Single mothers nawaibia siri nyingine

Single mothers nawaibia siri nyingine

Hivi wasio singo maza wameisha duniani? Kwanini ujitwishe gunia la misukari bila sababu ya msingi. Kafie mbali na ushauri wa kisimbe
Kwani hao singo maza hizo mimba walijipa wenyewe? Mbona mnawanyanyapaa hivyo jamani?
 
Mmmmh hujanishawishi bado kununua shamba lenye kesi mahakamani. Labda kama ni mjane hapo sawa lkn lijitu lipo na lina piga simu hata usiku ukiwa na mkeo hapana kabisa.
 
Single mother ni hatari mkuu Hana Imani na wanaume kama alishatendwa analazimika kukupenda ilimradi umsaidie anachokitaka ili kama ana watoto basi wapate huduma malengo yake yakitimia tu umekuwa!

Wanawake wamejaa kibao why ujiingize kwenye matatizo ? Yaani matatizo tumeyasabisha wanaume wenyewe kwa kuondoka kwenye misingi waliyotuwekea babu zetu mwanamke kitendo tu cha kutokuwa bikra kilimfanya akose sifa ya kuolewa au aitie aibu familia yake sembuse huyu aliyuekwisha kunyanduliwa mpaka basi na kuzaa watoto ?

Single maza muoe walifiwa na waume zao( wajane) tofauti na hapo mnaoa wake za watu na ni zinaa maana katika ukristo hakuna kuachana mpaka kifo kiwatenganishe!
 
Lini utatuandikia na sisi ma single father?
Baada ya akili, mwili na roho kujikusanya, wanaume wengi tumekubaliana bila kutokukubaliana kuwa single mothers wengi wanapendwa na kuhitajiwa zaid kuliko mabinti. nitatumia neno "walio wengi nikiamini kinyume na mimi hawakosag.

Sababu za wazi baadhi ni :
1. Single mothers wengi wamefikia miaka 28 umri unaofaa kwa mwanamke kufikiri maisha zaid kuliko ngono na mapenz.

Kifup tu wana akili zinazowajibika.
umri chini ya hapo hasa dada wasio na wajib wana wenge sana na mambo mengi kama wapiga ramli na ndoto hewa zisizotekelezeka. mf binti wa kivule,ana akili timam lakin anajisemea kwa dhat kuwa ataolewa na justin bierber kisa wigi limemkubali. wanaamin katika uzuri.

Single mothers wameshajipa majukum na akili za kiuwajibikaji. ni asset. sio liability.
tusisahau wanaume kamili huamini katika akili za kujitambua linapokuja suala la kuoa/kudum katika mapenz.

Maana ni wanawake wachache mno ambao wako chini ya mstari wa uzuri unaofaa.

2. Single mothers wanajua upendo kupitia mtoto wake. hivyo ni rahis kutoa upendo kama uwekezaji wa kupata upendo.

TATIZO:
Hofu ya wanaume dhidi ya x wa mke ni kubwa mno. kwa sabab mwanaume anaweza kuvumilia kila kitu isipokuwa kushare mke isipokuwa yule tu aliyejaliwa tamaa nyingi na akili kidogo. sio ubinafs ni nature.

NINI KIFANYIKE:
a)Mama usiendekeze mahusiano na baba mtoto kupitiliza kisa mtoto. mf kukupigia sim ovyo ovyo had usiku wa manane kisa uko na mwanae.

Pia usikubali mialiko ya ex hata ya ibadani.
hata misiba tuma mtoto tu na ndugu yako kutimiza haja ya ukoo wa uzao wa ex.
b) Mume tunza sana mtoto wa mke mwenzio kwa upendo wa wazi, mpe uhakika wa leo na kesho. jana haimsumbui sana mkeo. anaweza kupotezea mazma ex wake. mf kama kuna wa kumpa zawad ndan anza na mtoto wa ex kabla ya mke. ikibid hata mali toa kabla. fanya uwekezaj wa TRUST!

Mme chunga sana kauli zako km .....dam ya wapi hii iko hivi. Mke chunga sana kauli zako kama ....baba yake mzazi angekuwepo .....

Nihitimishe kuwa single mothers mnapendwa sana na kila mwanaume mwenye tafakuri nzuri. ni juu yenu sasa kumjua mwanaume hata kama unammudu kivip. kuna mengine ni ya asili hata limbwata haiyapangui.

Hata mimi isingekuwa nimeshapitisha umri wa kuoa ningejikita kwa single mother. wengi wanajitambua na wana malengo.
 
Mwanamke umedharaulika umepata wa kukuheshimisha unarudi tena kwa aliyekudharau akumwagie...Nife aje atombع kaburi langu.Asante mume wangu kwa kuniheshimisha.SINGLE MOTHERS TATIZO MSIMAMO
Sio kwamba unaongea tu hapa! Akikubananisha vizuri kwenye engo nzuri utachomoa kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanamke Ni mtu anaepitia mengi Sana katika Safari yake ya mahusianao na mapenzi.
Siwezi kumlaumu moja kwa moja au kumhukumu, kumkejeli, Wala kumcheka.
Kwani sababu zinazopelekea kupata matokeo hayo ya kuwa single mother ni nyingi Sana.
Nyingine zinakuwa Ni nje ya uweza wake kabisa, ila kwa kuwa yeye Ni mwanamke anakua hana namna ya kufanya ili kukubali matokeo yanayoandamana naaumivu mengi.

Mi nawatakieni wingi wa uvumilivu, nawatakieni moyo wake kujifunza kutokana na makosa na ikiwezekana kule kukosea kwako kukawe sababu ya wewe kuinuka kwa viwango vingine.

Lakini pia jaribuni sana kutaka nasaha kutoka kwa waliowatangulieni, yaani mama na Bibi zenu, haswa Bibi maana ye amepitia mengi na yamemjenga hivyo hutakosa la kuondoka nalo.

Kubwa kuliko yote takeni Sana hekima za kimungu kila wakati.
 
Mwanaume yeyote anayemtaliki mkewe na kumwoa mke mwingine anazini. Na mwanaume anayeoa mwanamke aliyetalikiwa anazini pia.”
 
SABABU ZANGU NI HIZI.

1. Single girls wengi ni Mama wa Marehemu,Wengi hawana watoto ila wameua watoto wengi kwa abortion.Kama ameweza kuua kiumbe chake tumboni sembuse wewe Mtoto wa mama mkwe.Kuthibitisha hili angalia uliposoma chuo ni wanafunzi wangapi walioana kichuo na kuishi kama mume na mke ,Ni mimba ngapi walizitoa alafu baada ya chuo kila mmoja akashika njia yake.

2. Single girls wengi ni mabingwa wa kutumia P2.Yaani vizazi vyao vimejaa P2.Ukimuoa huyo kuja kupata nae Mtoto ni lazima MWAMPOSA afunge miezi 9 bila kula wala kunywa.Kizazi kilishalegea kama nyavu za ndondo Cup.Bed rest ni January to September.

3. Single girls asilimia kubwa wana wanaume wengi sana.Yaani wapigaji ni wengi.Ukioa single girl utachapiwa na wengi sana.Wote waliowahi kumpa mimba na kuzichomoa wataendelea kujipigia.

4. Asilimia kubwa ya single girls ni ma-slay queen.Hakuna lolote analojua kwenye maisha.Wao bata j3-j3.

NAWASHAURI VIJANA OENI MA SINGLE MOTHER. WANAJIELEWA KATIKA MAISHA NA UTAFUTAJI.
 

Sina mengi ya kuongea...
 
Back
Top Bottom