Ah mbususu haikuwa tamu nini? 🤣🤣🤣🤣Ilikuwa ni Mara 1 pekee mzee baba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ah mbususu haikuwa tamu nini? 🤣🤣🤣🤣Ilikuwa ni Mara 1 pekee mzee baba
Hapana yupo vizuri Sana 6 kwa 6 ila nilimpotezea baada ya mpenzi wangu kurudi ndio maana sikuchakata tenaAh mbususu haikuwa tamu nini? 🤣🤣🤣🤣
Unahitaji bakolaHabari wanajf
Nilikuwa ninaishi sehemu mmoja hivi nikiwa na mpenzi wangu ila kwa wakati huo mimi na mpenzi wangu hatukuwa na good terms relationship ikapelekea mpenzi wangu arudi kwao mkoani kidogo ilitupeane gape.Kuna siku mmoja wakati nipo nje ya nyumba niliopanga kuna jirani yangu mmoja anaitwa suzy akaja akaniomba elfu 3 ya chakula akasema yeye hana bila hiyana nikampa.
Mimi nilikuwa nina urafiki kidogo na Mama mwenye nyumba wakati nipo naye ndio akaniambia mambo kuhusu suzy kwamba huyo dada hana hela ya kulipia kodi ya nyumba so nimemsaidia kumpa siku 15 anilipe hela yangu.Kuna siku nyingine huyo dada akanifata tena akaniomba nimsaidie kiasi fulani Cha pesa mtoto wake yupo hospital na yeye ana kiasi kidogo Cha fedha Cha kumsaidia mtoto wake matibabu baada ya hapo nikajua duh huyu atakuwa ana matatizo zaidi ya hapa nikaona nikae chini aniambie background yake ya maisha kiujumla basi yule mwanamke akaniambia yeye ana watoto wawili mmoja wa kiume ambaye ana mwaka mmoja na mwingine ni wa kike ana miaka 8 yupo darasa la tatu baba yao aliyezaa naye kawatekeleza na pia alinihasisha kazi niliyokuwa nikifanya kipindi tupo kwenye mahusiano na nikijaribu kumwambia watoto wanahitaji huduma amekuwa akinikatia simu na mwisho kabisa akaamua aniblock maana kila nikimpigia simu haipatikani, nikamuuliza baba yao anafanya kazi gani akaniambia ni muhasibu.
Baada ya kuelezwa vile nikamuonea huruma na ukizingatia huyu dada japo ni mzuri Sana,ana shape nzuri na kama angeamua ajiuze hela hizi za kula asingekuwa anakosa lakini akaamua Bora awe anaomba kuliko kufanya Huu upuuzi hiki ndio kilinivutia zaidi kumsaidia japo binafsi nina kipato Cha kawaida Sana lakini hivyo hivyo tutasaidiana.Nilikuwa na utaratibu wa kula kwa mama ntilie kutokana na mpenzi wangu kurudi kwao nikauvunja huo utaratibu nikaona Bora niwe nampa hela huyu jirani suzy awe anapika na yeye anapata fursa na yeye kula na watoto wake.
