Nashengena
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 2,913
- 5,318
Wanaume wengi wanakimbia majukumu. Nina mifano mingi ya ndugu na jamaa wanazalisha na hawataki kuchukua majukumu. Tatizo sio la wanawake tu, hata wanaume wanachangia sana tu.Tunawalaumu sana single mothers huku sisi wanaume tukijipa nafasi ya umalaika. Tunajisifia sana kupeleka na kuwa wazuri kitandani ila output ya ile creativity tulio iweka kitandani tuna ikataa.
Jamii yetu sasa hivi inashindwa kuwajibika si wazazi ,si wanaume wala wanawake. Mabinti wanatamaa ya fedha huku wanaume tunapenda ngono ila wengi wetu siku hizi hatutaki kuwajibika. Hili tatizo sio la single mother pekee ni la jamii yote kiujumla.
Single maza ni mwanamke mjinga sana:Bado hamjasema,,hamjaombwa wala kulazimishwa mtuoe😂😂afu um ndani mnajishaua tu,mnawapongeza hao wameza P2 wenu,,mkiwaoa hawazai mnawaacha mnarud kwetu ambao vizazi viko stable kam vya house girl 😌😌😂😂
Kuna watu wapo kwenye ndoa lkn mwanaume hahudumii wtt, mzembe na hajali. Mwanamke ndio ahangaike kuchuma...tena wengine wanachuma kwa dhiki mno...aslimia kubwa ya sisi wanawake tuna huruma kwa wtt wetu...na baadhi wa wanaume wakiona hivyo ndio huwa washapata kichaka cha kuzembea. Yaani kiufupi hatuwezi tena kuyaishi maisha yale waloishi wazee wetu....saivi kila mmoja race kaliWanaume wengi wanakimbia majukumu. Nina mifano mingi ya ndugu na jamaa wanazalisha na hawataki kuchukua majukumu. Tatizo sio la wanawake tu, hata wanaume wanachangia sana tu.
Huu mwaka wetu.Hapo nyuma kampeni na uhamasishaji ulikuwa mkubwa sana, na wengine walisikika wakisema, "Wanawake Tunaweza." Sasa, athari zake zimeanza kuonekana: wanawake wenye watoto wasiokuwa na baba wamekuwa wengi kadri muda unavyosonga mbele.
Sijui itakuwaje baada ya miaka 20 ijayo. Mbaya zaidi, hawa mama wasio na waume wanajiona wana haki ya kusaidiwa, na ukimsaidia, usitegemee shukrani; msaidie tu. Miaka ijayo, tutakuwa na kiwango kikubwa cha hawa mama wasio na waume wenye tatizo la afya ya akili.
View attachment 2964040
sawaNani kakuambia hakuna campaign huko? Zipo sana. Feminism movement zipo kila nchi . Ulishawahi kufuatalia hizo campaign au unaongea tu.
Bora wa hivyo wanalinda heshima kwa nguvu za kijeshi, usipojua dhambi ni zake kuliko kubebeshana majukumu ambayo hayana kichwa wala miguu. Jaribu wewe kulea watoto wa mwanamke mwenzako kwa gharama zako kama utaweza.Bado hamjasema,,hamjaombwa wala kulazimishwa mtuoe[emoji23][emoji23]afu um ndani mnajishaua tu,mnawapongeza hao wameza P2 wenu,,mkiwaoa hawazai mnawaacha mnarud kwetu ambao vizazi viko stable kam vya house girl [emoji18][emoji18][emoji23][emoji23]
Kuna mtu aliwahi kusema kuwa wanawake hawapendi kuona wanawake wana furaha!Single and miserable women like to drag and pull happy and wedded/engaged women into eternal loneliness like them.
Hamna bwana wewe unakwepesha mada. Swala ni kwann hawa tunaoita single mother kila uchao hawajifunzi kwa wenzao.Hivi wewe una busara kweli ? Kwahio unaona ni sawa kwa Sababu Baba amekimbia na Mama na yeye akimbie ili mtoto awe Homeless ?
Kinachoangaliwa hapa ni well being ya mtoto na kuna wakati kuliko kuwa kwenye atmosphere ya watu wanaopigana ni bora awepo kwenye atmosphere ambayo ina Upendo kuliko atmosphere ya tofauti.... Kwahio kwa point yako sababu mtoto sio wa Single mother hawezi kutetea Upuuzi wa Kutekeleza Watoto na Kina Mama... Kumbuka it Takes two to Tango
Very true. Ukitaka kujua hili, wewe anzisha mahusiano na binti ambaye yupo kwenye hivi vikundi vya kigaidi (sisterhood/sister sorority) ambavyo wanataka kila kitu wafanane as if walizaliwa familia moja.Kuna mtu aliwahi kusema kuwa wanawake hawapendi kuona wanawake wana furaha!
