Sinza, Dar: La Chaaz Bar yateketea kwa moto

La chaz ipo sehemu gani sinza? Na bia kubwa ni sh ngapi? Nataka niwe naenda kupoza koo.
 
Naomba hata nisiseme. Na sisi tuko na changamoto nae. Hoping hatutafika kupelekana mbali
Mkuu funguka, inaonesha mmiliki msanii flani kwa baadhi ya comments humu japo naendaga kuna mishkak mitam cjuwagi nani mmiliki
 
Noise pollution
Duuuh, wamepigwa za kwenye pumb aisee hata nusu ya hela sidhani ka wamerudisha...ila ile location sio na walivyoanza liveband zile za djmix ndo waliharibu full makelele kasehem kenyewe kadogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…