Hannah
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 9,679
- 39,087
Jamani😂😂😂😂. Ila ni kweli bila vayolensi sisikii raha kabisaDuh ila unapendezea vayolensi sana[emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani😂😂😂😂. Ila ni kweli bila vayolensi sisikii raha kabisaDuh ila unapendezea vayolensi sana[emoji1787][emoji1787]
Kwanini[emoji16][emoji16]Mwanamke akishakuwa na mtoto mahusiano yake mapya yanakuwa na shida sana...
Mapenzi yao kwa watoto wao huwa yanawaharibia sana,fuatilia hiyo aina ya mahusiano halafu utaleta mrejesho hapa,yule mtoto ataishi kwa sheria za mama yake na sio zako,sasa kwenye nyumba hakuna kitu kama hicho,hakuna mwanaume anaetaka nyumba yake iongozwe na sheria za mwanamke,ndivyo wanaume tulivyo,kwahiyo hapo lazima moto utawaka...Kwanini[emoji16][emoji16]
😂Jamani😂😂😂😂. Ila ni kweli bila vayolensi sisikii raha kabisa
KweliMapenzi yao kwa watoto wao huwa yanawaharibia sana,fuatilia hiyo aina ya mahusiano halafu utaleta mrejesho hapa,yule mtoto ataishi kwa sheria za mama yake na sio zako,sasa kwenye nyumba hakuna kitu kama hicho,hakuna mwanaume anaetaka nyumba yake iongozwe na sheria za mwanamke,ndivyo wanaume tulivyo,kwahiyo hapo lazima moto utawaka...
Mimi hata sijasoma mpka mwisho ila nachoweza kusema ni kwamba ukome kabisa 😂😂😂 kwasababu kila siku wadau wanatoa Warnings hapa jukwaani kuhusu kuoa singel Mother's lakini hujaelewa sasa kula matunda ya ukichwa ngumu wako.Nlipoanza mahusiano naye sikujali kama ana mtoto nikasema nitampenda hivyo hivyo ila tu anielewe na misimamo yangu. Maana mapema nlimwambia kuwa ni changamoto sana kudate yeye ikiwa hatojielewa.
Mwezi wa 12 akaomba sana aje likizo kukaa kwangu. Nikamwambia hamna shida. Akaja na mtoto wake. Mimi huwa sina ubaya na watoto. Ila sipendi vitoto vinavyodeka na vitundu. Nimepata naye changamoto mpaka nimemwambia HATUWEZI KUENDELEA MBELE. ACHAGUE KUISHI NAMI AU KUISHI NA MTOTO WAKE.
Maana nlimpa option ampeleke kwa bibi yake mimi nitamlipia ada na mahitaji mengine. Akasema anapenda kuwa karibu na mwanaye bibi yake ni mkali kwa watoto. Nikaelewa shida ni huyu mwanamke hana akili ya kulea mtoto. Amejaliwa tu rangi, sura na umbo zuri. Akili hana.
1. Mtoto ana miaka 6 kinadeka kama cha miaka 3. Kinajikojolea mama yake anasema usipokikumbusha kwenda kukojoa kinaona uvivu kinajikojolea hapo hapo kilipo.
2. Ana makelele mtu haukai ukapumzika. Fujo muda wote kinataka kiangalie TV na kinajua kucheza amapiano na singeli. Mama yake anacheka anakapigia makofi na anataka eti tukae kukiangalia kwa huo upuuzi.
3. Mtoto anaangalia michezo ya kiswahili na ile ya kipuuzi ya Azam Tv ya kutafsiri na kinapenda ile mbaya wanakaa kuangalia na mama yake. Mimi hiyo ni kichefu chefu.
4. Mtoto hakitaki kulala mchana muda wote kina fujo na kelele na amekizoesha hadi saa tano kinakuwa hai tu sebuleni.
5. Mtoto hataki kulala room ya peke yake. Amekizoesha kikilala kimkumbatie. Anasema ndo kinapata upendo. So inabidi tulale watatu kitandani na akumbatiane na kitoto chake. Tunatiana kwa nadra sana kwa Timing. Anaamka akinyata na kuniambia nimfuate sebuleni nikapige bao chap chap nirudi tukalale kabla hakijaamka na kuanza kulia.
