Single mothers na vilio vya kushangaza

Tatizo si kutaka kuolewa tatizo ni jinsi ulivyomfanya akuchukulie. Kuna wakati Mwanaume anakufanya ujenge illusion ambazo fika hawezi wala hana dhumuni lolote nazo. Unakuta watu ni friends with benefits ila wanaoneana uwivu haswa wanaume. Its open men loves at first site so he has to impose some love tension to attract the lady attention we are witness most of time this is not love especially in Africa, kisaikologia nadhani wengi hawafahamu what it takes to say you love some one so due to this love is taken as a greeting or attraction forces. Kuwa mpa mwanamke mimba si jambo dogo hamna uzembe wala makusudi. Mwanaume rijali lazima awe mwajibikaji katika matendo yake iwe wewe ndo uliyemtaka mwanamke au vice vesa wote inabidi muweke bayana madhumuni yenu ili pasitokee mitafaruko.
Kuwepo kwa single mother/father si jambo jema. Wengine wapo katika ndoa na bado wanatelekezwa.
Elimu ya saikolojia ya kujitambua na kujipenda ni muhimu itolewe ngazi zote za elimu ili kupinga zana potofu na kujenga taifa lenye uwajibikaji wa matendo yao. Ukijitambua kamwe huwezi kuwa na tatizo jinga kama hili na utaweza kujinyakua katika mitego ya kunyanyasa generation zijazo.
JITAMBUE.
ASK YOURSELF WHY ARE YOU ROAMING AROUND LIKE A CHICKEN WITH LOST HEAD, STOP ACTING CHILDISH BRING INTO THE TABLE YOUR
REQUIREMENTS IF THE PERSON ISN'T COMPATIBLE THEM WALK OUT.
 
Ukweli....word
 
Now i get it, maana hata wewe huoni kuwa kuna tatizo katika unachoongea.
sion tatizo bcz ni heri kwa mtoto kuzaliwa kuliko kutokuzaliwa bcz even if amelelewa ktk mazingira ya kiusingle mam anatakiwa amuheshimu baba yake kutokana na kupiga kavu bcz vinginevyo asingekuwepo.
hapo hasara ipo kwa mam pale ndoa inaposhindikana na ndio stress zinapomuanza.kuna wengine wanadiriki hata kusema kuwa mtoto syo wako kisa tu umempiga chin.
hauwez kuoa kisa tu umezaa na mwanamke bcz being a husband is not easy.
By the way ukimpa mwanamke mimba kimakosa the solution n kufuta kosa na syo kuendeleza kosa kwa kuzaa naye tena.
Bcz kukimbia mwanamke lazma kuwe na kitu.
 
Hao kinadada au mama lazima wabadilishe mfumo wa mawazo yao. ..waachane na kuwaza kuwa tegemezi. .mbona UNIVERSE ina pesa nyingi sana. .CHANGE YOUR THOUGHTS. .CHANGE YOUR LIFE. .

Ajabu wanawake wanaowaza kama wewe wako very very few
 
Kama ambavyo kuongea na wanaume wa tanzania ni kujitoa ufahamu tu.
Kwahiyo mpendwa unashauri nini?
Sina ushauri, kila mtu abebe mzigo wake tu. Yesu tu ndio alisaidiwa kubeba msalaba wake na Simon, wewe na mimi tukikosea step moja katika maisha hatuna budi kubeba matatizo yetu peke yetu.
 
Sina ushauri, kila mtu abebe mzigo wake tu. Yesu tu ndio alisaidiwa kubeba msalaba wake na Simon, wewe na mimi tukikosea step moja katika maisha hatuna budi kubeba matatizo yetu peke yetu.
Sasa mpendwa mbona umerudi kulekule kwenye ushauri wangu.
 

Na jaribu kuwaza kivingine hivi
mwanaume amekunywa pombe.....
mwanamke anataka mtoto....
ikitokea mimba aanze kulia matunzo?
mwanamke si avae condoms za kike?
afterpills?
 


Hii thread imenifurahisha kitu kimoja tu
wale wanawake waliotaka vita vya wanawake na wanaume wameshindwa vibaya
wanawake wengi mno wame support ninachokisema

Kama unataka mtoto kwa utashi wako acha kusumbua aliekupa mimba...
 
