Sina imani kabisa na hali ya Polepole huko alipo sasa. Zile damu kumtoka alipelekwa wapi?

Uchafu gani anaufanya samia!?
Huyo polepole kufanya ma uchafu mangapi? Mbona mnajifanya kumuonea huruma! Mlivyo mazwazwa mnamuonea huruma mtandaoni mkiwa mmewasha vpn huku mmeshiba vitumbua!
Ningewaona wa maana mgeandamana jana! Et mnasubiri Oct 29 Subiri mtavunjwa taya !
 
Uchafu gani anaufanya samia!?
Kwamba unauliza ni uchafu gani unaofanywa na serikali ya Samia ilihali hapa sasa hivi unajadili mada ya utekaji/mauaji ambayo serikali ya mama ako Samia inahusishwa?

Kweli nyie wavaa ushungi na kobazi mmetuonesha akili zenu ziko matakoni.
 
Alipokuwa ccm na kufanya aliyokuwa anayafanya dhidi ya haki uliona ni sawa?
 


... hoja zilipododa, Polepole, aka DA SLUG, and gang wameamua kuunda story za kutekwa kwa Polepole, ambaye hayuko Bongo!
TAFADHALI SANA KITENGO CHA FORENSICS CHA POLICE KIPIME VINASABA VYA HIYO DAMU,NA NINA UHAKIKA, NI FAKE, NA KAMA SIO FAKE BASI KWAKWELI JAMAA WAMEJIANDAA KIASI CHA MTU KURIDHIA KUGEMWA NUSU LITA YA DAMU KWA AJILI YA USHAHIDI FAKE!
HATARI SANA!
 
Mimi pia nina wasiwasi huo. Pamoja na yote hayo, damu yake isiwe imemwagika bure tu. Iwe kichocheo cha mapambano aliyokuwa anaendesha. Hivyo ndivyo tutakuwa tumelipiza damu yake. Aluta continua.
 
Kwamba unauliza ni uchafu gani unaofanywa na serikali ya Samia ilihali hapa sasa hivi unajadili mada ya utekaji/mauaji ambayo serikali ya mama ako Samia inahusishwa?

Kweli nyie wavaa ushungi na kobazi mmetuonesha akili zenu ziko matakoni.
Zungumzia na uchafu alioufanya polepole enzi za jpm!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…