Uchaguzi 2020 Singida, Iramba: Mamia ya wananchi wa Shelui, wamemzuia barabarani Mgombea wa CHADEMA Tundu Lissu ili awasalimie

Uchaguzi 2020 Singida, Iramba: Mamia ya wananchi wa Shelui, wamemzuia barabarani Mgombea wa CHADEMA Tundu Lissu ili awasalimie

Picha yenyewe ya kuunganishanisha. Upuuzi wa kiwango cha juu sana huu. Kama hukubaliki hukubaliki tu. Kwanini kutumia nguvu zote hizo?
 
Sasa umesema mama,na ili Huyo lopolopo ashinde urais anahitaji watu mamilioni,

Mwacheni aendeleee kutembeza homa juani,hakuna atakachoambulia,watanzania sio mafara kama yeye
 
Back
Top Bottom