Sintosahau nilivyosota miaka miwili bila kukutana kimapenzi na mama mtoto wangu

Sintosahau nilivyosota miaka miwili bila kukutana kimapenzi na mama mtoto wangu

WANA JAMVI HABARI ZENU!

Ninachokiandika hapa ni ukwel 100% na imenitokea mm hapa mwenyew wala sio hadithi ya kusimuliwa na m2!!

TUANZIE HAPA.

Mnamo mwaka 2015 nilihitim elim yangu ya kidato cha sita na wakat nipo mtaan nilianzisha mahusiano na dada mmoja hv aliyekua mjasiriamali mzuri 2 mwenye kipato kinachotosheleza maisha ya kawaida ya mtanzania, huyu dada tulishwahi kuachana zaid ya mara 3 yote hiyo kwa7bu ckua nampenda hata kidogo.

Sema nilikua naanzisha mahusian nae then inatokea sababu ndogo 2 namuacha solemba ila hiko kipindi ndo nmemalza shule nilitokea kumpenda tena na hata yy alinipenda kupindukia yaan alikua anahuduumia kwa karibu kila k2 hadi lodge tulizokua tunaenda kula tunda alilipia mwenywe kwa gharama zake (nyumban kwake alikua anaishi na ndug zake hvo haikua jambo la busara mm kua naenda kulia tunda hapo)

Asubh nakutana na sup maji makubwa,mchana wali samaki au nyama choma yaan kiukwel huyu dada alinipenda mnooo maana alikua ananipeleka shopping nachagua nguo ninazotaka hadi boxer alikua ananinunulia tena zilikua znakaribia kuzid idad ya nguo za kuvaa...kiufupi nilienjoy love yaan nilipendeza hadi sio poa.

MIMI NIKAWA KIKWAZO TENA CHA FURAHA YAKE[emoji22]

Nilipozidi kupendeza zaid wanawake wakaanza kunyapia nyapia Ohoooo! Niliwaburuza mbaya mbovu sio kina mama sio mabint yaan nilisaga kama Crusher linavyosaga mawe hadi kuna cku moja cwez sahau nilienda nae mkoa jirani tukala bata mnoo na mzigo alikua ananipa wotee yaan kama wote(alikua ni mwanamke haswaa yaan ni mwanamke kwel kwel maan kuna kipind nikiwa nae faragha hadi mate yanataka kudondoka the way alivyokua sex) ila sisi wanaume bhana bas 2[emoji1784],

Baada ya kama cku 3 hv tukarudi hyo cku yy hakwenda kazin alishind amelala 2 maan ucku wa jana jana alichezea mnooo[emoji23][emoji23].... akat yy kaenda kwake kupumzika mm nikaenda mageton kwa jamaa yangu (by then me nilikua napoa home 2) so pale kwa jamaa angu kuna manz nkampanga hyohyo asubhi na yy akachezea mamb ya studio had kne mchna mchna hv sasa huyo jamaa angu baada ya manz kutoka akaja akaniuliza "prince c umetoka kwa vaccation na shem leo2 sasa mbna tena untoka na mwnamke mwingine asubh yote hii??? Je shem angekufumania ungemjibu nn?? Duh yaan niliinama chn roho yangu ikanisuta sna but sikuacha hyo tabia.

Mara kadhaa tulipokua sote faragha nilikua na tabia ya kuzima cm au kuweka flight mode ambapo baadae aliigundua hyo tabia na cku moja alifanikiwa kuzijua patterns za cm yangu akasoma txt zote na picha zote za wanawake wengine hyo cku nilikua na kama nipo ndoton hv nilikiota kua kuna m2 pemben yangu analia kwa kilio chene kwikwi ndan yake[emoji848] ile najigeuza hv kumbe haikua ndoto bhana ni yeye Mpenzi wang alikua analia kimya kimya huku ameshika cm yangu[emoji1784] aloooo nilihis mwili unepigwa shot ya umeme yaan nilitetemeka balaa maana alikua amelowa hadi kne mapaja maan alikua naked kbsa, machozi yalimwagika kwa kas sana kile kitendo kiukwel kilinifanya nkajioan binadamu wa hovyo sna kne hii sayari maan istoshe hata hyo cm alikua ameninunulia yeye [emoji22]

NITAENDELEA NDUG ZANGU CM ITAZIMA NIKO KNE SAFARINI[emoji2217]
Ngoja niweke hapa kiti niendelee kusubiri hii CHAI ipowe!!

Sent from my TECNO KD7 using JamiiForums mobile app
 
WANA JAMVI HABARI ZENU!

Ninachokiandika hapa ni ukwel 100% na imenitokea mm hapa mwenyew wala sio hadithi ya kusimuliwa na m2!!

TUANZIE HAPA.

Mnamo mwaka 2015 nilihitim elim yangu ya kidato cha sita na wakat nipo mtaan nilianzisha mahusiano na dada mmoja hv aliyekua mjasiriamali mzuri 2 mwenye kipato kinachotosheleza maisha ya kawaida ya mtanzania, huyu dada tulishwahi kuachana zaid ya mara 3 yote hiyo kwa7bu ckua nampenda hata kidogo.

