Sina furaha kwenye ndoa yangu, nahisi nilikurupuka

ukikua utajitambua
 
 
Acha ujinga mwanamke hubadilishwa kutoka tabia flani mpaka vile, kwaio anza kuweka mipangilio katka ndoa yenu aache kuishi kama yupo kwao, aache ujinga nayeye aamke asubuhi awaze majukum sio kuamka kuwaza mapenz

ova

Geita moja
 
Kuna ushauri mmoja wa muhimu hapa. Nenda kamwambie huu ujumbe umeandika hapa kwa kumjulisha hisia zako juu yake.

Kwa huku naona ni kama tuko kwa kumsengenya tu. Rudi kwake useme naye, kwani kasoro hizo naona zinaweza kurekebishika tu.

Ova
Lakini b... kuna point ya msingi sana hapo hujaizingatia... hana hisia ya mapenzi tena kwa mkewe.
Katika mahusiano/ndoa, ukipoteza hisia ni point of no return. Ni ngumu sana kurudisha.

Na kupoteza huko hisia ndiko kumemfumbua macho ya kasoro hizo anazozisema juu ya mkewe.
Mapenzi upofu, eti?
 
"mti usiokupa matunda unaweza usiukate kwa sababu unakupa kimvuli.."

This is an old notion and it doesnt apply in modern world, kazi ya mti ni kunipa matunda, nikitaka kivuli ntajenga tent. Enzi hzo kulikua hakuna tents ndo mana waliamini huu msemo!!
 
Kula chuma hicho
 
Bado kijana mdogo. Ukiwa mtu mzima utaelewa.

Hili unaloota hata uarabuni huko wanapofuga wanawake sidhani kama ni kwa kiwango hicho.
 
Pale unapooa for looks, madhara yake ndio haya
Kwenye uchumba mlikaa muda gani? Alikuwa hivi?

Umeshaongea nae kuhusu tabia yake
Tunapowaambia kuna haja ya kufanya probation na watoto wa kike kabla hujafikia uamuzi wa kuoa nyie mnaona wakija weekend inatosha. Wanawaaigizia maisha mnajaaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…