Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Si alisema hakuwa anampendaHuwezi jua alichokua anapewa ndani ukiondoa zile boxers, pesa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si alisema hakuwa anampendaHuwezi jua alichokua anapewa ndani ukiondoa zile boxers, pesa
Kasema baada ya kuachwa ndo alijua kiasi gani aliipenda ile pisiSi alisema hakuwa anampenda
Hiyo kitaalam ni kutambua thamani ya mtu baada ya kumpoteza, inauma mno hasa pale ambapo hukutegemea kama ataweza kukuacha na uliona hana nguvu hiyo.Kasema baada ya kuachwa ndo alijua kiasi gani aliipenda ile pisi
Kuna cha kujifunza hapo!!Hiyo kitaalam ni kutambua thamani ya mtu baada ya kumpoteza, inauma mno hasa pale ambapo hukutegemea kama ataweza kukuacha na uliona hana nguvu hiyo.
HakikaKuna cha kujifunza hapo!!
Nilimuachia Mke wangu nyumba... Kuna Uzi niliweka humu.... Watoto nikawa nasomesha na nyumba nimemuachia ... Nikaanza upya.... Acheni tu...makosa yake sikupeleka kwetu Wala kwao.... Ila tu nikahama nyumbani.... Ndio alijua Nini maana ya "Mume" na "Bwana"... Tumezaaa watoto wa4 ..Mkubwa wa kiume wengine wa kike.... Nasomesha wote shule za kulipia .... Ni mwezi wa nane Sasa .... Anaomba tukapime ......nshamwambia naishi Kwa ajili ya watoto.... Sio wewe... Najitafuta Bado maana hata kama sio wa kwangu.... Maana alichonifanyia .. nyieeeee.... Bado najitafuta.... Uzuri watoto wote nimewalea tangu wanazaliwa.... Ila wanawake Mungu anawaona.... Hawa watoto naamini ni wangu hata Kwa nililo mkuta anafanya.... Ameshajaribu kujiua mara mbili tunamuwahi...Siyo makosa yako, mwanamme yeyote anayetunzwa na mwanamke huwa hana akili, umaskini wa akili kipato mpaka morals.
Ni laana kutunzwa kila kitu na ke.
nb: hakuna haja ya kumalizia.
"Niliwaburuza mbaya mbovu sio kina mama sio mabint yaan nilisaga kama Crusher linavyosaga mawe "WANA JAMVI HABARI ZENU!
Ninachokiandika hapa ni ukwel 100% na imenitokea mm hapa mwenyew wala sio hadithi ya kusimuliwa na m2!!
TUANZIE HAPA.
Mnamo mwaka 2015 nilihitim elim yangu ya kidato cha sita na wakat nipo mtaan nilianzisha mahusiano na dada mmoja hv aliyekua mjasiriamali mzuri 2 mwenye kipato kinachotosheleza maisha ya kawaida ya mtanzania, huyu dada tulishwahi kuachana zaid ya mara 3 yote hiyo kwa7bu ckua nampenda hata kidogo.
Sema nilikua naanzisha mahusian nae then inatokea sababu ndogo 2 namuacha solemba ila hiko kipindi ndo nmemalza shule nilitokea kumpenda tena na hata yy alinipenda kupindukia yaan alikua anahuduumia kwa karibu kila k2 hadi lodge tulizokua tunaenda kula tunda alilipia mwenywe kwa gharama zake (nyumban kwake alikua anaishi na ndug zake hvo haikua jambo la busara mm kua naenda kulia tunda hapo)
Asubh nakutana na sup maji makubwa,mchana wali samaki au nyama choma yaan kiukwel huyu dada alinipenda mnooo maana alikua ananipeleka shopping nachagua nguo ninazotaka hadi boxer alikua ananinunulia tena zilikua znakaribia kuzid idad ya nguo za kuvaa...kiufupi nilienjoy love yaan nilipendeza hadi sio poa.
MIMI NIKAWA KIKWAZO TENA CHA FURAHA YAKE[emoji22]
Nilipozidi kupendeza zaid wanawake wakaanza kunyapia nyapia Ohoooo! Niliwaburuza mbaya mbovu sio kina mama sio mabint yaan nilisaga kama Crusher linavyosaga mawe hadi kuna cku moja cwez sahau nilienda nae mkoa jirani tukala bata mnoo na mzigo alikua ananipa wotee yaan kama wote(alikua ni mwanamke haswaa yaan ni mwanamke kwel kwel maan kuna kipind nikiwa nae faragha hadi mate yanataka kudondoka the way alivyokua sex) ila sisi wanaume bhana bas 2[emoji1784],
Baada ya kama cku 3 hv tukarudi hyo cku yy hakwenda kazin alishind amelala 2 maan ucku wa jana jana alichezea mnooo[emoji23][emoji23].... akat yy kaenda kwake kupumzika mm nikaenda mageton kwa jamaa yangu (by then me nilikua napoa home 2) so pale kwa jamaa angu kuna manz nkampanga hyohyo asubhi na yy akachezea mamb ya studio had kne mchna mchna hv sasa huyo jamaa angu baada ya manz kutoka akaja akaniuliza "prince c umetoka kwa vaccation na shem leo2 sasa mbna tena untoka na mwnamke mwingine asubh yote hii??? Je shem angekufumania ungemjibu nn?? Duh yaan niliinama chn roho yangu ikanisuta sna but sikuacha hyo tabia.
Mara kadhaa tulipokua sote faragha nilikua na tabia ya kuzima cm au kuweka flight mode ambapo baadae aliigundua hyo tabia na cku moja alifanikiwa kuzijua patterns za cm yangu akasoma txt zote na picha zote za wanawake wengine hyo cku nilikua na kama nipo ndoton hv nilikiota kua kuna m2 pemben yangu analia kwa kilio chene kwikwi ndan yake[emoji848] ile najigeuza hv kumbe haikua ndoto bhana ni yeye Mpenzi wang alikua analia kimya kimya huku ameshika cm yangu[emoji1784] aloooo nilihis mwili unepigwa shot ya umeme yaan nilitetemeka balaa maana alikua amelowa hadi kne mapaja maan alikua naked kbsa, machozi yalimwagika kwa kas sana kile kitendo kiukwel kilinifanya nkajioan binadamu wa hovyo sna kne hii sayari maan istoshe hata hyo cm alikua ameninunulia yeye [emoji22]
NITAENDELEA NDUG ZANGU CM ITAZIMA NIKO KNE SAFARINI[emoji2217]
Ndugu yangu we acha tu maisha ni safari ndefu sana yenye milima na mabonde.Kuna mambo yanasikitisha sana...
Vibuno ndo nn mwana jamvi?Wewe ni vile vibuno vya Zuchu
Ujana maji ya moto"Niliwaburuza mbaya mbovu sio kina mama sio mabint yaan nilisaga kama Crusher linavyosaga mawe "
CHAI
Kaangalie wimbo wa Honeeeeeyyyy ule wa Zuchu, ndy utaona vibunooo...Vibuno ndo nn mwana jamvi?
Kiukweli huaga sipendelei hizo nyimbo hivo sizani kama nitakua na muda wa kuangalia...M sorry!!!Kaangalie wimbo wa Honeeeeeyyyy ule wa Zuchu, ndy utaona vibunooo...
Cjawah penda hv aiseé [emoji23][emoji1787][emoji23][emoji28] na sijui km itatoke..
NAUNGA MKONO HOJA.Wewe ni vile vibuno vya Zuchu
NAUNGA MKONO HOJA.