Uchaguzi 2020 Sina imani na CHADEMA na Lissu tena, hata wakishindwa itakuwa sawa tu

Uchaguzi 2020 Sina imani na CHADEMA na Lissu tena, hata wakishindwa itakuwa sawa tu

lee Vladimir cleef

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
9,571
Reaction score
35,475
Mimi ni mpenzi wa Chadema wa kufa Mtu, naichukia CCM kuliko kitu chochote. Ndio kitu kinachoongoza kati ya vitu ninavyovichukia.

Lakini ikatokea Chadema ikashindwa kihalali kabisa bila hila wala wizi wa kura wa Aina yeyote, yaani Watanzania wakaichagua CCM kwa moyo mweupe kabisa bila mashakani yeyote kwa uwingi wao Watanzania, na ikathibitishwa duniani na hata Mbinguni kuwa ushindi wa CCM ni wa halali kabisa, Mimi Lee Van Cliff Ni Nani hata nikatae maamuzi ya kihalali ya Watanzania wengi? Kwangu Mimi itakua sawa tu.

Sina Tena imani na Lissu na CHADEMA.

Nimekata tamaa kabisa kwa Lissu na Chadema yake, sina imani kabisa, narudia Tena, SINA IMANI Tena na Lissu na Chadema Kama wataweza kulinda MAMILIONI ya kura zetu Watanzania, tutakazo mmiminia Tundu Lissu, tutakazo mpigia Tundu Lisu, namaanisha mamilioni ya kura za Ndio kwa Lissu wa CHADEMA.

Nasema hivi kwa sababu huku mitaani kila unaeongea nae habari za Uchaguzi wengi wanasema hawana hata haja ya kampeni, wao tayari walishaikataa CCM na Mgombea wao,nimeongea na rafiki, zangu, jirani zangu na watu wengine ambao ni Wana CCM na watu mbalimbali wameniambia kuwa kura zao ni kwa Lissu tu.

Sasa kwa muktadha huo siamini kama Lissu na Chadema wanaweza kulinda kura zetu,nimekata tamaa kabisa juu ya Ulinzi wa mamilioni ya kura za Watanzania.

Naishauri Chadema na Lissu waombe msaada wa UN ili waje kulinda kura za Lissu maana ni nyingi mno, ndio mgombea wa Urais kwa Tanzania Atakaepata mamilioni ya kura za Ndio na kumuacha kwa mbali mshindani wake. Huku mtaani watu wana vinyongo hatari.

Subirini tu. Chadema tafuteni namna ya kulinda kura zetu jamani.
 
Unachambua au Unachambuliwa?
Unapoishi hakuna watu laki 3 (nje ya kura)
Ila una mamilion ya kura

Vituko!
 
Yaani kura ipigwe na mtanzania ilindwe na UN hiyo akili au mavi. Wananchi wakaikataa CCM hata ashuke Jibril hakuna wa kuzuia. Niulize mimi tulimpigania nassari akashinda kwa kishindo. Uhalisia wa sasa hivi Chadema labda imebaki JF tu lakini uraiani Lisu akifikisha 10% akatoe sadaka ya shukrani.

Magufuli ametuonesha kesho ya Tanzania na tuko tayari kufunga mkanda kuifikia.
 
Japo watakupinga walio wengi Ila ukwel wakiwepo wasimamiz Makin na watu wakaamua kulinda kura kiukwel maguful atapigwa kipigo kibaya Sana ,maana walio wengi hata huko ccm hawamkubal yaan wanamsanif tu ili wapate ugali Ila ndani ya mioyo yao hawapendezwi kabisa na style ya uongozi wake.

Ingawaje mzee ni mbishi na hatak kuamini hilo kama anajiamini kura zihesabiwe kila kituo Tena kwa uwaz kama walivyofanya kipind Cha kupitisha wabunge huko ccm yaan ataambulia aibu kubwa sana.

Mzee ifike wakat ajirekebishe ubabe na kuumiza watu kwa makusud apunguze kama sio kuacha kabisa maana watu hawamkubal kabisa ni vile tu watanzania ni waoga hivyo wameamua kuwa wanafki tu ili cku ziende.