Nilijenga hata ukaribu na watoto wake huyo mwenye miaka 8 ambaye ni walike sometimes namsaidia kukaa na huyo mtoto mwa mwaka mmoja especially ikiwa siku ya weekend, nampeleka mtoto wake huyo wa darasa la tatu shuleni na nami naenda kwenye mishe zangu kiufupi nilitengeneza bond na huyo mtoto wake wa darasa la tatu utazani ni baba yake mzazi maana nilikuwa namsaidia mpaka kwenye masomo yake ilimradi tu nimpunguzie majukumu mama yao.sometime nawaletea hawa watoto vizawadi.Kuna siku nimekata na huyu mtoto wake wakike wa darasa la tatu aliniambia jambo lilonistua kidogo kwamba head master wake wa shule amemwiingilia kimwili Jana nikamuuliza zaidi akaniambia ile ya Jana inafika Mara tatu nikamuuliza umemwambia mama yako akasema hapana me nikamwambia usimwambie, nilimwambia asimwambie mama yake kwasababu najua wanawake wanaozwa na emotions kuliko akili mimi nilichokifanya nikumpeleka hospital akapime ili tujue athari baada ya hapo nikandaa mkataba wangu vizuri nikaenda hadi kwa head master nikiwa nina askari mmoja wa kituo lengo halikuwa huyu head master anyee debe lahasha ilikuwa alipe kwa alicho kifanya kwa njia tofauti na hiyo nikamwambia huna mawili ya kuchagua ufuate terms za mkataba au nikustaki kwa jamuhuri ya muuungano wa Tanzania kwa kumbaka mtoto ambapo adhabu yake ni miaka 30 jela.Jamaa alikuwa muoga Sana ikabidi akubali kuchagua ule mkataba na kusaini terms zilikuwa kwenye mkataba ambapo nikiweka kama ifuatavyo kwanza alipe 1.5M ndani ya siku 15 kuanzia sasa, mtoto asilipe gharama zozote za shule mpaka anamaliza shule hiyo ya msingi,akifika secondary na high school gharama zote za shule ukiwemo ada,vitabu vya kujisomea, peni, limu, mitihani, madaftari, tuition yawe chini ya huyo head master, awe analipa sh 5000 kwenye account ya mtoto kwa kila mwisho wa mwezi baada ya sisi kumfungulia kwanini nikifanya hivi me niliwahi kumshuhudia binti aliyebakwa na baba yake akiwa ana miaka 5 kwenye kipindi hicho na huyo binti alikuja kuwa mgawaji Sana wambususu aliacha shule baada yakupewa mimba na hiki kitu sikutaka kimkute huyu binti.
Baada ya hayo mambo kuisha ndipo nikamshirikisha mama yao nikamkabidhi ile hela aliyokuja kutoa head master hela yote 1.5M pamoja na mkataba wote na yeye mama mtu akaipitia nikamwambia kama akishindwa kutekeleza vipengele vilivyo kwenye mkataba anijulishe
Kiukweli yule dada alinishukuru Sana ila kuna mambo nikamshauri ili vimsaidie mtoto wake wa yule aliyebakwa kwanza nikamwambia unatakiwa unatabia ya kuongeza na mwanao Mara kwa Mara ili chochote anachokuwa anakipitia huwe unajua Cha pili uwe unampeleka kwenye mafundisho ya Mungu Sunday school ili ajengwe kiimani na la mwisho kabisa ni kwa upande wako usiingie kwenye kipindi kwenye mahusiano jipe muda na nguvu zako jielekeze kwenye kujiinua kiuchumi ukishakuwa na uchumi mzuri ndipo respect inakuja hata mwanaume kidogo atakuheshimu tofauti na ukiwa unamtegemea.Huyu suzy alikuja kuniambia sema chochote unachota kwa namna ulivyonisaidia mimi nipo tayari kutimiza honestly nikamwambia siitaji chochote zaidi ya hitaji la mwili maana nilikuwa nina kama mwezi 1 na nusu sinafanya sex na nikwasababu tulitubana na mpenzi wangu na ukizingatia pia bado ajarudi tangu aondoke kwenda kwao demu akanizawadia bila hiyana.
NB: sisi mwanaume tunazingua sometime kama utaki kuhudumia watoto unamzalisha mwanamke wa watu wanini? Kingine hivi kweli kwa dar hii unakosa kweli kumpata mwanamke na ukizingatia pia una hela mpaka unaenda kubaka mtoto mdogo hii ni akili au matope? Na nyie wanawake sometimes ujitambue wanawake wengi wanafikra kwamba ukizaa na mtu mwenye hela basi automatically ataweza kuhudumia watoto bila kujali huyo mwanaume yupo willing kuhudumia?
