SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,189
- 7,853
Watanzania hawajaridhika na Mkataba wa Bandari ya salama. Serikali isione haya kuachana na Waarabu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaona hii Sintofahamu ya Mkataba / Sijui Makubaliano au ile mingine iliyosainiwa USA na pengine pengi ambayo haijulijkani hence kuleta taharuki ni mambo kwenda sawa ?Kwanza mambo gani hayaendi sawa?
Mimi pia ni mtanzania nimeridhika naoWatanzania hawajaridhika na Mkataba wa Bandari ya salama. Serikali isione haya kuachana na Waarabu
Sintofahamu ya mkataba kutokana na logic au ujinga wa watu kulazimisha tafsiri zao za kupotosha kuhusu mkataba?Unaona hii Sintofahamu ya Mkataba / Sijui Makubaliano au ile mingine iliyosainiwa USA na pengine pengi ambayo haijulijkani hence kuleta taharuki ni mambo kwenda sawa...
Endelea kusubiri embe chini ya mtikiUkiwa chawa unakuwa mraibu kama mpiga nyeto akili zote zinahama
Silaa, Mdude, Mwaabukusi, wapo nyumbani kwao miguu juu ya meza tangawizi kwa pembeni wanacheki mechi mancity
Mama yupo Arusha anapunga upepo wa mlima mer...
Samia asicheke na wakkatoliki, Hawa kkenge wanamchukia awatie adabuSikuwahi kumfahamu vizuri kabla ya Bunge la Katiba.
Ila wakati wa Bunge la Katiba kuna muda alikuwa anachair vikao kipindi kile kina Tundu Antipass Lissu wana mchecheto kweli...
Mlamba miguu ya wakubwa .
Hata ujinga mnasifia tu
Hizi cartels dawa yao ni kuwapuuza tu!Samia asicheke na wakkatoliki, Hawa kkenge wanamchukia awatie adabu
Uteuzi mimi unisaidie nini? Hapa niko China kushughulikia biashara zangu alafu unipe uteuzi nusubirie mwisho wa mwezi? Sina huo ujinga!!Mkuu una tafuta teuzi kama Lucas mwashambwa?
Endeleeni kumjaza ujinga huyu mwanamke wa Kiswahili wakati hili suala la bandari limemshusha mpaka chiniSikuwahi kumfahamu vizuri kabla ya Bunge la Katiba.
Ila wakati wa Bunge la Katiba kuna muda alikuwa anachair vikao kipindi kile kina Tundu Antipass Lissu wana mchecheto kweli.
Kusema kweli Samia hasumbuliwi na siasa za maneno, sijui siasa za vitisho, sijui siasa za kuponda. Kipindi kile pamoja na vituko vyote vya kina Tundu Antipass Lissu ila alikuwaga imara sana kuchair vile vikao vya Bunge la Katiba.
Kwa kifupi she was bold kuliko kina Pandu Amir Kificho na Spika wa Bunge lile.
Kuna watu wanadhani Mama Samia anatishika na matamko yao uchwara, kuna watu wanadhani anakosa usingizi. Napenda kuwaambia hamumjui vizuri Samia Suluhu Hassan . Huyu ana ngozi ngumu kwenye siasa za ushindani nadhani kuliko mwanasiasa yeyote yule tuliyewahi kuwa nae. Ndo mana aliweza hata kuwa mgeni rasmi kwenye mkutano wa wapinzani wake Bawacha .
Nikimuangalia sana namfananisha sana na mwanasiasa aliyewahi kuwa Waziri Mkuu wa Uingereza Bi Margareth Thatcher ambaye alikuwa bold hadi waingereza walimpa Nickname ya Iron Lady
Poleni sana mnaodhani mnaweza kumtetemesha Rais Samia kwa matamko yenu.
Tumbo langu nalihangaikia kwa kazi zangu sio kwa kutafuta vyeo ambavyo kwa kifupi vitafanya nipate pesa kidogo kuliko ninazopata leoHuna lolote, unapalilia tumbo lako tu!
Hili neno ulilosema " mwanamke wa kiswahili" linaonesha wewe ni mtu wa aina gani!!Endeleeni kumjaza ujinga huyu mwanamke wa Kiswahili wakati hili suala la bandari limemshusha mpaka chini
We kenge usituletee udini wako wa kisenge. Huoni hata aibu kujiita mfuasi wa Roma wakati we ni mtanzania.Huna ukatoliki wowote we nguchiro... wapeni misikiti DP World maana viwanja na majumba vyote mmeuza kwa bei ya kutupa!!
ULitaka wauziwe waroma kwasababu we ni mfuasi wao? Mmeshazidiwa ujanja sasa mkameze sumu. Ngedere nyieNyie ni TAKATAKA tu.... mnataka kuuza nchi kisa ndugu zenu katika imani? Wauzieni misikiti shwani nyie.
Usiwalaumu sana hawa ndugu zetu. Shule inawasumbuaNyie ni TAKATAKA tu.... mnataka kuuza nchi kisa ndugu zenu katika imani? Wauzieni misikiti shwani nyie.