Sina mashaka na Rais Samia Suluhu Hassan

Sina mashaka na Rais Samia Suluhu Hassan

Watanzania hawajaridhika na Mkataba wa Bandari ya salama. Serikali isione haya kuachana na Waarabu
 
Kwanza mambo gani hayaendi sawa?
Unaona hii Sintofahamu ya Mkataba / Sijui Makubaliano au ile mingine iliyosainiwa USA na pengine pengi ambayo haijulijkani hence kuleta taharuki ni mambo kwenda sawa ?

Ukishaleta mashaka na watu kutokuaminiana ni hatari kwa mustakabari wa taifa..., Kazi nzito sana iliyojengwa na waasisi ya kutuunganisha inaweza ikavunjika kwa siku chache tu..., and for what !!??

Kwahio no matter uzuri au ubaya wa DP World na huu mkataba / sijui makuliano; umekuwa handled very badly, na kwa cost kubwa bila sababu (sijui CCM wametumia pesa kiasi gani kuchota watu kwenda uwanjani na kuwaonga pesa ili kupita propaganda) That money could have been used constructively.... By the way tunaendelea kulipa Makampuni huko nje kwa kushindwa kesi sababu ya kutokuwa na mashaka na viongozi waliopita
 
1691918561367-png.2716150
 
Ukiwa chawa unakuwa mraibu kama mpiga nyeto akili zote zinahama

Silaa, Mdude, Mwaabukusi, wapo nyumbani kwao miguu juu ya meza tangawizi kwa pembeni wanacheki mechi ya mancity
Mama yupo Arusha anapunga upepo wa mlima meru
Chawa upo hapa unarukaruka kama ng'ombe aliyechomwa sindano ya ndui

Kwa taarifa yako tu mama hasikilizi tena chawa a.k.a wapambe nuksi na sifa zenu za kikuda.
 
Unaona hii Sintofahamu ya Mkataba / Sijui Makubaliano au ile mingine iliyosainiwa USA na pengine pengi ambayo haijulijkani hence kuleta taharuki ni mambo kwenda sawa...
Sintofahamu ya mkataba kutokana na logic au ujinga wa watu kulazimisha tafsiri zao za kupotosha kuhusu mkataba?

Kama Mahakama imesema sawa! Tena majaji 3 wewe nani ulete tafsiri zako za kijinga alafu ndo useme una hoja?
 
Ukiwa chawa unakuwa mraibu kama mpiga nyeto akili zote zinahama

Silaa, Mdude, Mwaabukusi, wapo nyumbani kwao miguu juu ya meza tangawizi kwa pembeni wanacheki mechi mancity
Mama yupo Arusha anapunga upepo wa mlima mer...
Endelea kusubiri embe chini ya mtiki
 
Sikuwahi kumfahamu vizuri kabla ya Bunge la Katiba.

Ila wakati wa Bunge la Katiba kuna muda alikuwa anachair vikao kipindi kile kina Tundu Antipass Lissu wana mchecheto kweli...
Samia asicheke na wakkatoliki, Hawa kkenge wanamchukia awatie adabu
 
Samia asicheke na wakkatoliki, Hawa kkenge wanamchukia awatie adabu
Hizi cartels dawa yao ni kuwapuuza tu!

Badala ya kutoa waraka kuhusu maaskofu wenzao kurudisha fedha za escrow fedha za walipa kodi maskini wanahangaika na mambo yasiyowahusu kwa chuki zao za kidini tu.
 
Sikuwahi kumfahamu vizuri kabla ya Bunge la Katiba.

Ila wakati wa Bunge la Katiba kuna muda alikuwa anachair vikao kipindi kile kina Tundu Antipass Lissu wana mchecheto kweli.

Kusema kweli Samia hasumbuliwi na siasa za maneno, sijui siasa za vitisho, sijui siasa za kuponda. Kipindi kile pamoja na vituko vyote vya kina Tundu Antipass Lissu ila alikuwaga imara sana kuchair vile vikao vya Bunge la Katiba.

Kwa kifupi she was bold kuliko kina Pandu Amir Kificho na Spika wa Bunge lile.

Kuna watu wanadhani Mama Samia anatishika na matamko yao uchwara, kuna watu wanadhani anakosa usingizi. Napenda kuwaambia hamumjui vizuri Samia Suluhu Hassan . Huyu ana ngozi ngumu kwenye siasa za ushindani nadhani kuliko mwanasiasa yeyote yule tuliyewahi kuwa nae. Ndo mana aliweza hata kuwa mgeni rasmi kwenye mkutano wa wapinzani wake Bawacha .

Nikimuangalia sana namfananisha sana na mwanasiasa aliyewahi kuwa Waziri Mkuu wa Uingereza Bi Margareth Thatcher ambaye alikuwa bold hadi waingereza walimpa Nickname ya Iron Lady

Poleni sana mnaodhani mnaweza kumtetemesha Rais Samia kwa matamko yenu.
Endeleeni kumjaza ujinga huyu mwanamke wa Kiswahili wakati hili suala la bandari limemshusha mpaka chini
 
Endeleeni kumjaza ujinga huyu mwanamke wa Kiswahili wakati hili suala la bandari limemshusha mpaka chini
Hili neno ulilosema " mwanamke wa kiswahili" linaonesha wewe ni mtu wa aina gani!!

Polee na tabia zako za kikaburu hizo
 
Huna ukatoliki wowote we nguchiro... wapeni misikiti DP World maana viwanja na majumba vyote mmeuza kwa bei ya kutupa!!
We kenge usituletee udini wako wa kisenge. Huoni hata aibu kujiita mfuasi wa Roma wakati we ni mtanzania.
 
Nyie ni TAKATAKA tu.... mnataka kuuza nchi kisa ndugu zenu katika imani? Wauzieni misikiti shwani nyie.
ULitaka wauziwe waroma kwasababu we ni mfuasi wao? Mmeshazidiwa ujanja sasa mkameze sumu. Ngedere nyie
 
Nyie ni TAKATAKA tu.... mnataka kuuza nchi kisa ndugu zenu katika imani? Wauzieni misikiti shwani nyie.
Usiwalaumu sana hawa ndugu zetu. Shule inawasumbua
Huwa nacheka sana mwarabu mweusi akijipendekeza kwa mwarabu mweupe kuwa ni wajomba zao.
Hawa waliofanya slave trade leo wajomba zao kisa imani iliyokuja na biashara ya utumwa na pembe ndovu.
Muda utasema, tutawavurumisha ile mbaya. Wewe subiri tu
 
Back
Top Bottom