Muongo Sana huyu jamaaHapa chai 50% na ukweli 50% issue ya defilement of a minor sio rahisi kama ulivyo ilahisisha, ni ya jamuhuri hamna police waTz wakuachia hiyo kesi tena mkuu wa shule, police gani akuachia 1.5m hivi hivi, dakitari yupi asie taka kujua hi issue, unawakika gani kama huyu mtoto alikuambia wewe tu.
Onyo: epuka kesi za jinai kama hizo siku nyingine utauziwa kesi utabadilishiwa kibao acha ushamba jomba
naunga hojaMwanamke akikupa story yake ya maisha jua kuna CHAI nyingi katia ili ww kukujengea iman juu ya kile anachokitaka.
kinachotakiwa apo ww mle GOVI then endelea na mishe zako
nawe pia ni single ... nakupenda bure tuLeo tumetetewa kunywa soda mkuu
Your lostSABABU ZANGU NI HIZI.
1. Single girls wengi ni Mama wa Marehemu,Wengi hawana watoto ila wameua watoto wengi kwa abortion.Kama ameweza kuua kiumbe chake tumboni sembuse wewe Mtoto wa mama mkwe.Kuthibitisha hili angalia uliposoma chuo ni wanafunzi wangapi walioana kichuo na kuishi kama mume na mke ,Ni mimba ngapi walizitoa alafu baada ya chuo kila mmoja akashika njia yake.
2. Single girls wengi ni mabingwa wa kutumia P2.Yaani vizazi vyao vimejaa P2.Ukimuoa huyo kuja kupata nae Mtoto ni lazima MWAMPOSA afunge miezi 9 bila kula wala kunywa.Kizazi kilishalegea kama nyavu za ndondo Cup.Bed rest ni January to September.
3. Single girls asilimia kubwa wana wanaume wengi sana.Yaani wapigaji ni wengi.Ukioa single girl utachapiwa na wengi sana.Wote waliowahi kumpa mimba na kuzichomoa wataendelea kujipigia.
4. Asilimia kubwa ya single girls ni ma-slay queen.Hakuna lolote analojua kwenye maisha.Wao bata j3-j3.
NAWASHAURI VIJANA OENI MA SINGLE MOTHER.WANAJIELEWA KATIKA MAISHA NA UTAFUTAJI.
PointlessInno kama inno na story zake za kujiweka msamalia mwema daah mbususu ya mtoto ikamuokoa mama mtu kiuchumi nae anaitoa kujiokoa usamalia wema. Huyo headmaster ataendelea michezo yake kwa mtoto maana analipia na saiv atakua na vitisho zaidi kwa mtoto
Ww ni mtu mzuri na akili unazo..... Hicho ulichofanya ni sadaka kubwa sana na Mungu atakulipa kwa wema wako siku moja....... Watu wa humu JF hua awajui na awaoni wema mtu akifanya sana sana wamezoea kubeza na kujibu watu mabaya.... Ni jambo la kufikilisha sana jitu zima lina akili timamu badala limpongeze mtu.... Linakaa kusema huyo mwanamke ametia chumvi kweny stori yake...... Hakuna mtu asotia chumvi kweny mambo yake bn.......hakuna mtu mwenye ubaya tu lazima na wema utakuwapo..... Tujifunze kuwalinda watoto wetu na watoto wa majirani zetu..... Tujifunze kua na roho za kiungwana.... Mfano mzuri tumeusikia hapo juuHabari wana JF
Nilikuwa ninaishi sehemu mmoja hivi nikiwa na mpenzi wangu ila kwa wakati huo mimi na mpenzi wangu hatukuwa na good terms relationship ikapelekea mpenzi wangu arudi kwao mkoani kidogo ilitupeane gape.Kuna siku mmoja wakati nipo nje ya nyumba niliopanga kuna jirani yangu mmoja anaitwa suzy akaja akaniomba elfu 3 ya chakula akasema yeye hana bila hiyana nikampa.
