Single Moms njooni tuelimishane kitu hapa

Singo maza wote mbumbumbu bogus OmbaOmba wagawa utamu hopeless wapenda waume za watu wamejaa stress wachawi wana roho mbaya... Vijana msithubutu kuoa singo maza hawanaga akili
Huyu ndio wewe kabisa maana huwezi sema usihokijua...Mungu akusaidie utoke huku
 
Shimba ya Buyenze I think this is obvious but sometimes it’s good to have a reminder..you aren’t required to date men.. You’re not required to “just give them a chance”😊

Not that you have to date women either😊..I have bunch of few people like that Ms eyes sometimes we need to understand them as they are it doesn’t mean that they’re mentally challenged 🤣👋

You know sex is overrated 🤣👋
Dating doesn't equal having sex (at least in my books)....I hope you know that Lovie Lady

Celibacy is honorable and I have sometimes tried it (not because of trauma from women though). I still practice it whenever I need mental and spiritual clarity...
 
Sasa point yangu ni ipi ya kuwakusanya wamama wenzangu...ni hivi...hatujaua,tumezaa,tunalea....na huenda tukawa tumebahatika kupata wanaume wema wanaotupenda siye na wanetu. Sasa ninachokuuliza hivi wenzangu mnawezaje kuendelea kuwasiliana na mwanaume aliyeshindwa kukupa thamani ya kuweka ndani na akakuacha na mtoto. Mnawezaje kuvua nguo tena Kwa mwanaume ambaye si mumeo Yaan Ex tena aliyekudharaulisha?
Eti jamani!!
 
The law of life is the law of belief….usipoteze imani,jua lengo la maisha utaishi kwa amani.
 
Mwenzenu huu usinglemom ulinikuta chap Kwa haraka. Yaani bila kutarajia mtu niliyemwamini na niliyekuwa na malengo nae alinigeuka. Nikisema iliingia kwa bahati mbaya nitakuwa nadanganya tulipanga nami nilijiaminisha kwa sababu kuna hatua tulipitia ambazo nikajua yessss, nimelipata bwana!

We bwana wee kumbe nimepatikana, yaani Ile kitu kutiki tu jamaa akasema "katoe mimba" nyie wadada wenzangu mnaotupondea singlemoms. Siyo kwamba sikuweza kumeza P2 au miso-p au kwenda hospital kukwanguliwa noo, ningeweza ila tu huyu kiumbe hakuwa na hatia.So mwishowe nikazaa huyu son wangu, jamaa alichoniambia ni kuwa umezaa basi umejipanga kulea I mean hajawahi toa hata Senti kulea mwanangu then Leo hii anajitutumua eti anataka mwanaye.Teh!

Sasa point yangu ni ipi ya kuwakusanya wamama wenzangu...ni hivi...hatujaua,tumezaa,tunalea....na huenda tukawa tumebahatika kupata wanaume wema wanaotupenda siye na wanetu. Sasa ninachokuuliza hivi wenzangu mnawezaje kuendelea kuwasiliana na mwanaume aliyeshindwa kukupa thamani ya kuweka ndani na akakuacha na mtoto. Mnawezaje kuvua nguo tena Kwa mwanaume ambaye si mumeo Yaan Ex tena aliyekudharaulisha? Aisee,mwenzenu nimeshindwa. Nilimwambia nitakuwahisha kunizoea😖🤨

NB: Sijawahi mjaza sumu mwanangu hicho ndicho nilichoshinda namwacha akue yeye ndo atachambua magugu na ngano. Hongereni kwa kupambana wanawake wenzangu kulea ni kaz kweli.

Nawapenda sana😍😘
I love you single moms! 🥰 Please accept these flowers of yours. 💐🌹🌷
 
Binti/msichana liogope kundi hili.
1 F*ckboy.
2.Playboy.
3.Mume wa mtu .

