Uchaguzi 2020 Singida, Iramba: Mamia ya wananchi wa Shelui, wamemzuia barabarani Mgombea wa CHADEMA Tundu Lissu ili awasalimie

Uchaguzi 2020 Singida, Iramba: Mamia ya wananchi wa Shelui, wamemzuia barabarani Mgombea wa CHADEMA Tundu Lissu ili awasalimie

We ng'ombe jana ulisema hapati hata 10%ya kura leo unasema hapati 20%........Kesho utasemaje??

Maccm yana akili mbovu wn

Tutaelewana tu[emoji123][emoji123]
Wewe acha kupanic! Lisu akipata walau kura asilimia 20 nahama nchi
 
Upinzani ulikua unakusanya kijiji enzi zile mbowe alivyokua mgombea

ukiskia kijiji basi ujue kijiji kweli,ila saivi watu sijui wanamaanisha nn wakisema

mamia ya wananchi wakati watu wanao onekana kwenye picha hata uki zoom vipi 100 hawafiki.
 
Upinzani enzi za Mrema,ukisikia mamia ya wananchi basi unazidisha mara mia

Upinzani enzi za mbowe,ukisikia maelfu ya wananchi basi unazidisha mara buku

ila kwa huyu Lissu nina uhakika hata yeye mwenyewe anajua kupenya kwenye hili tundu n ishu.
 
Mgombea Urais wa JMT kwa tiketi ya Chadema Mhe. Tundu Lissu akiwasalimia mamia ya wananchi katika Mji wa Shelui, Jimbo la Iramba, leo Jumanne Agosti 11, 2020 waliosimama barabarani na kumzuia kwa muda wakimtaka asimame na kuwahutubia kwanza kabla hajaendelea na safari.

View attachment 1534035
Heri wenye macho na masikio. TAL ubarikiwe.
 
Mtaongeza kitu katika CV yake, kwamba alishawahi kugombea urais wa JMT.
 
Wananchi wakimzuia msafara wa mgombea...je sheria inasemaje? Awavunje miguu ili apite? Police walikuwa wapi wakati wanatakiwa kwa mujibu wa sheria kuhakikisha mgombea anapita bila vikwazo vyoyote..!!
 
Back
Top Bottom