Single mothers hawajali maneno yenu

Una watoto wangapi?
 
Kila mtoto na babaake au wote ulizalishwa na baba mmoja?
Unazani mimi ni store za kuhifadhi takataka za watu tu . Shame on u . The fact kuwa mnawasema vibaya mshenzi wewe . Ni vizuri.
 
Sema tu tumeshayatimba hakuna namna ila hakuna kazi ngumu kama kulea mtoto pekee yako bwana ,alaf kuzaa kila mtoto na baba yake sio picha nzuri
 
Sema tu tumeshayatimba hakuna namna ila hakuna kazi ngumu kama kulea mtoto pekee yako bwana ,alaf kuzaa kila mtoto na baba yake sio picha nzuri
Mmeshawaharibu akili wao wanachojua nikuendelea kuwapata watoto kwa njia hiyo hiyo . Naanaona nisawa mnadhambi. Mnawazalisha na hamuwaoi mbwa nyie halafu mnakuja kujiongelesha uzwazwa
 
Kama chukuwachakomapema kweli! Tena mna rais, ambaye naye ni singo Maza! Anapeta tu!
Walahi wanaume tutakoma!
 
Sijaelew ulitak kuleta ujumbe gani na utufundishe nn
 
Tatizo la single mother wamejawa na stress kutwa kubadilisha wanaume na kunywa pombe hovyo hata malezi ya watoto hawana,
wakijitaidi sana wanakimbilia kwenye makanisa ya kilokole kinafki huku matendo yao ni ya kinafki!!
Single mother ukipata namba yake asubuhi jioni unakula mzigo unavyotaka!
 
Pole
 
Nyie hamji na maneno mazuri ndio maana haipendezi mnakuja na kauli tata.

OK jitahidi uwe na EI itakusaidia maana kuita watu Mbwa haipendezi

Don't get older only but grow mentally

Kwa style hii utashindwa Kuwa na Good relationship na WATU so be positive

From ashes will arise again
From single mom into legally marriage is possible
 
Nko na single mother hapa anajitahid kunionyesha kuw ameenyooka lakn akil inakataa kwakuw jamaa ake bado ajafa

Ila single mother wanajua kututeka yaan unapew tulizo hadi unajisahau unakuw unashtuka mara 2/3 nioe au niache
 
🤣🤣🤣🤣🤣 mnashida sana humu mnastress sana EL msomi nini mtu wa mtu sina watoto naye because hajanioa nimpe k vizuri tuzae bt anawatoto nje ya urafiki
 
Nko na single mother hapa anajitahid kunionyesha kuw ameenyooka lakn akil inakataa kwakuw jamaa ake bado ajafa

Ila single mother wanajua kututeka yaan unapew tulizo hadi unajisahau unakuw unashtuka mara 2/3 nioe au niache
Jichanganye kuishi naye ndiyo utajuwa kwanini alizalishwa akaachwa, na single mother wengi ni wabinafsi balaa, yaan mnaweza mkaishi ndani ila naye anamipango yake ya siri! Hata akupe mapenzi vipi jua tu ni malaya!
 
Atakiona
 
Vita ni kushinda , ukishindwa pandisha kitambaa cheupe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…