Uchaguzi 2020 Singida, Iramba: Mamia ya wananchi wa Shelui, wamemzuia barabarani Mgombea wa CHADEMA Tundu Lissu ili awasalimie

Mgombea Urais wa JMT kwa tiketi ya Chadema Mhe. Tundu Lissu akiwasalimia mamia ya wananchi katika Mji wa Shelui, Jimbo la Iramba, leo Jumanne Agosti 11, 2020 waliosimama barabarani na kumzuia kwa muda wakimtaka asimame na kuwahutubia kwanza kabla hajaendelea na safari.

View attachment 1534035
Wakati si milele

Jr[emoji769]
 
Lisu hapati hata asilimia 20 ya kura! Mbona mnajisumbua sana?
 
Sasa umesema mama,na ili Huyo lopolopo ashinde urais anahitaji watu mamilioni,

Mwacheni aendeleee kutembeza homa juani,hakuna atakachoambulia,watanzania sio mafara kama yeye
Kura yangu kashaichukua Lissu!
 
Mgombea Urais wa JMT kwa tiketi ya Chadema Mhe. Tundu Lissu akiwasalimia mamia ya wananchi katika Mji wa Shelui, Jimbo la Iramba, leo Jumanne Agosti 11, 2020 waliosimama barabarani na kumzuia kwa muda wakimtaka asimame na kuwahutubia kwanza kabla hajaendelea na safari.

View attachment 1534035
Peoples'sssssss
 
Back
Top Bottom