Mimi nilikuwa nina urafiki kidogo na Mama mwenye nyumba wakati nipo naye ndio akaniambia mambo kuhusu suzy kwamba huyo dada hana hela ya kulipia kodi ya nyumba so nimemsaidia kumpa siku 15 anilipe hela yangu.Kuna siku nyingine huyo dada akanifata tena akaniomba nimsaidie kiasi fulani Cha pesa mtoto wake yupo hospital na yeye ana kiasi kidogo Cha fedha Cha kumsaidia mtoto wake matibabu baada ya hapo nikajua duh huyu atakuwa ana matatizo zaidi ya hapa nikaona nikae chini aniambie background yake ya maisha kiujumla basi yule mwanamke akaniambia yeye ana watoto wawili mmoja wa kiume ambaye ana mwaka mmoja na mwingine ni wa kike ana miaka 8 yupo darasa la tatu baba yao aliyezaa naye kawatekeleza na pia alinihasisha kazi niliyokuwa nikifanya kipindi tupo kwenye mahusiano na nikijaribu kumwambia watoto wanahitaji huduma amekuwa akinikatia simu na mwisho kabisa akaamua aniblock maana kila nikimpigia simu haipatikani, nikamuuliza baba yao anafanya kazi gani akaniambia ni muhasibu.
Baada ya kuelezwa vile nikamuonea huruma na ukizingatia huyu dada japo ni mzuri Sana,ana shape nzuri na kama angeamua ajiuze hela hizi za kula asingekuwa anakosa lakini akaamua Bora awe anaomba kuliko kufanya Huu upuuzi hiki ndio kilinivutia zaidi kumsaidia japo binafsi nina kipato Cha kawaida Sana lakini hivyo hivyo tutasaidiana.Nilikuwa na utaratibu wa kula kwa mama ntilie kutokana na mpenzi wangu kurudi kwao nikauvunja huo utaratibu nikaona Bora niwe nampa hela huyu jirani suzy awe anapika na yeye anapata fursa na yeye kula na watoto wake.
Nilijenga hata ukaribu na watoto wake huyo mwenye miaka 8 ambaye ni walike sometimes namsaidia kukaa na huyo mtoto mwa mwaka mmoja especially ikiwa siku ya weekend, nampeleka mtoto wake huyo wa darasa la tatu shuleni na nami naenda kwenye mishe zangu kiufupi nilitengeneza bond na huyo mtoto wake wa darasa la tatu utazani ni baba yake mzazi maana nilikuwa namsaidia mpaka kwenye masomo yake ilimradi tu nimpunguzie majukumu mama yao.sometime nawaletea hawa watoto vizawadi.Kuna siku nimekata na huyu mtoto wake wakike wa darasa la tatu aliniambia jambo lilonistua kidogo kwamba head master wake wa shule amemwiingilia kimwili Jana nikamuuliza zaidi akaniambia ile ya Jana inafika Mara tatu nikamuuliza umemwambia mama yako akasema hapana me nikamwambia usimwambie, nilimwambia asimwambie mama yake kwasababu najua wanawake wanaozwa na emotions kuliko akili mimi nilichokifanya nikumpeleka hospital akapime ili tujue athari baada ya hapo nikandaa mkataba wangu vizuri nikaenda hadi kwa head master nikiwa nina askari mmoja wa kituo lengo halikuwa huyu head master anyee debe lahasha ilikuwa alipe kwa alicho kifanya kwa njia tofauti na hiyo nikamwambia huna mawili ya kuchagua ufuate terms za mkataba au nikustaki kwa jamuhuri ya muuungano wa Tanzania kwa kumbaka mtoto ambapo adhabu yake ni miaka 30 jela.