6. Mkitoka mkaenda sehemu analilia kila kitu kinachoona. Ukikataa kununua mama yake anasema kwa unyonge " basi mwanangu usilie angekuwepo hai baba yako angekununulia. Vumiiia baba" mara tatu namsikia anaongea hayo maneno kama kuniumiza kuwa simjali mtoto wake.
7. Mtoto ameshaharibu vitu vingi ndani na kuvunja. Mama yake anacheka tu na kusema we Ikram usifanye hivyo hapa siyo kwenu.
Kiufupi ni kuwa huyu mama napomwambia kuwa mtoto anatakiwa alale mchana, usiku alale mapema, asiangalie sana TV, sitaki ajikojolee kwenye sofa au kitanda anaona mimi simpendi mwanawe.
Juzi nimemtolea uvivu. Nimemwambia sasa inatosha waondoke arudi akakae na mama yake. Akitaka kuja kwangu asije na mtoto wake. Sitaki kero na sitaki unafiki. Siwezi jifanya nafurahia wakati si kweli. Amelia sana kuwa hakujua sipendi watoto. Nimemwambia tabia za mtoto wake sizipendi na anamlea vibaya. Akiendelea hivyo kitoto either kitakuwa kishoga or kijizi.
Amerudi kwao. Tumeshindwana. Anatuma msg kuwa naonekana mtu mzuri kumbe nina roho mbaya. Yeye atajinyonga tu aniache na roho yangu. Nimemnyanyasa.
Nikipenda Boga nipende na ua lake sijui na nini na nini. Nimemwambia hata mtoto wangu siwezi mruhusu amlee vile.
Huwa wanakuja kulia wakishindwa ili single mom tukose waume humu😏Acha ujinga. kama umependa penda, kama unaona hakustahiloi piga chini. Usilielie humu.
[emoji16][emoji16][emoji16]5. Mtoto hataki kulala room ya peke yake. Amekizoesha kikilala kimkumbatie. Anasema ndo kinapata upendo. So inabidi tulale watatu kitandani na akumbatiane na kitoto chake. Tunatiana kwa nadra sana kwa Timing. Anaamka akinyata na kuniambia nimfuate sebuleni nikapige bao chap chap nirudi tukalale kabla hakijaamka na kuanza kulia.[emoji23][emoji23][emoji23]
Ulivyo na gubu wewe mtoto wa jambo atajuta kukujuaMimi ninaupendo kwawatoto mrembo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]5. Mtoto hataki kulala room ya peke yake. Amekizoesha kikilala kimkumbatie. Anasema ndo kinapata upendo. So inabidi tulale watatu kitandani na akumbatiane na kitoto chake. Tunatiana kwa nadra sana kwa Timing. Anaamka akinyata na kuniambia nimfuate sebuleni nikapige bao chap chap nirudi tukalale kabla hakijaamka na kuanza kulia.[emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu nawe una tatizo la akili huwezi kuwa mwanaume kamili ukaingia kwenye mahusiano na mwanamke wa aina hiyo. Mfano ukizaa nae inamaana mwanao nae anaenda kuwa zezeta kama huyo wakufikia jipange next time usikoseeNlipoanza mahusiano naye sikujali kama ana mtoto nikasema nitampenda hivyo hivyo ila tu anielewe na misimamo yangu. Maana mapema nlimwambia kuwa ni changamoto sana kudate yeye ikiwa hatojielewa.
Mwezi wa 12 akaomba sana aje likizo kukaa kwangu. Nikamwambia hamna shida. Akaja na mtoto wake. Mimi huwa sina ubaya na watoto. Ila sipendi vitoto vinavyodeka na vitundu. Nimepata naye changamoto mpaka nimemwambia HATUWEZI KUENDELEA MBELE. ACHAGUE KUISHI NAMI AU KUISHI NA MTOTO WAKE.
