Sina hamu ya kuendelea na mchakato wa ndoa tena

Sina hamu ya kuendelea na mchakato wa ndoa tena

Sina lengo la kukudhihaki ila mkuu una dalili zootee za ujauzito!
 
Za jioni wakuu,

Bila kupoteza muda kama kijana nilipata demu tukaenda sawa na process zote za ndoa ziko tayari bado mwezi mmoja tu ila cha ajabu kila nikimuona saa hivi naona hanivutii kabisa kila siku namtafutia sababu lakini anapangua maskini dada wa watu analia kila Siku sijui nimepatwa na nini wandugu sometimes sitamani hata kumuona ila Haja nikosea kitu
Naweza nisipende tu alivyo vaa nikachukia Siku mzima
Akinisemesha najibu mbovu tu,kuna muda nahisi nimekosea kumchagua japo sioni udhaifu mkubwa wakutisha kwani nimehack sim yake sioni SMS mbovu wala maongezi mabaya ila ni hali tu imekuja ghafla tena mbaya zaidi baada ya kujitambulisha kwao.

NB mahusiano yana almost 2yrs
Pitia hio utajifunza kitu
 
Labda ulimtamani mkuu, ulivopata unachotaka na kujisevia unavotaka basi ukamkinai chap.
 
Za jioni wakuu,

Bila kupoteza muda kama kijana nilipata demu tukaenda sawa na process zote za ndoa ziko tayari bado mwezi mmoja tu ila cha ajabu kila nikimuona saa hivi naona hanivutii kabisa kila siku namtafutia sababu lakini anapangua maskini dada wa watu analia kila Siku sijui nimepatwa na nini wandugu sometimes sitamani hata kumuona ila Haja nikosea kitu..
Kila mtu anashughulika na stress kwa namna yake. Yawezekana kabisa stress za maandalizi zinawasumbua na kila mmoja anaona mwenzake ndio tatizo.

Tulia na kujadiliana changamoto za process za ndoa na mkiwa na lengo la kuzitatua. Msionane kama cause ya stress bali wahanga wa pamoja wa stress za maandalizi ya ndoa.
 
Swala la ndoa linahitaji maaandalizi ya kiroho, nafsi na mwili. Maandalizi ya roho na nafsi yanahitaji maombi sana hivyo mshirikishe mwenzako mfanye maombi na pia unana na viongozi wako wa kiroho kwa maombi na ushauri, umepata mashambulizi ya adui ndugu
 
Back
Top Bottom