Maybe mimi ndio sielewi nini unaongelea maana sidhani kama ulijibu swali langu lileee la awali kabisa, naona tu lugha gongana. Hakuna mahali nimesema ni lazima uoe ulozaa nae,ila ni vyema usimmimbe ambae huna mpango nae.

By the way if you have no plans of making her a wife then dont make her a mother. Nafikiri hilo ndilo suluhisho.
Narudia pia mimba za bahati mbaya ni za kubakwa tu,napo waweza chukua precoutions after mbako.
 

Ndo shida ya wana JF wengii hii
unaleta assumptions kwenye kila kitu

Hayo yoote uliyoa yaongea umeandika under assumptions watu wote
wana ufahamu na kujielewa .....

umesahau wanaoishi vijijini...wenye limited education...na kadhhalika

Watu mnajipajicha kwenye uhalisia.....mnachangia thread kama umezungumzwa wewe

watu wengi wanaopeana mimba hata kupima hawapimi
wala hawana elimu ya magonjwa
 

Wewe una akili saana...
big up...
 
Na jaribu kuwaza kivingine hivi
mwanaume amekunywa pombe.....
mwanamke anataka mtoto....
ikitokea mimba aanze kulia matunzo?
mwanamke si avae condoms za kike?
afterpills?
Men are selfish creatures ever!! Matatizo yenu yote huwa mnawatupia wanawake.
Kwani hayo matunzo si yanamtunza mwanao, kwanini mnapenda kutafuta excuses zisizo na miguu wala kichwa!! Au ndio mnasubiri wawe akina Diamond muanze kulialia.

Muwe responsible too,it takes two to tangle.
 


Again inaonekana hujanielewa
thread ni maalum kwa wale wanaotaka kuzaa halafu wakishazaa wanaanza
kulia kama walitelekezwa na waliahidiwa
sasa kama wale wanaolia hapa sio kundi hilo
hawapaswi hata kukasirika wala ku react kama nimewagusa

nimefafanua sana hapa nazungumzia kundi moja tu la single moms
na sio makundi yote

kuna makundi mengi....kuna wanafunzi waliopewa mimba na walimu
hao siwezi kuwahukumu
kuna waliotolewa hadi barua
kuna waliolewa wakaachwa nakadhalika

but topic yangu ime base kwenye kundi moja ambalo ni kundi la
wanawake wanaotaka mimba na hata kutega waipate
halafu na wao wanajiunga kwenye malalamiko
 
Jukumu la kupanga kuzaa, kabla ya ndoa ni la mwanamke peke yake, why..coz you have no ties with him. Hamjafungamanishwa kwa lolote, zile ni tamaa za ngono tu zinawafanya mkutane kimwili...

Uzazi unapangwa na watu wawili walioko kwenye ndoa.


You can say that again
 
Mkuu hio thread nimeichuku kama somo, niliwahi kupata ma binti wawili walichohitaji kwangu ilikuwa ni mimba tu just only mimba tena wakaahidi kugharamikia kila kitu kuhusu mimba na malezi ya mtoto...
na mie nikwaingiza kwenye test zangu nikiwa kama background hizo fact ulizotoa zilikuja postive .. nashukuru sikuingia kwenye huo mkenge...

Tuwe makini mno na hawa viumbe unaweza kuoa jidude au ukaishi maisha ya kujuta muda wote
 


Umejaribu sana kuigeuza hii thread kuwa ni men vs women
but umeona michango ya wanawake wengi tu waki support nilichoandika

Mwanamke akiamua kwa utashi wake kuzaa asisumbue atakaemchagua kuzaa
nae hasa kama huyo aliechaguliwa hakupanga au tu hataki.....

wapo single moms wenye uhalali wa kulia na kusumbua mtu
na wapo wengine hawana uhalali huo
 
Hawa single mama acheni kuwasimanga wakuu respect them


Single moms wako makundi tofauti
wapo makundi ya kusaidiwa na kuheshimiwa

na wapo makundi ya kuambiwa ukweli wakianza kuleta vurugu

Simu moja nilikuwa natazama kipindi cha dini cha mzee wa upako

Akasema wanaotaka kuombewa waje hapa...

akaja mwanamke mmoja akaulizwa unataka kuombewa nini?

akasema nataka mtoto....akaulizwa..una mume?
akasema sina....

sasa huyu akija kupewa mimba utasema 'katelekezwa'?
 
huyo atakuwa kataka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…