Uchaguzi 2020 Singida, Iramba: Mamia ya wananchi wa Shelui, wamemzuia barabarani Mgombea wa CHADEMA Tundu Lissu ili awasalimie

Uchaguzi 2020 Singida, Iramba: Mamia ya wananchi wa Shelui, wamemzuia barabarani Mgombea wa CHADEMA Tundu Lissu ili awasalimie

Kila kona ya Tanzania ni Lissu Lissu tu.. Watanzania hatutaki kusikia hadithi tena. Tunamtaka Lissu atuongoze kwa miaka kumi ijayo.
 
Lisu hapati hata asilimia 20 ya kura! Mbona mnajisumbua sana?
Mkuu umefanya maoteo ya juu sana huyu jamaa hazidi 0.5% ya kura atakazozipata mark my words, toka ameingia Nchini hakuna mapokezi ya maana aliyoyapata kuanzia Dodoma hadi leo Kahama ni aibu tupu.
 
Wewe acha kupanic! Lisu akipata walau kura asilimia 20 nahama nchi
We ng'ombe jana ulisema hapati hata 10%ya kura leo unasema hapati 20%........Kesho utasemaje??

Maccm yana akili mbovu wn

Tutaelewana tu
 
lissu sio tu kwamba hawezi kuwa rais bali pia hafai kuwa rais
 
Back
Top Bottom