Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Cc.Wakuu nakiri kabisa from heart ya kwamba hii ndoa yangu nilikurupuka sana yapata takribani mienzi minne ya ndoa yangu sina hisia ya mapenzi na nahisi kujuta sana kwenye maisha yangu na sina furaha kabisa
Yaani sina furaha kabisa wakuu yaani najuta kuoa mwanamke wa chop money yaani yeye ni kura tu na kulala na ni mvivu sana na mbaya zaidi kinachiniuma nimetoa mahari nyingi sana lakini binti ni mvivu sna na nahisi majukumu yamenielemea kabisa
Tafadhali naombeni ushauri wenu wakuu na nataka nimrudishe mazima kwao ili nikeep furaha yangu
Msinipopoe wakuu
Sasa wewe si ulisema unaingiza Milion 100 Kwa mwaka?Wakuu nakiri kabisa from heart ya kwamba hii ndoa yangu nilikurupuka sana yapata takribani mienzi minne ya ndoa yangu sina hisia ya mapenzi na nahisi kujuta sana kwenye maisha yangu na sina furaha kabisa
Yaani sina furaha kabisa wakuu yaani najuta kuoa mwanamke wa chop money yaani yeye ni kura tu na kulala na ni mvivu sana na mbaya zaidi kinachiniuma nimetoa mahari nyingi sana lakini binti ni mvivu sna na nahisi majukumu yamenielemea kabisa
Tafadhali naombeni ushauri wenu wakuu na nataka nimrudishe mazima kwao ili nikeep furaha yangu
Msinipopoe wakuu
Ukimrudisha kwao huwezi kukeep furaha ila utaendelea na kuwa mpweke hadi mwisho wa maisha yako.Wakuu nakiri kabisa from heart ya kwamba hii ndoa yangu nilikurupuka sana yapata takribani mienzi minne ya ndoa yangu sina hisia ya mapenzi na nahisi kujuta sana kwenye maisha yangu na sina furaha kabisa
Yaani sina furaha kabisa wakuu yaani najuta kuoa mwanamke wa chop money yaani yeye ni kura tu na kulala na ni mvivu sana na mbaya zaidi kinachiniuma nimetoa mahari nyingi sana lakini binti ni mvivu sna na nahisi majukumu yamenielemea kabisa
Tafadhali naombeni ushauri wenu wakuu na nataka nimrudishe mazima kwao ili nikeep furaha yangu
Msinipopoe wakuu
🤣🤣🤣🤣🤣wewe bado hujaoa hao viumbe hawaelekezeki hata upige ngumi sanasana utapata kesi tu..Kaa nae chini mchane mke wangu haya maisha hayaendi hivo . Muelekeze vizuri Mshauri venye unawish / unataka afanye
na muplan kwa pamoja na ulifanyie ufuatiliaji
cc Smart911
Mwanaume unalalaje peke yako🤣🤣🤣🤣??Hukutusikiliza vijana wa kataa, ndoa pole mkuu.
Ingawa pia nimechoka kulala peke yangu, Kuna mtoto wakizigua naona kabisa anaweza nitoa kwenye kundi la kataa ndoa. Lakini bado nahofu nae ngoja niendelee kuvuta subira
Kwa nini mkuu ongezea nyama kidogo.Mkuu once umekosea kuoa na hukushikiwa fimbo, You have ruin your life... Ukifanikiwa kuchomoka kimwili, Kiroho hutoboi.
Yan wabongo umepata lituntufye huko limekushinda unakuja kuambatanisha wote ili ujipe moyo🤣🤣wewe tulia na mbuzi wako kila mtu afe kivyake🤣🤣🤣🤣🤣wewe bado hujaoa hao viumbe hawaelekezeki hata upige ngumi sanasana utapata kesi tu..
Hukutusikiliza vijana wa kataa, ndoa pole mkuu.
Ingawa pia nimechoka kulala peke yangu, Kuna mtoto wakizigua naona kabisa anaweza nitoa kwenye kundi la kataa ndoa. Lakini bado nahofu nae ngoja niendelee kuvuta subira
Wakuu nakiri kabisa from heart ya kwamba hii ndoa yangu nilikurupuka sana yapata takribani mienzi minne ya ndoa yangu sina hisia ya mapenzi na nahisi kujuta sana kwenye maisha yangu na sina furaha kabisa
Yaani sina furaha kabisa wakuu yaani najuta kuoa mwanamke wa chop money yaani yeye ni kura tu na kulala na ni mvivu sana na mbaya zaidi kinachiniuma nimetoa mahari nyingi sana lakini binti ni mvivu sna na nahisi majukumu yamenielemea kabisa
Tafadhali naombeni ushauri wenu wakuu na nataka nimrudishe mazima kwao ili nikeep furaha yangu
Msinipopoe wakuu
Hukugundua wakati wa uchumba? Kosea kujenga nyumba kwani utabomoa na kujenga upya, sio kuoa. Vijana, nawaasa, kuoa ni mtihani mgumu sana.
Una maana yeye ni msimamizi wa "kura"? Au ndiyo shule ulienda kusomea ujinga?Wakuu nakiri kabisa from heart ya kwamba hii ndoa yangu nilikurupuka sana yapata takribani mienzi minne ya ndoa yangu sina hisia ya mapenzi na nahisi kujuta sana kwenye maisha yangu na sina furaha kabisa
Yaani sina furaha kabisa wakuu yaani najuta kuoa mwanamke wa chop money yaani yeye ni kura tu na kulala na ni mvivu sana na mbaya zaidi kinachiniuma nimetoa mahari nyingi sana lakini binti ni mvivu sna na nahisi majukumu yamenielemea kabisa
Tafadhali naombeni ushauri wenu wakuu na nataka nimrudishe mazima kwao ili nikeep furaha yangu
Msinipopoe wakuu
Mvivu kufanya nini? Hana bidii ya ndoa kunako sita kwa sita?Wakuu nakiri kabisa from heart ya kwamba hii ndoa yangu nilikurupuka sana yapata takribani mienzi minne ya ndoa yangu sina hisia ya mapenzi na nahisi kujuta sana kwenye maisha yangu na sina furaha kabisa