Hilo ndilo group linalo ongoza kutengeneza single mother, moja na mbili hawa kazi yao kutengeneza mwonekano, kushinda gym na mwendo wa kuulamba ila hawana time na mimba. Namba tatu hao wana hela hapo ndipo dada zangu wanapo potezwa.

Kundi hili.
Church boy /Kijana wapole hawa ndio wa kukomaa nao na mara nyingi wako real sana na wapo tayari kubeba misalaba yao kama baba,tatizo wanawake wengi zaidi ya 70% huwaga hamuwapi nafasi,mnawaona wamepooza,mara hawajui kuvaa nk.

NB
Dada yangu acha unyonge, so always kuna second chance ukiipata husiipaishe,maana wengi wenu kwa wababa mliozaa nao beki hazikabi.
 
Sasa ninachokuuliza hivi wenzangu mnawezaje kuendelea kuwasiliana na mwanaume aliyeshindwa kukupa thamani ya kuweka ndani na akakuacha na mtoto. Mnawezaje kuvua nguo tena Kwa mwanaume ambaye si mumeo Yaan Ex tena aliyekudharaulisha

Mcute wangu to yeye! Dawa yake ni kumpuuza na kumdharau.
 
Katika majaribio yangu yaliyowahi kufeli vibaya ni ya kutaka kuoa single maza. Yaani pata picha jaribio la kumtaka kumpindua Kagame au Omar Bongo lifeli halafu ukamatwe..!😭

Single mama wa kwanza nilimkuta kabisa hana mtu na tukaanza mahusiano. Ila ndo wakati penzi linaanza kunoga mara single mama kapata kazi TRA makao makuu pesa kibao. Ex wake ghafla akajitokeza na mimi nikapigwa chini bila huruma. Nakumbuka nilipewa onyo nisimfuatilie. Nikakubaliana na hali na ku-move on.

Single mama wa pili ni binti niliyempenda sana kabla ya kuwa single mama ila akawa ananikataa. Naye nilimkuta kawa single mama na kiuchumi hakuwa poa. Nikasema nijaribu ila kwa tahadhari. Kilichofanya nimkimbie kimyakimya ni kuona ananibebesha sana majukumu ya mtoto wake utadhani mimi ni baba wa damu. Nikajitoa.

Baada ya hapo nikakata shauri la kutojihusisha na single mama tena kwa sababu pia hata watu wangu wengi waliowahi kuoa single mama hawajaweza kuishi nao hadi mwisho. Wengi wameachana. Ninashauri kina dada MSIFANYE NGONO ZEMBE KABLA YA NDOA. Mwambie jamaa avae condom au wekeza hela zako kwenye P2 ili dunia iendelee kuwa sehemu salama kuishi.
 
Hapana asimwambie hivyo, amwambie tu Baba yako yupo iko siku mtaonana....basi.

To yeye huyo shemdarling Baba watoto wetu mawasiliano yako aliyapataje hadi aanze kudai mtoto?
Mie nilishabadilisha namba,Mama hajabadilisha
 
🤣🤣🤣🤣
Katika majaribio yangu yaliyowahi kufeli vibaya ni ya kutaka kuoa single maza. Yaani pata picha jaribio la kumtaka kumpindua Kagame au Omar Bongo lifeli halafu ukamatwe..!😭

Single mama wa kwanza nilimkuta kabisa hana mtu na tukaanza mahusiano. Ila ndo wakati penzi linaanza kunoga mara single mama kapata kazi TRA makao makuu pesa kibao. Ex wake ghafla akajitokeza na mimi nikapigwa chini bila huruma. Nakumbuka nilipewa onyo nisimfuatilie. Nikakubaliana na hali na ku-move on.

Single mama wa pili ni binti niliyempenda sana kabla ya kuwa single mama ila akawa ananikataa. Naye nilimkuta kawa single mama na kiuchumi hakuwa poa. Nikasema nijaribu ila kwa tahadhari. Kilichofanya nimkimbie kimyakimya ni kuona ananibebesha sana majukumu ya mtoto wake utadhani mimi ni baba wa damu. Nikajitoa.

