The people's heart president... TALMgombea Urais wa JMT kwa tiketi ya Chadema Mhe. Tundu Lissu akiwasalimia mamia ya wananchi katika Mji wa Shelui, Jimbo la Iramba, leo Jumanne Agosti 11, 2020 waliosimama barabarani na kumzuia kwa muda wakimtaka asimame na kuwahutubia kwanza kabla hajaendelea na safari.
View attachment 1534035
Jamaa kaondoka na kijiji ha ha ha.Mgombea Urais wa JMT kwa tiketi ya Chadema Mhe. Tundu Lissu akiwasalimia mamia ya wananchi katika Mji wa Shelui, Jimbo la Iramba, leo Jumanne Agosti 11, 2020 waliosimama barabarani na kumzuia kwa muda wakimtaka asimame na kuwahutubia kwanza kabla hajaendelea na safari.
View attachment 1534035
Afande Sirro alitisha sana...eti wanasikia yupo ila hawamuoni!🙂na sababu zitakuwa kwamba haonekani na polisi wa IGP Sirro, lakini anaonekana na wananchi.
Jana mvuto Kama wewe!Lissu hana mvuto. Anajisumbua tu
We nae.....Lissu hana mvuto. Anajisumbua tu
Lissu hana mvuto. Anajisumbua tu
JidanganyeLissu hana mvuto. Anajisumbua tu
Duh Kweli wamekula wameshiba na sasa wanatukana wananchiAfande Sirro alitisha sana...eti wanasikia yupo ila hawamuoni!🙂
Mataga wote wamepata tumbo la kuhara huwezi jua dume ni yupi n jike ni yupi wote full kuhara [emoji3]Lissu hana mvuto. Anajisumbua tu
Acheni media ziripoti habari zake. Ndio mjue watu wanataka maendeleo yao zaidi sio vitu kama ndegeMAGUFULI4LIFE.