Shammy-
JF-Expert Member
- Dec 2, 2022
- 7,174
- 18,884
Uchafu gani anaufanya samia!?Pole sana mkuu kwa kuchosha akili yako kubisha na huyo punguani asiyekuwa na hata chembe ya akili ya kibinadamu.
Kwa observation yangu niliyoifanya humu huyo Shammy- ni moja ya ile miskule iliyoamua kusapoti kila aina ya uchafu unaofanywa na serikali ya Samia kwa sababu tu Samia ni mvaa ushungi mwenzake. Na ndio maana unaona anaandika upuuzi mtupu
Huyo polepole kufanya ma uchafu mangapi? Mbona mnajifanya kumuonea huruma! Mlivyo mazwazwa mnamuonea huruma mtandaoni mkiwa mmewasha vpn huku mmeshiba vitumbua!
Ningewaona wa maana mgeandamana jana! Et mnasubiri Oct 29 Subiri mtavunjwa taya !