Therapist 2015
JF-Expert Member
- Aug 4, 2018
- 791
- 831
Mbona unatumia nguvu nyingi kumpinga Lissu?Lissu hana mvuto. Anajisumbua tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona unatumia nguvu nyingi kumpinga Lissu?Lissu hana mvuto. Anajisumbua tu
Wewe ni Malaya unamtaka mme wa mtu awe na mvuto ili iweje,?Picha yenyewe ya kuunganishanisha. Upuuzi wa kiwango cha juu sana huu. Kama hukubaliki hukubaliki tu. Kwanini kutumia nguvu zote hizo?
Ze komedi.Hahaa hii nchi hii
Anamuogopa maana jumuia ya kimataifa ina watolea macho
Picha yenyewe ya kuunganishanisha. Upuuzi wa kiwango cha juu sana huu. Kama hukubaliki hukubaliki tu. Kwanini kutumia nguvu zote hizo?
Wakati si mileleMgombea Urais wa JMT kwa tiketi ya Chadema Mhe. Tundu Lissu akiwasalimia mamia ya wananchi katika Mji wa Shelui, Jimbo la Iramba, leo Jumanne Agosti 11, 2020 waliosimama barabarani na kumzuia kwa muda wakimtaka asimame na kuwahutubia kwanza kabla hajaendelea na safari.
View attachment 1534035
Mhm kwani kuna mashindano ya urembo au umechanganya madesa?Lissu hana mvuto. Anajisumbua tu
Waambie hao Chadema hawajitambuiWakati si milele
Jr[emoji769]
Wewe Ni mpotoshaji !!!!Lissu hana mvuto. Anajisumbua tu
Mpotoshaji wewe !!!!!Mhm kwani kuna mashindano ya urembo au umechanganya madesa?
Jr[emoji769]
Watanzania wanamfahamu Mheshimiwa Lissu .Lisu hapati hata asilimia 20 ya kura! Mbona mnajisumbua sana?
naomba no yako baeb nataka nikutongozeLissu hana mvuto. Anajisumbua tu
Kura yangu kashaichukua Lissu!Sasa umesema mama,na ili Huyo lopolopo ashinde urais anahitaji watu mamilioni,
Mwacheni aendeleee kutembeza homa juani,hakuna atakachoambulia,watanzania sio mafara kama yeye
Dikteta?
Wataisoma Namba safari hii !Watanzania wanamfahamu Mheshimiwa Lissu .
Unawashwa wewe sio burePicha yenyewe ya kuunganishanisha. Upuuzi wa kiwango cha juu sana huu. Kama hukubaliki hukubaliki tu. Kwanini kutumia nguvu zote hizo?
Peoples'sssssssMgombea Urais wa JMT kwa tiketi ya Chadema Mhe. Tundu Lissu akiwasalimia mamia ya wananchi katika Mji wa Shelui, Jimbo la Iramba, leo Jumanne Agosti 11, 2020 waliosimama barabarani na kumzuia kwa muda wakimtaka asimame na kuwahutubia kwanza kabla hajaendelea na safari.
View attachment 1534035
Ahahahaa,hii kauli aliitoa lini ?Afande Sirro alitisha sana...eti wanasikia yupo ila hawamuoni!🙂
Power !!!!!!!!Peoples'sssssss
Hivi mvuto kwa kiingereza ni nini?Lissu hana mvuto. Anajisumbua tu