Ramea JF-Expert Member Joined Mar 19, 2015 Posts 2,146 Reaction score 4,084 Aug 11, 2020 #81 Jane Lowassa said: Lissu hana mvuto. Anajisumbua tu Click to expand... Wewe mwenyewe huna mvuto. Unajisumbua tu.
Jane Lowassa said: Lissu hana mvuto. Anajisumbua tu Click to expand... Wewe mwenyewe huna mvuto. Unajisumbua tu.
jimama26 JF-Expert Member Joined Jul 30, 2013 Posts 2,839 Reaction score 2,963 Aug 11, 2020 #82 Kila kona ya Tanzania ni Lissu Lissu tu.. Watanzania hatutaki kusikia hadithi tena. Tunamtaka Lissu atuongoze kwa miaka kumi ijayo.
Kila kona ya Tanzania ni Lissu Lissu tu.. Watanzania hatutaki kusikia hadithi tena. Tunamtaka Lissu atuongoze kwa miaka kumi ijayo.
M Mhoza JF-Expert Member Joined Aug 30, 2013 Posts 412 Reaction score 261 Aug 11, 2020 #83 Crimea said: Lisu hapati hata asilimia 20 ya kura! Mbona mnajisumbua sana? Click to expand... Mkuu umefanya maoteo ya juu sana huyu jamaa hazidi 0.5% ya kura atakazozipata mark my words, toka ameingia Nchini hakuna mapokezi ya maana aliyoyapata kuanzia Dodoma hadi leo Kahama ni aibu tupu.
Crimea said: Lisu hapati hata asilimia 20 ya kura! Mbona mnajisumbua sana? Click to expand... Mkuu umefanya maoteo ya juu sana huyu jamaa hazidi 0.5% ya kura atakazozipata mark my words, toka ameingia Nchini hakuna mapokezi ya maana aliyoyapata kuanzia Dodoma hadi leo Kahama ni aibu tupu.
Bome-e JF-Expert Member Joined Jan 3, 2014 Posts 17,179 Reaction score 26,188 Aug 11, 2020 #84 digba sowey said: Haisaidii,huyu akipata 05% ya kura zote nahama nchi Click to expand... Hama kabisa maana Lissu anasubiri kuapishwa! Mpitie na Makonda muondoke wote!
digba sowey said: Haisaidii,huyu akipata 05% ya kura zote nahama nchi Click to expand... Hama kabisa maana Lissu anasubiri kuapishwa! Mpitie na Makonda muondoke wote!
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 301,577 Reaction score 754,412 Aug 12, 2020 #85 Peter Sumbizi said: Mpotoshaji wewe !!!!! Click to expand... Jibu hoja acha kurukaruka kama bisi kikaangoni
Peter Sumbizi said: Mpotoshaji wewe !!!!! Click to expand... Jibu hoja acha kurukaruka kama bisi kikaangoni
Ulongupanjala JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 8,273 Reaction score 13,567 Aug 12, 2020 #86 Nenda wewe kapige picha za kipumbavu pumbavu. Countrywide said: Picha zinapigwa ki-ujanja sana Click to expand...
Nenda wewe kapige picha za kipumbavu pumbavu. Countrywide said: Picha zinapigwa ki-ujanja sana Click to expand...
Jile79 JF-Expert Member Joined May 28, 2009 Posts 17,668 Reaction score 13,263 Aug 12, 2020 #87 Crimea said: Wewe acha kupanic! Lisu akipata walau kura asilimia 20 nahama nchi Click to expand... We ng'ombe jana ulisema hapati hata 10%ya kura leo unasema hapati 20%........Kesho utasemaje?? Maccm yana akili mbovu wn Tutaelewana tu
Crimea said: Wewe acha kupanic! Lisu akipata walau kura asilimia 20 nahama nchi Click to expand... We ng'ombe jana ulisema hapati hata 10%ya kura leo unasema hapati 20%........Kesho utasemaje?? Maccm yana akili mbovu wn Tutaelewana tu
Mndengereko JF-Expert Member Joined Mar 24, 2011 Posts 7,296 Reaction score 3,398 Aug 12, 2020 #88 lissu sio tu kwamba hawezi kuwa rais bali pia hafai kuwa rais