Sina huruma na askari toka washiriki kuua wananchi Oktoba 29

Mdogo angu, daah....!
 
Siwezi muelimisha mpumbavu anaethaminisha uhai wa watu na vituo vya polisi
Sasa kamanda uoni kua bado unaendelea kujenga misingi ya hatari na kugombana.Hivi vituo vya polisi kuna mawe na miti? Unapovamia kituo cha polisi pale kuna askari ambao ni watu pia kuna silaha. Kwahiyo unataka ukauwe hao polisi na uchukue silaha ile uende kuua mbu au watu? PUNGUZA KIBURI NA JAZBA..
 
Wewe October 29 ulikuwa wapi mbona hukuuawa au wewe sio mtanzania?!
Kwa huyo daktari aliyejifanya ni mandonga kumpiga trafiki Mimi nawapongeza wananchi pamoja na wanajeshi waliomshushia kipigo hadi kwenda kulazwa ICU , hilo iwe NI funzo kwa yeyote asiyewaheshimu walinzi wetu wa usalama.
 
Jitete ndugu polisi lakini meza mliyoigusa ina vinywaji vya gharama au unajisahulisha kwenye makaratasi ya hospitali kuna neno occupation? unadhani askari hawajulikani? hii Tanzania ndogo sana, jichanganyeni page zenu zitajaa TANZIA za kutosha kumbukeni hata baadhi ya hospitali za polisi kuna madaktari raia specialist wanaenda kutibu eg. Baracks-Kilwa road, zahanati ya DPA jichanganyeni mkidhani hamjulikani
 
Achana na huyo Police constable hata miaka 3 kazini hana hajui lolote huyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…