Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Cc.Wakuu nakiri kabisa from heart ya kwamba hii ndoa yangu nilikurupuka sana yapata takribani mienzi minne ya ndoa yangu sina hisia ya mapenzi na nahisi kujuta sana kwenye maisha yangu na sina furaha kabisa
Yaani sina furaha kabisa wakuu yaani najuta kuoa mwanamke wa chop money yaani yeye ni kura tu na kulala na ni mvivu sana na mbaya zaidi kinachiniuma nimetoa mahari nyingi sana lakini binti ni mvivu sna na nahisi majukumu yamenielemea kabisa
Tafadhali naombeni ushauri wenu wakuu na nataka nimrudishe mazima kwao ili nikeep furaha yangu
Msinipopoe wakuu
Nyasubi ndani ya MBANYU
nacha