Singida: Katibu Mwenezi wa CHADEMA Kata ya Mhintiri, Nicholas Andrea Gui auawa kwa kukatwa mapanga

Magufuli ametuharibia nchi kwa kuhubiri ubaguzi wa itikadi za kichama. Huyu ndiye rais atakayekumbukwa kwa utawala wake kufanya maovu mengi ya mauaji, utekaji na utesaji. RIP mtanzania mwenzetu
 
Yani mm nikiskia ivi ndo mzuka wa kupiga kura unapanda mara dufu #niyeye2020
 
Jamaa wamelipa kisasi kwa kudhani yule wa CCM kauliwa na CHADEMA?
Mshana Jr ni mapema sana kudhania hivyo,tuwe na subira ukweli utajulikana tu, Damu ya Mtu ni nzito sana!!
 
OCD wa Hai amwambia Mbowe hata afanyeje hawezi kumshinda mgombea wa CCM Hai
 
Rais atoke hadharani atoe amri watu waliohusika na mauwaji wasakwe wakamatwe! Kama alivyofanya Iringa. Akikaa kimya tu nitajua kumbe hata wale waliokuwa wanaokotwa kwenye viroba ni wanachadema,maana hakuongea kitu.
 
OCD Shinyanga adaiwa kuja na bango la CCM lililochanwa nyumbani kwa mgombea wa ubunge Shinyanga Mjini kupitia CHADEMA ili kumkamata
 
Ndiye shetani mwenyewe.
Kuliko mashetani yaliyokusanyika CHADEMA!

Mgombea Urais, tukiamini ni msomi, kumbe msomi uchwara, anayeishi kwa udaku wa mitandao ya kijamii, siku 7 za kifungo cha kutokushiriki kwenye kampeni, atajifunza ukweli kuhusu Tanzania mpya. Jana kutumia usafiri wa mwendokasi na Sikoni Kariakoo ameshuhudia yaliyo tofauti na anayohubiri kwenye kampeni.

Hata huyu Marehemu (RIP) atakuwa amefanyiwa na wana CHADEMA wenzake. Muda si mrefu vitendo vya utekaji na mauaji vinavyosingiziwa Serikali, ukweli utawekwa hadharani, na uwe mmoja wa misumari kwenye jeneza la CHADEMA
 
Duh!upinzani ni unyama sikuizi
 
Unastahili kwenda kuisaidia polisi kueleza ni wana CHADEMA gani waliofanya udhalimu huu.
 
Hivi mbadala wa kushindwa kwa hoja ni risasi na mapanga?
 
Hii ni Tanzania mpya kwa mujibu wa kitengo cha propaganda ya ccm, ila ni Tanzania ile ile na chochote kinachofanyika kinafanyika kwa kodi za watanzania zikiwemo za Lissu.

Huu unyama wanaofanyiwa wapinzani kwa sasa ni mambo yenye baraka za kiongozi wa sasa. Hakuna tatizo maana haya yatafikia mwisho, hata akina Hitler, Amin nk walifanya haya haya na walifika mwisho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…