pambana mkuu,
Hakunaga mkamilifu kwenye safari ya maisha ya ndoa. Ukimuacha huyo, utampata anayekesha macho, pia atakukera.
 
Sijui uvivu una maanisha nn,ila kwangu mie kama mwanamke ni msafi,ananipenda na muaminifu (hagongwi nje),anazaa na anaangalia watoto vzr,mengine ya kutafuta pesa unapambana nayo ndo maana ya kuitwa mwanaume bablai.
 
😁😁😁 mkuu issue sio msemo ila ni maana nyuma yake ni sawa yule asemae, chumvi itakufaa wakati wa chakula ila sukari itakufaa kwa wakati wa chai. Ikimaanisha, kisichokufaa kwa matumizi flani kina sehemu ya matumizi mengine katika maisha yako.
 

Sio kila mtu anaweza kufanya biashara.

Shughuli nyingi zinahitaji utayari wa mtu mwenyewe.
Yaani ile hali ya kuwa na passion/ambitious

Kuna watu unawaona kabisa ukimpa Hela ya Mtaji wa kuanza biashara ni Kwamba umeamua hiyo Hela ukaizike.

Hata Shule kulipia ada kuna mwanafunzi unamuona kabisa kabisa ada unayolipa ni kama unaitupa tu.
 
Basi kama sababu ni hiyo asilalamike
 
Hukutusikiliza vijana wa kataa, ndoa pole mkuu.

Ingawa pia nimechoka kulala peke yangu, Kuna mtoto wakizigua naona kabisa anaweza nitoa kwenye kundi la kataa ndoa. Lakini bado nahofu nae ngoja niendelee kuvuta subira
Umemuuliza yeye anataka kufanya nn kwenye maisha yake ? Umempa mtaji amekataa kufanya biashara??? Au ulimtafutia kazi kakataa kufanya ?? Au hujampenda tu
 
Ulikuja bila Gadi. Sasa unagawiwa wastani kwa idadi..

Ulimpendea tako?
 
Dah! Sasa itakuwaje?
 
Pale unapoa kwa kigezo cha kupenda matako 😀😀
 
Uzi ndio nauona leo....inamaana mpaka unaona that means uliona vigezo vyote ....sasa imekuaje hata kama ni kukurupuka ?? Kuna vitu bhana acha tu viendelee kua fundisho sasa unakuja huku mambo ni kama yameharibika tu hayo sasa
 
Maisha y ndoa rasmi yanaanza nyege zinapoisha😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…