Nakuhakikishia hata akina nape na wengine kibao Kama akina makamba hawampend huyu jamaa sema njaa ndio tatizo wameamua Bora liende tu Ila ukwel wote mungu ndie anaujua, Tena hakuna mtu anaeumia Kama nape na group lake yaan Wana mengi ya moyon Ila hawana ubavu huo na saiz wameamua liwalo na liwe na nape anaweza rudishwa kwenye Baraza la mawazir next term maana kajitahid Sana kurekebisha makosa yake kwa mzee.

Mwisho kabisa CCM itaendelea kutawala tu kwa njia yoyote ile maana watanzania ni makondoo ya kafara so mm bado naamin ccm bado ipo ipo Sana na itaendelea kutuburuza had kizaz hiki Cha nyoka kijetoweka kabisa pengine ndio wataachia nchi na kuachia nchi sidhan Kama itakuwa kwa njia ya paper hapa lazima kafara itolewe ndipo ccm atatoka madarakan Ila ukwel watu hawaipend ccm kuliko chochote watu Wana mengi ndani ya mioyo yao.

Na kuhusu kulinda kura kwa hali iliopo sio rahisi kiivo watz ni waoga Sana wakiona sare za police ,jwt na vifaru so wote tutakaa ndani kudubiria mgombea wa ccm atangazwe. Labda Zanzibar wanaweza fanya lolote maana wale ni cku na muda vinasubiriwa kulipuka tu na watu wapo tayal kwa Hilo hapa Ni swala la muda tu
 
Yaani kura ipigwe na mtanzania ilindwe na UN hiyo akili au mavi. Wananchi wakaikataa CCM hata ashuke Jibril hakuna wa kuzuia. Niulize mimi tulimpigania nassari akashinda kwa kishindo. Uhalisia wa sasa hivi Chadema labda imebaki jf tu lakini uraiani Lisu akifikisha 10% akatoe sadaka ya shukrani.
Magufuli ametuonesha kesho ya Tanzania na tuko tayari kufunga mkanda kuifikia

Acheni kupotosha watu Magufuli haikubaliki Ila sabab ya uoga wa sisi watz watu wameamua tu kuwa waimba kwaya ,tume ingekuwa huru Kama Kenya magufur huu mwaka angeambulia aibu ya mwaka ,et katuonyesha Tanzania ya kesho na waliopita wakituonyesha Tanzania ya lini? Jaman unafki huu sio poa kabisa ,nenden mtaan muone watu wanavyoishi kwa shida yaan mtu Hana uhakika nn atajula leo
 
Nakuambia Magufuli hata Wana CCM watamkataa,wanasema amewavuruga Sana ndani ya Chama,wameumia Sana kufukuzwa kwa Membe, maraisi wastaafu kudhalilishwa, watu muhimu chamani kudukuliwa maongezi yao, na wengi Wana hofu huenda Magufuli akaongeza muda was kukaa madarakani.

Kinana, Nape, Januari,Membe Kikwete wamenyanyasika Sana chini ya Mwenyekiti wa CCM wa Sasa.

Wana CCM wanaumizwa Sana mateso ya wananchi hasa wakulima wafanyabiashara na wafanyakazi.
Lissu atapata kura nyingi sana.
 
Achen kupotosha watu magufur haikubaliki Ila sabab ya uoga wa sisi watz watu wameamua tu kuwa waimba kwaya ,tume ingekuwa huru Kama Kenya magufur huu mwaka angeambulia aibu ya mwaka ,et katuonyesha Tanzania ya kesho na waliopita wakituonyesha Tanzania ya lini? Jaman unafki huu sio poa kabisa ,nenden mtaan muone watu wanavyoishi kwa shida yaan mtu Hana uhakika nn atajula leo
Huko Kenya ulikotolea mfano unadhani wananchi hawaishi kwa shida.