Sema nilikua naanzisha mahusian nae then inatokea sababu ndogo 2 namuacha solemba ila hiko kipindi ndo nmemalza shule nilitokea kumpenda tena na hata yy alinipenda kupindukia yaan alikua anahuduumia kwa karibu kila k2 hadi lodge tulizokua tunaenda kula tunda alilipia mwenywe kwa gharama zake (nyumban kwake alikua anaishi na ndug zake hvo haikua jambo la busara mm kua naenda kulia tunda hapo)

Asubh nakutana na sup maji makubwa,mchana wali samaki au nyama choma yaan kiukwel huyu dada alinipenda mnooo maana alikua ananipeleka shopping nachagua nguo ninazotaka hadi boxer alikua ananinunulia tena zilikua znakaribia kuzid idad ya nguo za kuvaa...kiufupi nilienjoy love yaan nilipendeza hadi sio poa.

MIMI NIKAWA KIKWAZO TENA CHA FURAHA YAKE😢

Nilipozidi kupendeza zaid wanawake wakaanza kunyapia nyapia Ohoooo! Niliwaburuza mbaya mbovu sio kina mama sio mabint yaan nilisaga kama Crusher linavyosaga mawe hadi kuna cku moja cwez sahau nilienda nae mkoa jirani tukala bata mnoo na mzigo alikua ananipa wotee yaan kama wote(alikua ni mwanamke haswaa yaan ni mwanamke kwel kwel maan kuna kipind nikiwa nae faragha hadi mate yanataka kudondoka the way alivyokua sex) ila sisi wanaume bhana bas 2🤧,

Baada ya kama cku 3 hv tukarudi hyo cku yy hakwenda kazin alishind amelala 2 maan ucku wa jana jana alichezea mnooo😂😂.... akat yy kaenda kwake kupumzika mm nikaenda mageton kwa jamaa yangu (by then me nilikua napoa home 2) so pale kwa jamaa angu kuna manz nkampanga hyohyo asubhi na yy akachezea mamb ya studio had kne mchna mchna hv sasa huyo jamaa angu baada ya manz kutoka akaja akaniuliza "prince c umetoka kwa vaccation na shem leo2 sasa mbna tena untoka na mwnamke mwingine asubh yote hii??? Je shem angekufumania ungemjibu nn?? Duh yaan niliinama chn roho yangu ikanisuta sna but sikuacha hyo tabia.

Mara kadhaa tulipokua sote faragha nilikua na tabia ya kuzima cm au kuweka flight mode ambapo baadae aliigundua hyo tabia na cku moja alifanikiwa kuzijua patterns za cm yangu akasoma txt zote na picha zote za wanawake wengine hyo cku nilikua na kama nipo ndoton hv nilikiota kua kuna m2 pemben yangu analia kwa kilio chene kwikwi ndan yake🤔 ile najigeuza hv kumbe haikua ndoto bhana ni yeye Mpenzi wang alikua analia kimya kimya huku ameshika cm yangu🤧 aloooo nilihis mwili unepigwa shot ya umeme yaan nilitetemeka balaa maana alikua amelowa hadi kne mapaja maan alikua naked kbsa, machozi yalimwagika kwa kas sana kile kitendo kiukwel kilinifanya nkajioan binadamu wa hovyo sna kne hii sayari maan istoshe hata hyo cm alikua ameninunulia yeye 😢

NITAENDELEA NDUG ZANGU CM ITAZIMA NIKO KNE SAFARINI🚶🏽‍♂️
Pumbavu!
 
Sidhani kama n sahihi ila mwamba alichokosea ni kubembeleza sana, kulia lia. Huenda angeomba msamaha alafu akaendelea na maisha isingefikia huko ilipofikia.
Hata kubembeleza kidogo haitakiwi, Situation kama hiyo mwamba ilimbidi amuache demu alie mpaka amalize mwenyewe,,

baada ya hapo ndipo wayajenge na sio kubembeleza,, Kubembeleza after kufumaniwa ni mwiko kwa mwanaume, Yani maana yake unakiri ulichokifanya...huyo lazima ale kichwa chako, maana atakuona mnyonge kwamba anakumudu kwenye visanga vya namna hiyo,, unapoteza kete za ushindi zote,

Wanawake wana kiasili cha kupenda uwe na ubandidu fulani hivi hata kama kakufuma hivii live,, japo hawajawahi kukiri hilo..
 
Hata kubembeleza kidogo haitakiwi, Situation kama hiyo mwamba ilimbidi amuache demu alie mpaka amalize mwenyewe,,

baada ya hapo ndipo wayajenge na sio kubembeleza,, Kubembeleza after kufumaniwa ni mwiko kwa mwanaume, Yani maana yake unakiri ulichokifanya...huyo lazima ale kichwa chako, maana atakuona mnyonge kwamba anakumudu kwenye visanga vya namna hiyo,, unapoteza kete za ushindi zote,

Wanawake wana kiasili cha kupenda ubandidu fulani hata kama kakufuma hivii live,, japo hawajawahi kukiri hilo..
ahsante kwa kuniongezea maarifa mkuu, inawezekana alimpoteza kwa sababu hiyo pia.
 
Back
Top Bottom