Moronight walker
JF-Expert Member
- Aug 3, 2021
- 3,103
- 4,704
- Thread starter
-
- #121
Utakuta mtoto anafanya juu chini kuwaunganisha Baba na mama.Utakaza na baada ya miaka mingi dogo anafanya harakati za kumtatuta Baba yake na wanatengeneza bond nzuri tu, sasa sijui utakunywa simu ufe..
Hakuna bond itakayotengenezwa hapoUtakaza na baada ya miaka mingi dogo anafanya harakati za kumtatuta Baba yake na wanatengeneza bond nzuri tu, sasa sijui utakunywa simu ufe..
Ili Hali kama hii ikitokea Kwa mwingine kuwe na suluhishoKama watu wameshaachana, unaulizia kusolve nini tena chief?
Maji yashazidi unga hayo, korogeni uji mlale!
Elimu inahitajika kwenye hili, kulea mtoto peke yako haikupi uhalali wa kuwa unahaki zaidi ya kuwa na mtoto kuliko mzazi mwenzio,kama hatoi matunzo alipaswa kuyadai kwa kwa taratibu rasmi,na mwanaume angeshinikizwa kutoa hayo matunzo, Halafu hizo habari za kugomboa mtoto hazipo kisheria, huwezi kumnyima mtoto haki ya kumjua baba yake mzazi eti kwa sababu hajagombolewa,huo ni utumwa na ni sawa na kuuza binadamu tu.Ustawi wa jamii sijui wapoje.
Mimi niliona mdada mmoja hivi alilea mtoto pekeake mpk umri wa miaka 9.
Jamaa alikimbia mtoto tangu mimba.
Ustawi wa jamii walimpa mtoto na akatokomea nae huku mpk leo.
Sijajua wanatumia vigeo gani. Tena hawakufuata utaratibu wa kukomboa mtoto.
Nafikili rushwa ilihusika.
Story za kutunga hizi za kuwafariji single mamaS
Sjasoma kbsa lkn kun mamb hayapo sawa 1.jamaa alimpata vip ten huyo dada 2 alijuaje shule anayosoma mtoto 3. Alifanikiwa vip kubadil jina la mtoto
Sema huyo jamaa aliyemuoa single mother naye ni kilaza wa kutupwa,unapo oa single mother kwanza,usijiingize kwenye mtego wa kusema huyo mtoto uliyemkuta naye ni wa kwako,ukataka mpaka majina atumie ya kwako,kama unalimpia ada au kumsomesha wewe lipa bila kuweka masharti yoyote yale,ukianza kuweka masharti mwishowe unakuja kujiumiza mwenyewe kama hivyo,Mtu mpaka anakubali kuingia gharama zakukulelea mtoto wako Kama wake means jamaa kashamchukulia kuwa ni sehemu ya maisha yake,na Kama mtoto ni wakike basi naamini Wana bond kubwa sana na huyo jamaa na anaumia pia
Single mother wasio na akili ndo wanasababisha wanawake wengine tutukanwe Kila uchwao
Ndio wanafarjian hv? 😂😂Story za kutunga hizi za kuwafariji single mama
Vipi mtoto wangu nawe ulimpeleka kwa nani? Namtaka mwanangu.Kosa la kwanza alilofanya dada yako ni kutomshirikisha mume wake kuanzia mwanzo Hilo ni kosa kubwa Sana alilofanya angemshirikisha tangu awali jamaa angejua apambane vipi kiume na Kama jamaa yupo vzr kiuchumi angempeleka hata nje ya TZ mtoto akaishi
Anyway pole yake
Subiri akue atakutafutaVipi mtoto wangu nawe ulimpeleka kwa nani? Namtaka mwanangu.
Kumbe ndio huwa mnafanyaDada aliyakoroga...mwanaume akaona anamdharau...
Alisema atamuoa single mother endapo tuu ataonyeshwa kaburi la baba wa mtoto wake alikua anataka aepushe haya...
Kufanya nini...Kumbe ndio huwa mnafanya
Kutupa matukio yasio na kichwa wara miguuKufanya nini...
Nimekwambia hiviiiKutupa matukio yasio na kichwa wara miguu
Naunga mkono hoja yako mpk nione kaburiNimekwambia hiviii
Wanaume wengine wanasema mpk amuoe single mother ni mpka aonyeshwe kaburi la aliezaa naye ili baadae yasijeibuka mambo kama hya ya baba kuja kutaka mtoto wake...