Single mothers nawaibia siri nyingine

Jaman mama Hana Kaz anasomesha shule ya private?

Kodi hawez kulipa ?

Kula yake ya tabu?

Lakn headmaster wa shule ya msingi?

Anyway tusomage tuuu
 
Unahitaji bakola
 
Muongo Sana huyu jamaa
 
Bora singel girl muhangaike kutafuta huyo mtoto pamoja kuliko single mother
 
Your lost
 
Inno kama inno na story zake za kujiweka msamalia mwema daah mbususu ya mtoto ikamuokoa mama mtu kiuchumi nae anaitoa kujiokoa usamalia wema. Huyo headmaster ataendelea michezo yake kwa mtoto maana analipia na saiv atakua na vitisho zaidi kwa mtoto
Pointless
 
Headmaster ataendelea na mchezo wake. Wewe na huyo polisi ni wapumbafu na wajinga. Wala kwa Mungu huna kitu chako mtu anabakwa dhamani ni mil 1.5 pumbafu sana. Akifa wiki kesho unamkataba wa maisha yake. Unajisifia zinaa kenge mmoja
 
Una akili sema ziko robo ivyo bado nakuweka kule kule kwenye kundi la vilaza..
 
Ww ni mtu mzuri na akili unazo..... Hicho ulichofanya ni sadaka kubwa sana na Mungu atakulipa kwa wema wako siku moja....... Watu wa humu JF hua awajui na awaoni wema mtu akifanya sana sana wamezoea kubeza na kujibu watu mabaya.... Ni jambo la kufikilisha sana jitu zima lina akili timamu badala limpongeze mtu.... Linakaa kusema huyo mwanamke ametia chumvi kweny stori yake...... Hakuna mtu asotia chumvi kweny mambo yake bn.......hakuna mtu mwenye ubaya tu lazima na wema utakuwapo..... Tujifunze kuwalinda watoto wetu na watoto wa majirani zetu..... Tujifunze kua na roho za kiungwana.... Mfano mzuri tumeusikia hapo juu

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Asante mamie kwa maneno yako ya hekima yenye kujaa busara watu wa humu jamiiforum sijui wanashinda gani unakuta wengine ni watu wazima kabisa lakini tabia zao ni zakitoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…