Huyu ni wewe?
Mimi nimeolewa alhamdulilah!Nimependa jina lako umeolewa? Mi naitwa Lucha ukipenda unaweza kuniita Skudu Makudubela
Kwa namna nilivyotazama zile Damu sioni kama Balozi anaweza kuwa hai, nawaza tu baada ya zile damu kumtoka alipelekwa wapi? kama hajapelekwa hospitali anawezaje kuwa hai napata mashaka sana balozi inawezekana kabisa hatupo naye.
Ni mawazo tu.
Mimi mwenyewe sielewi yaaniHivi kosa la Polepole ni lipi ujue mm labda ni mjinga sana .... Mtu anakuambia kuna wezi ww unaenda kumkamata anae kuonya kuna wezi nyumbani kwako .... Hivi hao wanakamata na kuteka wanajipa mda wa kujitafakali... dam za watu zitadaiwa siku moja
Hao wanamshangaza hata Ibilisi mwenyewe!Wanaoharibu hii nchi ni wanasiasa, polisi na TISS
Hii nchi hakuna wakuandamana.Bado mna mpango wa kuandamana tareh 29/10?
🤣🤣🤣🤣
So painfulSo pain
Natamani CHADEMA Ingeshiriki uchaguzi ikashinda mkajua maana HALISI ya UMAFIAWanaoharibu hii nchi ni wanasiasa, polisi na TISS
We unahakika Chadema itakuwa hivyo Kama unavyowafikiria? Hivi unajua madaraka yalivyo kwa akili yako ya kawaida ulitegemea Mama Samia atakuwa hivi?Natamani CHADEMA Ingeshiriki uchaguzi ikashinda mkajua maana HALISI ya UMAFIA
Kwa namna nilivyotazama zile Damu sioni kama Balozi anaweza kuwa hai, nawaza tu baada ya zile damu kumtoka alipelekwa wapi? kama hajapelekwa hospitali anawezaje kuwa hai napata mashaka sana balozi inawezekana kabisa hatupo naye.
Ni mawazo tu.
Mkuu,Mtu anakuambia kuna wezi ww unaenda kumkamata anae kuonya kuna wezi nyumbani kwako ....
Damu pekee inayo subiriwa ni ya hawa waovu, Samia na Genge lake ambao hawastahili hata chembe ya huruma.Muda wa kuombeana na wanaofata wote Mungu awe tayari kuwapokea maana naviona vifo sasa, naziona damu, naona mauti Tz
Wewe si tayari unao wanne, unataka zaidi wa nini?Nimependa jina lako umeolewa? Mi naitwa Lucha ukipenda unaweza kuniita Skudu Makudubela
Kwani maandamano yalimhusu Polepole?Bado mna mpango wa kuandamana tareh 29/10?
🤣🤣🤣🤣
Si ndo wasHii nchi hakuna wakuandamana.
Nilikuwa nashauri andameni usku huu huko trh 29 ni mbali ..Kwani maandamano yalimhusu Polepole?
Kama hutaki waTanzania wasiende kuandamana, nenda kazungumze na Samia Suluhu Hassan, na Genge lake; wakome kulinajisi taifa hili.