Maana nlimpa option ampeleke kwa bibi yake mimi nitamlipia ada na mahitaji mengine. Akasema anapenda kuwa karibu na mwanaye bibi yake ni mkali kwa watoto. Nikaelewa shida ni huyu mwanamke hana akili ya kulea mtoto. Amejaliwa tu rangi, sura na umbo zuri. Akili hana.
1. Mtoto ana miaka 6 kinadeka kama cha miaka 3. Kinajikojolea mama yake anasema usipokikumbusha kwenda kukojoa kinaona uvivu kinajikojolea hapo hapo kilipo.
2. Ana makelele mtu haukai ukapumzika. Fujo muda wote kinataka kiangalie TV na kinajua kucheza amapiano na singeli. Mama yake anacheka anakapigia makofi na anataka eti tukae kukiangalia kwa huo upuuzi.
3. Mtoto anaangalia michezo ya kiswahili na ile ya kipuuzi ya Azam Tv ya kutafsiri na kinapenda ile mbaya wanakaa kuangalia na mama yake. Mimi hiyo ni kichefu chefu.
4. Mtoto hakitaki kulala mchana muda wote kina fujo na kelele na amekizoesha hadi saa tano kinakuwa hai tu sebuleni.
5. Mtoto hataki kulala room ya peke yake. Amekizoesha kikilala kimkumbatie. Anasema ndo kinapata upendo. So inabidi tulale watatu kitandani na akumbatiane na kitoto chake. Tunatiana kwa nadra sana kwa Timing. Anaamka akinyata na kuniambia nimfuate sebuleni nikapige bao chap chap nirudi tukalale kabla hakijaamka na kuanza kulia.
6. Mkitoka mkaenda sehemu analilia kila kitu kinachoona. Ukikataa kununua mama yake anasema kwa unyonge " basi mwanangu usilie angekuwepo hai baba yako angekununulia. Vumiiia baba" mara tatu namsikia anaongea hayo maneno kama kuniumiza kuwa simjali mtoto wake.
7. Mtoto ameshaharibu vitu vingi ndani na kuvunja. Mama yake anacheka tu na kusema we Ikram usifanye hivyo hapa siyo kwenu.
Kiufupi ni kuwa huyu mama napomwambia kuwa mtoto anatakiwa alale mchana, usiku alale mapema, asiangalie sana TV, sitaki ajikojolee kwenye sofa au kitanda anaona mimi simpendi mwanawe.
Juzi nimemtolea uvivu. Nimemwambia sasa inatosha waondoke arudi akakae na mama yake. Akitaka kuja kwangu asije na mtoto wake. Sitaki kero na sitaki unafiki. Siwezi jifanya nafurahia wakati si kweli. Amelia sana kuwa hakujua sipendi watoto. Nimemwambia tabia za mtoto wake sizipendi na anamlea vibaya. Akiendelea hivyo kitoto either kitakuwa kishoga or kijizi.
Amerudi kwao. Tumeshindwana. Anatuma msg kuwa naonekana mtu mzuri kumbe nina roho mbaya. Yeye atajinyonga tu aniache na roho yangu. Nimemnyanyasa.
Nikipenda Boga nipende na ua lake sijui na nini na nini. Nimemwambia hata mtoto wangu siwezi mruhusu amlee vile.
Anataka baba wa kambo jukumu lake liwe ni kutoa hela tu mtoto akitaka hiki au kile. Kwenye kunyoosha tabia anaona mtoto wake ananyanyasika ujinga tu
Interesting......5. Mtoto hataki kulala room ya peke yake. Amekizoesha kikilala kimkumbatie. Anasema ndo kinapata upendo. So inabidi tulale watatu kitandani na akumbatiane na kitoto chake. Tunatiana kwa nadra sana kwa Timing. Anaamka akinyata na kuniambia nimfuate sebuleni nikapige bao chap chap nirudi tukalale kabla hakijaamka na kuanza kulia.[emoji23][emoji23][emoji23]