Muda wa kuombeana na wanaofata wote Mungu awe tayari kuwapokea maana naviona vifo sasa, naziona damu, naona mauti TzKishakufa huyo.Mungu amlaze mahali pema peponi.
watu hawaamini kama kuna maisha baada ya kifoHivi kosa la Polepole ni lipi ujue mm labda ni mjinga sana .... Mtu anakuambia kuna wezi ww unaenda kumkamata anae kuonya kuna wezi nyumbani kwako .... Hivi hao wanakamata na kuteka wanajipa mda wa kujitafakali... dam za watu zitadaiwa siku moja
Unakatwa na mlopeloBado mna mpango wa kuandamana tareh 29/10?
🤣🤣🤣🤣
Nimependa jina lako umeolewa? Mi naitwa Lucha ukipenda unaweza kuniita Skudu MakudubelaBado mna mpango wa kuandamana tareh 29/10?
🤣🤣🤣🤣
Ndo maana yangu je? baada ya pale alipelekwa wapi? na je kama damu hizo zinayendelea kutoka itakuwaje? ngoja mtaalam aje WaufukweniZile siyo damu nyingi kiasi cha kusababisha kifo labda akauliwe baada ya hapo au ziendelee kuvunja baada ya pale
Ni kama ile ile issue ya Mdude. Najiuliza: Hivi huwa wanakuja na nyundo ya kumpiga ili damu itoke na liwe onyo kwa watu wengine? Nauliza kwa sababu matukio yote kitu kinachodhaniwa ni damu imeonekana kwa wingi. Au wanakuja na damu ya ng'ombe na kuimwaga ili kuhadaa watu kuwa wameshamuua?Kwa namna nilivyotazama zile Damu sioni kama Balozi anaweza kuwa hai, nawaza tu baada ya zile damu kumtoka alipelekwa wapi? kama hajapelekwa hospitali anawezaje kuwa hai napata mashaka sana balozi inawezekana kabisa hatupo naye.
Ni mawazo tu.