Sina huruma na askari toka washiriki kuua wananchi Oktoba 29

Mimi nawaza tu Madaktari wakiamua kufanya retaliation tutashudia TANZIA nyingi kwenye page za polisi na bahati mbaya polisi hawana hospitali ya maana
Polisi wameonyesha nguvu yao kwa kumshushia kipigo daktari, madaktari nao wanatakiwa kuungana kuwaonyesha polisi kwamba nguvu wanayo.

Retaliate in whatever way is within your reach.
 
Siku hizi kila mahali ni askari na bunduki! Tumeachiwa misikitini na makanisani tu, kuna mgeni toka nje ya nchi alipowasili tukiwa njiani aliniuliza "mbona kila mahali kuna askari na bunduki?" Nilifadhaika kumjibu kuwa rais atapita njia hii, akauliza wakutoka nchi gani? Nikajibaraguza nikapotezea swali lake kwani jibu lingeonesha ni vipi rais hawaamini watu wake.
 
Polisi wameonyesha nguvu yao kwa kumshushia kipigo daktari, madaktari nao wanatakiwa kuungana kuwaonyesha polisi kwamba nguvu wanayo.

Retaliate in whatever way is within your reach.
Hapa Tanzia zitakuwa nyingi, hapa vile soon utaona wakubwa wapolisi wanajipendekeza kwa madaktari maana vita ya polisi na watoa huduma wa afya haijawahi kuwa salama
 
Tukio ilo lilikua baya sana LAKINI NATAKA Ujiulize maswali muhimu katika ili.HIVI MATUKIO AYA YANGEACHWA NA KUENDELEA NA KUSAMBAA NCHI NZIMA NINI KINGETOKEA NCHINI? KARIBU
 
Mliro bila aibu anasema daktari kapigwa na raia waliochukizwa na kitendo chake cha kumshambulia askari! 😆😆
Hayo majitu huwa hayaoni aibu kudanganya. Raia gani huyo mwenye akili tumamu anaweza kumsaidia polisi kumpiga raia mwenzake! Mimi hapa nilipo nikimuona polisi anakufa mbele yangu siwezi kumsaidia kwa chochote. Afe tu. Sembuse kupigwa!
 
Ngabu,
Jua tu siyo askari wote walioshiriki huo uovu.
 
Njia ya Amani ya kuzuia ilikuwepo, nayo ni kusimamisha uchaguzi
Okay,kumbe ni kusimamisha uchaguzi na muda huo serikali iliyoko madarakani muda wake umeisha. Je,nchi ingekua chini ya serikali hipi? KARIBU KAMANDA UNIPE ELIMU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…