Baada ya hapo nikakata shauri la kutojihusisha na single mama tena kwa sababu pia hata watu wangu wengi waliowahi kuoa single mama hawajaweza kuishi nao hadi mwisho. Wengi wameachana. Ninashauri kina dada MSIFANYE NGONO ZEMBE KABLA YA NDOA. Mwambie jamaa avae condom au wekeza hela zako kwenye P2 ili dunia iendelee kuwa sehemu salama kuishi.
🤣🤣🤣🤣🤭
 
Sasa ninachokuuliza hivi wenzangu mnawezaje kuendelea kuwasiliana na mwanaume aliyeshindwa kukupa thamani ya kuweka ndani na akakuacha na mtoto. Mnawezaje kuvua nguo tena Kwa mwanaume ambaye si mumeo Yaan Ex tena aliyekudharaulisha

Mcute wangu to yeye! Dawa yake ni kumpuuza na kumdharau.
AMina wangu😘😘💕
 
Mie nilishabadilisha namba,Mama hajabadilisha
Unakumbuka ulivyopambana labor without any emotional support? Make him pay for it, akitaka kumuona tu huyo mtoto aje formal, tena aongozane na ndugu zake WA heshima na faini juu mnampiga, hapo ni kumuona tu sijakwambia kumchukua.
Halafu mtumie ujumbe kupitia Kwa watu kuwa ak.ome kumpigia mama etu, hamuhusu.

Manake suala la yeye kuja kuungana na mtoto wataungana tu, hakuna cha kuzuia....na hutoamini mtoto atamjali sana Baba Ake.....sasa asipate hiyo privilege ya ubaba burebure, mtoe jasho.
 
Sawa Mpenz,ubarikiwe sana
 
walajuku-walajukuevans.gif
 
Mwenzenu huu usinglemom ulinikuta chap Kwa haraka. Yaani bila kutarajia mtu niliyemwamini na niliyekuwa na malengo nae alinigeuka. Nikisema iliingia kwa bahati mbaya nitakuwa nadanganya tulipanga nami nilijiaminisha kwa sababu kuna hatua tulipitia ambazo nikajua yessss, nimelipata bwana!

We bwana wee kumbe nimepatikana, yaani Ile kitu kutiki tu jamaa akasema "katoe mimba" nyie wadada wenzangu mnaotupondea singlemoms. Siyo kwamba sikuweza kumeza P2 au miso-p au kwenda hospital kukwanguliwa noo, ningeweza ila tu huyu kiumbe hakuwa na hatia.So mwishowe nikazaa huyu son wangu, jamaa alichoniambia ni kuwa umezaa basi umejipanga kulea I mean hajawahi toa hata Senti kulea mwanangu then Leo hii anajitutumua eti anataka mwanaye.Teh!

Sasa point yangu ni ipi ya kuwakusanya wamama wenzangu...ni hivi...hatujaua,tumezaa,tunalea....na huenda tukawa tumebahatika kupata wanaume wema wanaotupenda siye na wanetu. Sasa ninachokuuliza hivi wenzangu mnawezaje kuendelea kuwasiliana na mwanaume aliyeshindwa kukupa thamani ya kuweka ndani na akakuacha na mtoto. Mnawezaje kuvua nguo tena Kwa mwanaume ambaye si mumeo Yaan Ex tena aliyekudharaulisha? Aisee,mwenzenu nimeshindwa. Nilimwambia nitakuwahisha kunizoea[emoji37][emoji2955]

NB: Sijawahi mjaza sumu mwanangu hicho ndicho nilichoshinda namwacha akue yeye ndo atachambua magugu na ngano. Hongereni kwa kupambana wanawake wenzangu kulea ni kaz kweli.

Nawapenda sana[emoji7][emoji8]
Kwa akili,na Moyo wako huu natangaza hapa umesamehewa baadhi ya dhambi zako kumi.
 
Back
Top Bottom