Sio jukumu la serikali kukuwekea hela mfuko au kukupa chakula. Watu tumeona dhamira na nia njema ya serikali katika kuhakikisha matumizi bora ya Kodi yetu kwenye ujenzi wa miundombinu, huduma za kijamii pamoja na ulinzi na amani kwenye ardhi yetu tukufu
 
Huko Kenya ulikotolea mfano unadhani wananchi hawaishi kwa shida.
Sio jukumu la serikali kukuwekea hela mfuko au kukupa chakula. Watu tumeona dhamira na nia njema ya serikali katika kuhakikisha matumizi bora ya Kodi yetu kwenye ujenzi wa miundombinu, huduma za kijamii pamoja na ulinzi na amani kwenye ardhi yetu tukufu

AchenI unazI wa kipumbavu nani kasema Serikal ikuwekee hela mfukoni?

Watu wanapambana kila kukicha lakin mazingira yamebanwa Sana yaan vihoja vya kipuuz kabisa alaf sio kila anaechangia ni chadema au upinzani wengine tunaongelea uhalisia wa maisha ulivyo huku mtaan ,frem kibao zinafungwa kisa tra mbovu inayonyanyasa watu kipuuz, Yule mfanyabiashara wa kariakoo kawanyima rushwa ya milion 2 hao tra wamemsababishia hasara ya bilion kasoro na serikal ipo kimya, iv unadhan kwa upumbav Kama huu Nan atathubutu kuwekeza hapo bongo mtaji wake kwenye biashara wakat mazingira sio rafik?

Halafu watanzania sio wavivu wanajituma Sana kutafuta pesa ,lakin ccm mlivyowapumbavu mnakuja na vislogan et wanaolalamika ndio hao waliozoea kuiba ,ivi unajua wez waliokubuh wapo hapo ccm Tena wengine wanaangaliwa had Leo na hawajafanywa kitu ? Zaid wanawahadaa wananchi kwa kukamata vidagaa ,ccm ndio wez namba moja na najua unalufaham Hilo Ila kwa vile njaa imekubana Sana unataka kupotosha makusudi.

Rais gan anafurahia wananchi wake kuwa na maisha magumu Tena anajisifu hadharan kuwa na bado vyuma ntakaza Zaid ,mnataka watu wafanye Kaz gani ndio mjue wanajituma lakin mazingira ni mabovu ,umepita kariakoo umeziona frem zilivyofungwa ,umepita mtaan umeona frem zilivyofungwa umejiuliza sabab ni Nini?

Alaf magufur Kama anakubalika kwann Ana ulinzi mzito Sana tofaut na wenzie waliopita ? Anamwogopa Nan wakat yeye Ni kipenzi Cha watu ?Anamwogopa nan wakat wananchi wake hawana shida yoyote maana wimbo wenu ni ndege, na sgr st.G ,.unafki haufai
Ww mwenyew ungekuwa na maisha mazur na ya uhakika usingekuwa hapa kupigania wanasiasa wa CCM ili tu wakuone na kukufikiria, alaf mm huwa namdharau Sana mwanaume anayetegemea siasa ndio ilishe familia yake huku akiwambia wenzie hawafanyi kazi na ukitaka kulijua Hilo angalia wanasiasa wa CCM wakitumburiwa wanavyotia huruma ,unajiuliza huyu si alisema Kuna kujiajir Sasa mbona analalamika Sana na kuomba msamaha Kama mtoto mdogo .
 
Wana CCM wengi tu hawamtaki Magu.

Ushindi ninasubuhi mjomba

Mzee wacha akapumzike chato tuachie Tanzania yetu ya bila kutekana, kuuana na kupotea pokea.

Uhuru, Haki na Maendeleo ya watu!
 
Huko Kenya ulikotolea mfano unadhani wananchi hawaishi kwa shida.

Sio jukumu la serikali kukuwekea hela mfuko au kukupa chakula. Watu tumeona dhamira na nia njema ya serikali katika kuhakikisha matumizi bora ya Kodi yetu kwenye ujenzi wa miundombinu, huduma za kijamii pamoja na ulinzi na amani kwenye ardhi yetu tukufu

Nenda TRA kaone idadi ya watu waliofunga biashara zao, kisha uje tuendelee na mjadala.
 
Uhakika kutoka kwa watu wangu wa karibu kabisa wanasema bwana yule akapumzike.

