miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,411
- 11,025
Pole Simara, msamehe tu huyo mpuuzi mwingine
Inawezekana pia twin...lkn mambo ya insurance siku hizi ndo habaree ya mjini
Ha ha ha twin umechafukwa
Tafsiri ilikuwa hii, ilinigharimu chini ya wiki moja kuteketeza hiyo pesa. Naamini kipindi kile nilikuwa nimerogwa coz soon baada ya hela kuisha nilisaga na rumba Hadi mwisho.Sijaona sehemu aliyosema iliisha ndani ya siku moja.inaweza ikawa alikua akienda mara kwa mara na kwa mahesabu yake 7m imeishia pale na inawezekana kabisa.
Zamani igo bar daah vikao vya nancy wa rahatupu tulikua tunafanyia pale.....Au fitna za biashara...kule nako upinzani ni mkubwa, si unaona hata boardroom ilipigwa lokii
Wanyonge wanakimbilia bia huku Moto ukiendeleaAnayeendesha biashara ni eduard david urio... namhurimia sana. Hela aliyoweka hapo si mchezo. Nikiitaja watu watasema naweka fix. Ila ni pesa ndefu. Najiuliza mbona ni juzi tu marekebisho yalifanyika. Sitaki kufikiria sana kama ni mambo ya bima aisee.
Board room kuna mtu alisema wamesimamisha operations.Itabidi uhamie Board room sasa
Wanawapigia kelele majiraniHivi nini kisa cha board room kufungwa mkuu
Kwa iyo unajiona wa maana sana kumpa huo ushauri......mi nasema bora iyo ela katumia kwenye pombe maana huko shambani angeliaWatu wengine kwa fix hamjambo aiseee so Million 7 kwa ajili ya kunywa tu?Uongo mwingine ni wa kipuuzi sana....Si bora unge ivest hiyo M7 shambani ukazalisha mazo au kununua kiwanja...
Watu wanapachukulia poa pale... Ukiingia saa tano usiku hutoki unajikuta imefika saa saa 12 asubuhi.. ukitoka mule lounge unaona nje wanafagia na msanii yule wa Nako2Nako Yuko counter ya nje anamalizia kuomba omba bia pale kwa Madon.[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
Mi nilipoteza 1m kimazingara pale huwezi amini
Anataka kuwa wa kwanza kuripoti tukio.Pupa ya nini, kwani unaufuzwa, andika vizuri
Anayeendesha biashara ni eduard david urio... namhurimia sana. Hela aliyoweka hapo si mchezo. Nikiitaja watu watasema naweka fix. Ila ni pesa ndefu. Najiuliza mbona ni juzi tu marekebisho yalifanyika. Sitaki kufikiria sana kama ni mambo ya bima aisee.
Wale maison bana kvant kubwa 80elfu daahHio ni hela ya Kunywea Maison hata hizo ulizotaja bado hazifikii[emoji23] maana Maison wana package hadi ya million12
Eduard na Davis ni mtu mmoja au ndugu?Anayeendesha biashara ni eduard david urio... namhurimia sana. Hela aliyoweka hapo si mchezo. Nikiitaja watu watasema naweka fix. Ila ni pesa ndefu. Najiuliza mbona ni juzi tu marekebisho yalifanyika. Sitaki kufikiria sana kama ni mambo ya bima aisee.
Huko manjunju sitaki hata kukusikia. Jumapili iliyopita tumekunywa pub fulani hela niliyotumia na kiwango nilicholewa hakuna uwiano.Ushachelewa imeungua....njoo tu huku mwananyamala manjunju ujifariji hata kwenye kigrocery
Hahaaha kipindi naingia pale halikua danguro la malaya ila ile nyomi hapana kwa kweli......walipoanza kujaa malaya ikawa nyomi *2Watu wanapachukulia poa pale... Ukiingia saa tano usiku hutoki unajikuta imefika saa saa 12 asubuhi.. ukitoka mule lounge unaona nje wanafagia na msanii yule wa Nako2Nako Yuko counter ya nje anamalizia kuomba omba bia pale kwa Madon.
Wamasai na Mabaunsa wote wamelewa, Dada zangu Makahaba waliochunda nao wamelewa balaa.
Mjomba ako nlikuwa nakaa nyuma ya wanyama Hotel, naenda kupumzika tu jioni mapema niko naanzia Tegeta pale China Bar pametulia ikifika saa tano Niko La Chaaz humo ndio nafanya unyama.
Niliteketeza hela pale La Chaaz to the extent nikapachukia saana.
Anayeendesha biashara ni eduard david urio... namhurimia sana. Hela aliyoweka hapo si mchezo. Nikiitaja watu watasema naweka fix. Ila ni pesa ndefu. Najiuliza mbona ni juzi tu marekebisho yalifanyika. Sitaki kufikiria sana kama ni mambo ya bima aisee.