Ila mjini kuna mambo mengi luv, ukifatilia sana unaishia kuji stress tyuuhMaisha yana siri nyingi, kuna mambo mengi. Ukiacha mambo ya kimjini. Kuna watu wana biashara zaidi ya 3. Ukiona hiyo huenda kuna ambazo zinamwingizia pesa nyingi zaidi. Kuweza kuwa na maisha ya juu. Watu wanachakarika acha kabisa, maisha mazuri yana gharama zake.
Kwani wao walisema wanakuelewa mkuu?Hawa wenye vifrem vya nguo huku mtaani kasoro kasoro kariakoo sijawahi kuwaelewa
Hii hii ambayo ndege inaanguka kwenye 1.01× au wao wana aviator yao specialAVIATOR
Unajua la wedding Lydia karibu njia ya kwenda small planet au lachaaz ? Upande huu wa daladala unaopita kwenda shekilangoHapo mnauza simu na chaji au sio karibu na Dallas car wash.
Sana luv ake. Ni kuishi maisha yako ma kuenjoy vile uwezavyo. Mjini mambo ni mengi sana unaweza vurugwa 😅😅😅😅😅Ila mjini kuna mambo mengi luv, ukifatilia sana unaishia kuji stress tyuuh
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Niliajiriwa hapo mkuu..... Kabla sijapata intern ko nikipata nafasi napita kusaidia,Maeneo yangu kabisa hayo mkuu.
Nikiwa nazurula lazima nipite hiyo njia.
Pambana mkuu siunaona hii ground sio Ngoma ya kitoto kwamba haikeshi.?
Hamna noma mkuu nitapita hapo nikiwa niko fresh.Mnauza niniUnajua la wedding Lydia karibu njia ya kwenda small planet au lachaaz ? Upande huu wa daladala unaopita kwenda shekilango
Ama duka la nandy lilipo, au Lucy bridal unapahamu
Kuna point km ya kuuza burger hiv
Nguo za kina mama mabintiHamna noma mkuu nitapita hapo nikiwa niko fresh.Mnauza nini
Daah nitakuja kumnunulia nguo mke wangu siku moja.Nguo za kina mama mabinti
Haina nouma mshua...... karibu sana..Daah nitakuja kumnunulia nguo mke wangu siku moja.
apiga udalali wa nn mkuuDaah nitakuja kumnunulia nguo mke wangu siku moja.
MagariUn
apiga udalali wa nn mkuu
Mi nimeona duka wanauza socks tuHamna duka la namna hiyo Sinza
Hongera mkuu..... Kupambana muhimu aseehMagari
Nyumba
Ardhi
Na pia kwenda kuwachukulia wateja bidhaa zao kwenye maduka na kuwatumia mikoani.
Hizo za kawaida hapa souz kuna watz wana vidukq wameweka viata vya kuchumpa hvbtimerland, na pipi na vitu vidogo vidogo lkn bwana nje anapaka audi mpyq kali sana hiko kinakuwa kama kituo chake cha madili wauzq madawa ndio zao hzo akikamatwa anasema nina duka.Kwani wao waweze wana nini na sisi tushindwe tuna nini, tupeane madini please.
Huku wengine tunawahi kuamka kwenda makazini, vibaruani, madukani, maofisini, n.k. kuna wenzetu wenye frem Sinza wanaamka saa tatu jua lishachomoza
Maduka yanafunguliwa saa nne hadi tano, ajabu vitu vinavyouzwa ni vichache vinahesabika lakini ndani kuna AC, Wifi, Dstv, misosi ya maana inaletwa halafu nje imepaki chuma ya bei ndefu.
Tufumbuane macho