Wanazuoni (wale waliosoma,kupata elimu na kuelimika), wanakiri kabisa kwamba bwana yule hakufaa kuwa top wa Tz.

Mmoja ya ndugu zangu ambaye ni katibu wa CCM mkoa mmoja anakiri kabisa kuwa hali ni mbaya kiuhalisia, lakini kisiasa ni "funika kombe mwanaharamu apite".
 
Ndugu, UN wanasema hivi, " United Nations electoral assistance is provided only at the specific request of the Member State concerned, or based on a mandate from the Security Council or General Assembly. Before assistance is agreed and provided, the United Nations assesses the needs of the Member State to ensure that the assistance is tailored to the specific needs of the country or situation."

Je CCM na serikali yao wako tayari kuomba msaada au ni mpaka machafukomyatokee? Machafuko yakitokea ndio hapo huwa msaada utalewa bila hata ya kuombwa nchi... Baraza la usalama la umoja wa maifa au General assembly litaleta tu msaada wa uchaguzi kukiwa na breaches to international peace and security.

Ni Mpaka kinuke ndio waje, vinginevyo ni vigumu sana kuja mpaka kinuke.

Zaidi soma hapa: Elections | Department of Political and Peacebuilding Affairs
 
Achen unaz wa kipumbavu Nan kasema serikal ikuwekee hela mfukon? Watu wanapambana kila kukicha lakin mazingira yamebanwa Sana yaan vihoja vya kipuuz kabisa alaf sio kila anaechangia ni chadema au upinzani wengine tunaongelea uhalisia wa maisha ulivyo huku mtaan ,frem kibao zinafungwa kisa tra mbovu inayonyanyasa watu kipuuz ,Yule mfanyabiashara wa kariakoo kawanyima rushwa ya milion 2 hao tra wamemsababishia hasara ya bilion kasoro na serikal ipo kimya ,iv unadhan kwa upumbav Kama huu Nan atathubutu kuwekeza hapo bongo mtaji wake kwenye biashara wakat mazingira sio rafik?

Alaf watanzania sio wavivu wanajituma Sana kutafuta pesa ,lakin ccm mlivyowapumbavu mnakuja na vislogan et wanaolalamika ndio hao waliozoea kuiba ,ivi unajua wez waliokubuh wapo hapo ccm Tena wengine wanaangaliwa had Leo na hawajafanywa kitu ? Zaid wanawahadaa wananchi kwa kukamata vidagaa ,ccm ndio wez namba moja na najua unalufaham Hilo Ila kwa vile njaa imekubana Sana unataka kupotosha makusud .
Rais gan anafurahia wananchi wake kuwa na maisha magumu Tena anajisifu hadharan kuwa na bado vyuma ntakaza Zaid ,mnataka watu wafanye Kaz gani ndio mjue wanajituma lakin mazingira ni mabovu ,umepita kariakoo umeziona frem zilivyofungwa ,umepita mtaan umeona frem zilivyofungwa umejiuliza sabab ni Nini ?
Alaf magufur Kama anakubalika kwann Ana ulinzi mzito Sana tofaut na wenzie waliopita ? Anamwogopa Nan wakat yeye Ni kipenzi Cha watu ?Anamwogopa nan wakat wananchi wake hawana shida yoyote maana wimbo wenu Ni ndege, na sgr st.G ,.unafki haufai
Ww mwenyew ungekuwa na maisha mazur na ya uhakika usingekuwa hapa kupigania wanasiasa wa ccm ili tu wakuone na kukufikiria ,alaf mm huwa namdharau Sana mwanaume anayetegemea siasa ndio ilishe familia yake huku akiwambia wenzie hawafanyi kazi na ukitaka kulijua Hilo angalia wanasiasa wa ccm wakitumburiwa wanavyotia huruma ,unajiuliza huyu si alisema Kuna kujiajir Sasa mbona analalamika Sana na kuomba msamaha Kama mtoto mdogo .
Kawaharibia sana wasukuma reputation,msukuma mwingine atapata tabu sana kuaminika km anafit kwenye urais
 
Back
Top Bottom