Single mother utalindaje ndoa yako kama hili likitokea kwenye mahusiano yako mapya?

Huyo binti hana wazazi,kuna mzee mmoja binti yake alipewa mimba mwamba akakataa kuhudumia,mzee akaenda kwa familia ya jamaa ,still bado akatia ngumu.

Mzee akaona isiwe tabu akaanza kulea mjukuu,mpaka chuo mzee na bintiye wakawa wanasimamia gharama.

Yule jamaa sijui ikawaje si akataka kurudi huku kuomba msamaha kumchukua mtoto,akawakusanya na ndugu zake. Siku hiyo wanakuja wanamkuta mzee,basi akawambia ni subirini kaingia ndani katoka na panga, watu wote walipotea ndani ya sekunde.

Mpaka kesho yule jamaa anahangaika ampate bintiye ila ndio hivyo babu hataki kumsikia kabisa na kamwambia akimsogelea mjukuu wake kuna siku atamtoa uhai kwa njia yoyote ile.
 
Upo sahihi mkuu,hata mimi niliwaza hivyo,huyu dada ni mjinga sana,asingetakiwa awasiliane na mzazi mwenzie kabisa,na akiona anamsumbua angemblock kabisa.Amepata bahati lakini kashindwa kuitumia.

Kwa usawa huu single mom kupata mwanaume anayekupenda na apende na mtoto wako,Hadi amlipie ada ni bahati kubwa sana,ila Sasa aliyebahatika bado hajitambui.

Hakika vipele humpata asiye na kucha
 
Hutaki utani kabisa mkuu[emoji1]
 
Kuna kitu zaidi ya hicho sister yenu anawaficha na shemeji yenu kaamua kutofunguka.
 
Kweli kabisa,wanatuharibia sana,tunaonekana wapuuzi kama wao
 
Good
Na unaweza jitunza vzr tu ukaolewa ukazaa na mume akazingua pia na ukaishia kuwa single mother
(Speaking with experience) nikuomba mungu tu my dear
Kuna watu wanafikiri kuzaa wakiwa ndoani ndo hawezi kuwa single mom,no,kuna watu wameishi kwenye ndoa zaidi ya miaka 10 llkn kibao kikageuka wakawa single mom faster,hii Hali haitabiriki ni Mungu tu
 
Hutaki utani kabisa mkuu[emoji1]
Wababa wenye vurugu za hivyo mara nyingi hawajitambui yaani wanafanya yote hayo ili tu kumuumiza mama mtoto na si kingine. Hata kwenye malezi ni zero kabisa.

Kama baba anajitambua na ninaamini mtoto atalelewa vzr naweza namkabidhi kabla sijaolewa.

Otherwise patachimbika hadi mahakamani.
 
Kuna watu wanafikiri kuzaa wakiwa ndoani ndo hawezi kuwa single mom,no,kuna watu wameishi kwenye ndoa zaidi ya miaka 10 llkn kibao kikageuka wakawa single mom faster,hii Hali haitabiriki ni Mungu tu
Naam, na Wala kuwa single mother sio ulemavu,sio dhambi, na sio mzigo
 
Vijana mkiambiwa msioe single mazafanta mpak muone Kaburi wabishi sana😅
 
Duuh asee kuwa uyaone sina cha kunshauri ......ila nimeumia sana jamaa kazingua asee na kumletea mwenziwe balaaaa
 
Muda ni kipimo sahihi.......
 
Kosa la awali lilikuwa la huyo mwanamke
 
Kuna jamaa mmoja namjua kazaa na binti anatokea familia nzuri tu na ubaya mtoto katoka copy yake kabisa ila kamkataa..

Kupitia hii story yako naona kabisa akipitia hii shida maana ile familia walivyo watata ni kama wamemkalia kimya. Pia wanamsomeshea mtoto wake bila kumsumbua kabsaa na mbaya zaidu wazazi wake wamemsihi mara nyingi waende kujitambulisha kwa maana walikuwa wanawasiliana na huyo binti na picha wanazo so, hawana mashaka kuhusu damu yao ila jamaa anakaza kwa kiburi cha ujana na pengine nahisi anaepuka kulazimishwa ndoa na wakati hana mpango

Hii story naona ikijirudia kwake 😁😁
 
Mwanaume ni kichwa Cha familia
Ikiwa ataona hiyo hadhi haipati basi huishia kufanya maamuzi magumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…