Single mother tumeanza kushindwana na kutishiana maisha kisa mwanaye

Kwanini[emoji16][emoji16]
Mapenzi yao kwa watoto wao huwa yanawaharibia sana,fuatilia hiyo aina ya mahusiano halafu utaleta mrejesho hapa,yule mtoto ataishi kwa sheria za mama yake na sio zako,sasa kwenye nyumba hakuna kitu kama hicho,hakuna mwanaume anaetaka nyumba yake iongozwe na sheria za mwanamke,ndivyo wanaume tulivyo,kwahiyo hapo lazima moto utawaka...
 
Kweli
 
Mimi hata sijasoma mpka mwisho ila nachoweza kusema ni kwamba ukome kabisa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kwasababu kila siku wadau wanatoa Warnings hapa jukwaani kuhusu kuoa singel Mother's lakini hujaelewa sasa kula matunda ya ukichwa ngumu wako.
 
[emoji16][emoji16][emoji16]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
aiseeh!
Kuna namna nimekuelewa.
Issue sio mtoto, isse kwa malezi ya aina hi huyo hata hafai kuwa mama wa watoto wako.

Wala usijidanganye kuwa akimuacha mtoto kwa bibi yake utakuwa salama.
 
Mkuu nawe una tatizo la akili huwezi kuwa mwanaume kamili ukaingia kwenye mahusiano na mwanamke wa aina hiyo. Mfano ukizaa nae inamaana mwanao nae anaenda kuwa zezeta kama huyo wakufikia jipange next time usikosee
 
Interesting......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…