Sina huruma na askari toka washiriki kuua wananchi Oktoba 29

Hii vita inaweza sababisha CCM kutoka madarakani hasa baada ya Polis ambao ni mbeleko yao kumalizana na mdaktari kirahisi sana. Ishu huwa zinaanza mdogo mdogo hivi hivi.
 
Hivi Yuko wapi vilee kwa Sasa huyo shujaa wenu?!!!!!☺️☺️☺️☺️ Alikamatwaje Sasa ikiwa wananchi woooooooote, kwa mujibu wenu nyumbu wa JF, hakuna mwananchi anayemtaka askari?!!!

Tafakari, chukua hatua.
 
kwani nani ana huruma na mihemko au chuki binafsi zako gentleman?🐒
 
Taifa limefika pabaya sana..
Kilichobaki ni nature kutake its course...
I tell u.
Either CCM ing'atuke au pachafuke milele.
Tizameni comments za Wtanzanzania kwa msiba huko ZNZ....
NI HATARI MNOO...
 
Tangu polisi wawaue raia wasiokuwa na hatia MO29 sina huruma nao hata kidogo. Mdogo wangu ni polisi pia lakini hata akifa leo sitalia. Nitamtupa mto Kagera aliwe na mamba.
 
Watajijua wao wenyewe.

Kama hawakubaliani na kilichotokea, basi wawataje hao waliohusika tuwajue.

Other than that, we will view their silence as complicity and we will deal with them in the streets.
Unajua hawa wa ngazi za chini mnawaonea bure.
 
Tukio limetokea mbele ya geti la Lugalo. Waliompiga ni wanajeshi baada ya kutiwa upepo na huyo askari. Na chama cha madaktari (MAT) kimetoa msimamo kwamba huyo daktari akifa, wanajeshi na polisi wakienda hospitali watachomwa sindano za sumu wajifie mazima.

Ukitazama vizuri ile picha, wakati lipolisi limebwagwa chini, pembeni anaonekana mwanajeshi akiwa na uniform. Hawa majeda ndio waliompiga daktari wetu pendwa. Hii haikubaliki duniani wala binguni. Mapolisi na wanajeshi ktk nchi hii, yafaa walaaniwe kwa jina la Yesu.
 
Kukosa kwako huruma kwao, kunawaathiri vipi hao askari? Au ndio matatizo ya Afya ya Akili hayo?
 
Nani huyo kichaa anapigana na Daktari?
Yaani mtu unapigana na Daktari kweli!?!
Labda asikanyage hospital
 
Sema siku hizi ajinga pia anamiliki simu janja kama wewe. Jamii haiwezi kukosa migogoro na mivutano na lililotokea oktoba haliwez kufanya wengine tuone askari ni wabaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…