Sina hamu ya kuendelea na mchakato wa ndoa tena

Sina lengo la kukudhihaki ila mkuu una dalili zootee za ujauzito!
 
Pitia hio utajifunza kitu
Your browser is not able to display this video.
 
Labda ulimtamani mkuu, ulivopata unachotaka na kujisevia unavotaka basi ukamkinai chap.
 
Kila mtu anashughulika na stress kwa namna yake. Yawezekana kabisa stress za maandalizi zinawasumbua na kila mmoja anaona mwenzake ndio tatizo.

Tulia na kujadiliana changamoto za process za ndoa na mkiwa na lengo la kuzitatua. Msionane kama cause ya stress bali wahanga wa pamoja wa stress za maandalizi ya ndoa.
 
Swala la ndoa linahitaji maaandalizi ya kiroho, nafsi na mwili. Maandalizi ya roho na nafsi yanahitaji maombi sana hivyo mshirikishe mwenzako mfanye maombi na pia unana na viongozi wako wa kiroho kwa maombi na ushauri, umepata mashambulizi ya adui ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