Serious unataka kujua kuna maombi yapi na yapi?Kwan kuna maombi yapi na yapi
Ndio hatuwezi jibu unalo.Nina kaeneo kangu nje kabisa ya mji, ambako ninalima na kufuga kiaina. Sifa moja ya huku ni ukimya wake. Hivyo niliamua kuweka kakibanda ambako ninalala siku nikiamua kuja, nina lala huku, ili kujitibu na kelele za mjini.
Sasa leo nimekuja, nakuta kelele za ajabu. Kumbe kuna kanisa limefunguliwa. Watu wanasali kwa kulia, kuimba na kupiga makelele.
Hivi walokole hamuwezi sali bila kupigia watu kelele?
Maombi ni maombi..omba kwa kunyenyekea ns kupiga magotiSerious unataka kujua kuna maombi yapi na yapi?
Mwanao alishawahi kulazwa na kuwa mahututi kabisa?
Ulishawahi kuhisi uko katika hali ya kufa?
Ulishawahi kupoteza kila kitu chako, hata kuhofia tu?
Ulisha wahi kukosa tumaini la kuishi?
MUNGU NDIO ANAYETOA HAYO YOTE, NDIO MAANA TUNAOMBA KWA KULIA NA KUOMBOLEZA ATUPE HAYO.
Ukiwa na Afya hivi unajikuta unaongea kwa raha kuhusu environment Noise, hahahaa.Kwakweli siwezi kushangaa swala la uwepo wa speaker katika sehemu ya ibada kwasababu hata misikitini speakers zipo, Catholic, Anglican, Orthodox kote huko kuna speaker. Mantiki yako ipo kwenye point yakuwa hiyo ni residential area na uwepo wa kanisa mahali hapo unasababisha environmental noise hapo sawa.
All in all ni uwepo wa sera mbovu ambazo zimepelekea makanisa kuwepo katika maeneo ya makazi. Fanya uchunguzi hili utaligundua. Sasa sijui una maoni gani, kwamba unategemea wapunguze makelele wakati hiyo ndio style yao ya kusifu, kuabudu na mahubiri?[emoji851]
Ulishawahi Kukemea pepo, au nguvu za giza??Maombi ni maombi..omba kwa kunyenyekea ns kupiga magoti
Hizo mm pigo huwa sizielewi...!mie nasali nikiwa comfortable sina pepo wala kusogelewa nangv za gizaUlishawahi Kukemea pepo, au nguvu za giza??
Nilifikiri ungefurahi kuona na wengine wanapata neema ya Japo kusali comfortable km wewe badala ya kupondaHizo mm pigo huwa sizielewi...!mie nasali nikiwa comfortable sina pepo wala kusogelewa nangv za giza
The issue msipayuke payuke kama mko club..unasali huku unaruka ruka juu ili iweje? Why usipige magoti ukamlilia Mungu wako? Mnasaligi mnaruka ruka michaka michqka mnaboaa balaaNilifikiri ungefurahi kuona na wengine wanapata neema ya Japo kusali comfortable km wewe badala ya kuponda
Nyie vipaza sauti vyenu alfajiri, mchana saa saba, na jioni saa 12 na saa mbili usiku hmvisikii?
Mkuu tatizo ni kwamba ibada yenu haina support ya makelele na kupayuka kwenu katika Biblia.tatizo vifungu ulivyovitoa haviendani na mada husika
Mwokozi wenu alisali dua zote kwa kicho, na kwa utulivu (mlimani, baharini, hata bustanini na msalabani).ni kweli kabisa, japo pia inategemea unaomba maombi gani
embu toka hapa na wewe ehhhh!!!Ukikata roho nafsi yako ikaacha mwili
Ukaonyeshwa sehem inayokustahili
ndio utajua whether walokole/wewe Nani alikua sahihi.
Hivi hamsikilizi hata shuhuda?
Waulizeni ndg zenu walioko ufalme wa giza wawaambie walokole Ni kina Nani.
MTI WENYE MATUNDA NDIO HUTUPIWA MAWE.
Bora za misikiti zinaenda kwa mda. Yani unajua kabisa mda flani ni azana. Sio hawa wakristo wenzetu ni makelel tu nonstop [emoji119][emoji119][emoji119]Mimi ni mkristu. Ila naunga mkono hoja ya jamaa, hawa wenzetu walokoke ni washamba mno. Azana za msikitini hazina kelele kihivyo
Aisee tema mate chini ,waislamu wanapiga kelele kwa siku mara tano,vp kuhusu baa? Jamani katiba inasema kila mtu Ana haki ya kuabudu vp kuhusu hayo masabufa kwenye nyumba za kupanga zinazopiga rusha roho? Tuheshimu imani za wengine piaMimi ni mkristu. Ila naunga mkono hoja ya jamaa, hawa wenzetu walokoke ni washamba mno. Azana za msikitini hazina kelele kihivyo