Wanawake wanaweza, wanawake ni jeshi kubwa.Ila wanatia huruma sana.. Unakuta Mwanamke ana watoto watatu na biashara inayomuingizia riziki ni kuuza mihogo ya kukaanga....hapohapo alipe kodi, hapohapo awalishe watoto yaani ni noma ssana... Tuwasaidie tu mungu atatulipa
Ukipata mdada ambaye anataka uanzishe naye maisha! Kwanza kabsa mfanye awe disconnected na these sisterhood hapo utakuwa salama ila kama kila jumamosi atakuwa anaenda kwenye vikao vya wadada! Youre finished!Very true. Ukitaka kujua hili, wewe anzisha mahusiano na binti ambaye yupo kwenye hivi vikundi vya kigaidi (sisterhood/sister sorority) ambavyo wanataka kila kitu wafanane as if walizaliwa familia moja.
Humo ndani huwa wanashauriana upuuzi ambao ukiutafakari unaweza kujiuliza kama hawa wenzetu ni timamu au huwa wanaacha kukua wakishafika miaka 18?
Imagine mwenzao anapata mtu serious ambaye anataka mahusiano wao wanamwambia hebu tazama kucha zake sio nzuri mtoto atatoka na vidole vibaya, halafu ni mweusi, kwann usipate mtoto shombe shombe zaa na Salim.
Hapo hawajafurahia kuona mwenzao amepata mahusiano ambayo yanaweza kuelekea kwenye kuchumbiwa na ndoa. Wanawake hawapendi na huwa wanawivu wa siri sana mwenzao anapokuwa anapiga hatua badala ya kumuacha na maisha yake utaona wapo busy kufanya jitiahada za kumpoteza aharibu bahati au fursa zake.
Bado hamjasema,,hamjaombwa wala kulazimishwa mtuoe😂😂afu um ndani mnajishaua tu,mnawapongeza hao wameza P2 wenu,,mkiwaoa hawazai mnawaacha mnarud kwetu ambao vizazi viko stable kam vya house girl 😌😌😂😂
Kwanini mwanamke anakuwa Single ?Hamna bwana wewe unakwepesha mada. Swala ni kwann hawa tunaoita single mother kila uchao hawajifunzi kwa wenzao.
Ila sio kuongelea watoto hapa as if kuna mtu anataka wateseke. Hapa sisi tuanaowafokea hawa single mothers ni kwasababu tuna huruma na watoto kuliko mtu yoyote. Sisi tukikaa kimya nani atawatetea watoto wetu dhidi ya huu ugaidi wa mahusiano na dhidi ya familia.
Eeeee mwenyezi MUNGU tuongezee madini tuendelee kuwapa makavu hawa masingle mother hadi wajue kuwa mwisho wa siku kuhasi ndoa na kutoheshimu miili yao ndio mwanzo na chanzo cha kuharibu jamii.
Vita inaendelea.
Hiyo 50/50 wanaoizingatia nilijua wale wa ofisini tu kumbe hadi wauza mihogo wameingia kwenye huo mkenge 😄 wafwaaaa in jiwez voiceIla wanatia huruma sana.. Unakuta Mwanamke ana watoto watatu na biashara inayomuingizia riziki ni kuuza mihogo ya kukaanga....hapohapo alipe kodi, hapohapo awalishe watoto yaani ni noma ssana... Tuwasaidie tu mungu atatulipa
,Point no2 iandikwe kwa wino wa chuma mkuuKanuni ni zilezile inapohusu single maza
●Hatulei bao la mwanaume mwingine
●Mwanaume anatakiwa aanzishe familia yake sio ajiunge kwenye familia ya mwanaume mwenzake
●Single maza waolewe na baba za watoto wao
●Single maza ni wa kupiga na kusepa
Mwanaume mpumbavu na mjinga tu ndiye anayeweza kumuoa single maza
Learn or perish
Hamna kitu kama icho hakuna mwanamke anaetaka mtoto kisha ndoa baadae! Hiyo ni kauli ya kujifariji baada ya kupigwa chini! Single maza Wengi ni jeuri! Ujuaji! Kiburi! Ushamba, malezi mabaya na umalaya!Single mama ni fashion siku hizi
Wanawake wengi siku hizi wanataka mtoto ndoa baadae
Thus ukitoa hela kubwa usidai chenji ujui unaenda vipi kuleta furaha kwenye familia yake.Ila wanatia huruma sana.. Unakuta Mwanamke ana watoto watatu na biashara inayomuingizia riziki ni kuuza mihogo ya kukaanga....hapohapo alipe kodi, hapohapo awalishe watoto yaani ni noma ssana... Tuwasaidie tu mungu atatulipa
Hawa huwa hawawi singlemama wanajichungaunategemea papuchi kujiingizia kipato unategemea nini
tamaa mbaya
Mfano kesho familia yako imetoa singlemama geuza huu ujumbe kwakoKanuni ni zilezile inapohusu single maza
●Hatulei bao la mwanaume mwingine
●Mwanaume anatakiwa aanzishe familia yake sio ajiunge kwenye familia ya mwanaume mwenzake
●Single maza waolewe na baba za watoto wao
●Single maza ni wa kupiga na kusepa
Mwanaume mpumbavu na mjinga tu ndiye anayeweza kumuoa single maza
Learn or perish