Sintosahau nilivyosota miaka miwili bila kukutana kimapenzi na mama mtoto wangu

Ngoja niweke hapa kiti niendelee kusubiri hii CHAI ipowe!!

Sent from my TECNO KD7 using JamiiForums mobile app
 
Pumbavu!
 
Sidhani kama n sahihi ila mwamba alichokosea ni kubembeleza sana, kulia lia. Huenda angeomba msamaha alafu akaendelea na maisha isingefikia huko ilipofikia.
Hata kubembeleza kidogo haitakiwi, Situation kama hiyo mwamba ilimbidi amuache demu alie mpaka amalize mwenyewe,,

baada ya hapo ndipo wayajenge na sio kubembeleza,, Kubembeleza after kufumaniwa ni mwiko kwa mwanaume, Yani maana yake unakiri ulichokifanya...huyo lazima ale kichwa chako, maana atakuona mnyonge kwamba anakumudu kwenye visanga vya namna hiyo,, unapoteza kete za ushindi zote,

Wanawake wana kiasili cha kupenda uwe na ubandidu fulani hivi hata kama kakufuma hivii live,, japo hawajawahi kukiri hilo..
 
ahsante kwa kuniongezea maarifa mkuu, inawezekana alimpoteza kwa sababu hiyo pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…