Jamaa alikuwa muoga Sana ikabidi akubali kuchagua ule mkataba na kusaini terms zilikuwa kwenye mkataba ambapo nikiweka kama ifuatavyo kwanza alipe 1.5M ndani ya siku 15 kuanzia sasa, mtoto asilipe gharama zozote za shule mpaka anamaliza shule hiyo ya msingi, akifika secondary na high school gharama zote za shule ukiwemo ada,vitabu vya kujisomea, peni, limu, mitihani, madaftari, tuition yawe chini ya huyo head master, awe analipa sh 5000 kwenye account ya mtoto kwa kila mwisho wa mwezi baada ya sisi kumfungulia kwanini nikifanya hivi me niliwahi kumshuhudia binti aliyebakwa na baba yake akiwa ana miaka 5 kwenye kipindi hicho na huyo binti alikuja kuwa mgawaji Sana wambususu aliacha shule baada yakupewa mimba na hiki kitu sikutaka kimkute huyu binti.
Baada ya hayo mambo kuisha ndipo nikamshirikisha mama yao nikamkabidhi ile hela aliyokuja kutoa head master hela yote 1.5M pamoja na mkataba wote na yeye mama mtu akaipitia nikamwambia kama akishindwa kutekeleza vipengele vilivyo kwenye mkataba anijulishe
Kiukweli yule dada alinishukuru Sana ila kuna mambo nikamshauri ili vimsaidie mtoto wake wa yule aliyebakwa kwanza nikamwambia unatakiwa unatabia ya kuongeza na mwanao Mara kwa Mara ili chochote anachokuwa anakipitia huwe unajua cha pili uwe unampeleka kwenye mafundisho ya Mungu Sunday school ili ajengwe kiimani na la mwisho kabisa ni kwa upande wako usiingie kwenye kipindi kwenye mahusiano jipe muda na nguvu zako jielekeze kwenye kujiinua kiuchumi ukishakuwa na uchumi mzuri ndipo respect inakuja hata mwanaume kidogo atakuheshimu tofauti na ukiwa unamtegemea.
Huyu suzy alikuja kuniambia sema chochote unachota kwa namna ulivyonisaidia mimi nipo tayari kutimiza honestly nikamwambia siitaji chochote zaidi ya hitaji la mwili maana nilikuwa nina kama mwezi 1 na nusu sinafanya sex na nikwasababu tulitubana na mpenzi wangu na ukizingatia pia bado ajarudi tangu aondoke kwenda kwao demu akanizawadia bila hiyana.
NB:NSisi mwanaume tunazingua sometime kama utaki kuhudumia watoto unamzalisha mwanamke wa watu wanini? Kingine hivi kweli kwa dar hii unakosa kweli kumpata mwanamke na ukizingatia pia una hela mpaka unaenda kubaka mtoto mdogo hii ni akili au matope?
Na nyie wanawake sometimes ujitambue wanawake wengi wanafikra kwamba ukizaa na mtu mwenye hela basi automatically ataweza kuhudumia watoto bila kujali huyo mwanaume yupo willing kuhudumia?
Asante mamie kwa maneno yako ya hekima yenye kujaa busara watu wa humu jamiiforum sijui wanashinda gani unakuta wengine ni watu wazima kabisa lakini tabia zao ni zakitotoWw ni mtu mzuri na akili unazo..... Hicho ulichofanya ni sadaka kubwa sana na Mungu atakulipa kwa wema wako siku moja....... Watu wa humu JF hua awajui na awaoni wema mtu akifanya sana sana wamezoea kubeza na kujibu watu mabaya.... Ni jambo la kufikilisha sana jitu zima lina akili timamu badala limpongeze mtu.... Linakaa kusema huyo mwanamke ametia chumvi kweny stori yake...... Hakuna mtu asotia chumvi kweny mambo yake bn.......hakuna mtu mwenye ubaya tu lazima na wema utakuwapo..... Tujifunze kuwalinda watoto wetu na watoto wa majirani zetu..... Tujifunze kua na roho za kiungwana.... Mfano mzuri tumeusikia hapo juu
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Kabisa kabisa.... Yani watu wazima ndo wanaongoza kua na fikra mbovu na comment mbovuAsante mamie kwa maneno yako ya hekima yenye kujaa busara watu wa humu jamiiforum sijui wanashinda gani unakuta wengine ni watu wazima kabisa lakini tabia zao ni zakitoto