Nilijuwa tu kuwa akili yako ni ndogo mno, ndiyo maana niliona huna uwezo wa kushauri jambo lolote la maana.Si ndo was
Nilikuwa nashauri andameni usku huu huko trh 29 ni mbali ..
Maandamano mnayoyaweza ninyi ni ya online..kuwasha vpn na kuingia x na jf basi😅
Hamna mliwezalo..
Endelea kulishana ujinga...maandamano maandamano..maandamano..maandamano...Nilijuwa tu kuwa akili yako ni ndogo mno, ndiyo maana niliona huna uwezo wa kushauri jambo lolote la maana.
Uliuliza kama maandamano bado yapo. Umepewa jibu. Sasa tena unazua ya kufanya kazi!Endelea kulishana ujinga...maandamano maandamano..maandamano..maandamano...
Mnaweza maandamano gani ninyi embu fanyeni kazi acheni uzwazwa
Na ww utaandamana 😅?Uliuliza kama maandamano bado yapo. Umepewa jibu. Sasa tena unazua ya kufanya kazi!
Unaona lakini jinsi akili yako isivyo kuwa na utulivu? Unayaogopa sana maandamano, kama anavyo weweseka sasa Samia Suluhu Hassan huko aliko?
Sasa nakwambia, acha kiherehere, subiri hayo maandamano hata wewe yatakuzoa kama utaendelea kuwa na akili finyu kiasi hiki unachoonyesha humu.
Itakusaidia kitu gani kwa wewe kujuwa kama nitaandamana? Nimekupa jibu hapo mwanzo kabisa ili ukamfikishie Samia Suluhu Hassan ujumbe huo. Haya mengine hayakuhusu wewe.Na ww utaandamana 😅?
Kwanini we huwezi kumfikishia?Itakusaidia kitu gani kwa wewe kujuwa kama nitaandamana? Nimekupa jibu hapo mwanzo kabisa ili ukamfikishie Samia Suluhu Hassan ujumbe huo. Haya mengine hayakuhusu wewe.
Sina uhusiano wowote na mtu mwovu kama yeye.Kwanini we huwezi kumfikishia?
Wanaoharibu nchi hii ni ccm tu, hao wote ni jumuiya za ccm.Wanaoharibu hii nchi ni wanasiasa, polisi na TISS
Bado naamini yupo hai.Hawezi kuwa hai.
Pole sana mkuu kwa kuchosha akili yako kubisha na huyo punguani asiyekuwa na hata chembe ya akili ya kibinadamu.Itakusaidia kitu gani kwa wewe kujuwa kama nitaandamana? Nimekupa jibu hapo mwanzo kabisa ili ukamfikishie Samia Suluhu Hassan ujumbe huo. Haya mengine hayakuhusu wewe.
Hlo jina umeniwahi..Hii nchi hakuna wakuandamana.