Sinza, Dar: La Chaaz Bar yateketea kwa moto

Ila majority ni kama wamefurahi jamaa kuanguka sababu wana grudges nae. Sijajua hili unalizungumziaje?
Siwezi wasemea aisee maana wao sijui wana issue gani. Na sitapenda funguka sana juu ya issue yetu ila ni jambo linaloeleweka.. ni 3rd part ameongezeka ndo analeta changamoto. Kama anamboost jamaa. Hata sikafurahia. Janga la moto tuko experienced nalo sitacheka. Na maybe si yeye davie amekosana na wanaofurahia maybe ni watendaji wake so siwezi semea neno.
 
Ukikutana nao asubuhi make up imefagiwa na jasho la usiku kucha unaweza kuhisi ni wachezaji wa mpira wa Njombe mji. [emoji16][emoji16]

Maisha haya nyie! Tuacheni tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Asante sana kwa kunifurahisha jioni ya leo. Umeandika kwa uchungu sana
 
Kwa uchache tu inaonesha ana asili ya udhulumati kama kawaida ya wachaga wengi kurusha hela za wenzao!
Mh...! Fedha haina kabila, fedha haina dini, fedha haina baba, fedha haina mama, fedha haina mke/mume. Kwenye mambo ya fedha usimwamini mtu yoyote na wkati wowote. Pigia mstari haya maneno. Mimi nilidhulimiwa na mnyasa (watu wanasema ni watu wapole) na alinikana kwa macho makavu kabisa bila kutetereka.
 
hahahahahahahaahahah kmmmmmk
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sitaki mimi ngoja nikalale[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Weka bana acha uoga watu tunamuuzia vipuli Elon Musk tukibandika figa si utazimia kabisa
 
Huu mchezo unakula na meneja wa bima husika
Sema mmoja akienda tofauti mbeleni tatizo ,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

All in all mkimaliza dili vizuri mbona bingo
 
Huu uzi umeandikwa chap km mtu anakimbizwa na jambazi[emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…