Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 3,711
- 6,762
Nilipata intern nilifanya kipindi nimemaliza chuo lkn ni floor ya chini kabisa unaniambia nikupe maelekezo tuu boss..... Japo naenda mara moja mojaOk shukran sana kwa mrejesho barikiwa sana kuna siku nitakuja kukuungisha. Nikijua floor uliyopo
SawaNilipata intern nilifanya kipindi nimemaliza chuo lkn ni floor ya chini kabisa unaniambia nikupe maelekezo tuu boss..... Japo naenda mara moja moja
kila la heri mkuuMimi nipo tayar mkuu
Bumbavu.Zimepikwa hzo hela ohoo! Fanyeni kazi hata kama unapata mia 2 na unaamani just keep itup.
china anaenda kama Punda wa Pele akirudi anarudi na mzigo balo moja ya tshirt analopakia Silent oceanUtuambie tshrt nne na raba nane zinakulipaje na china unaenda 😂
labda nikuulize wewe mwenye X-mas moja mjiniSkaba scuba unamjua au unachafua watu tu?
SembeKwani wao waweze wana nini na sisi tushindwe tuna nini, tupeane madini please.
Huku wengine tunawahi kuamka kwenda makazini, vibaruani, madukani, maofisini, n.k. kuna wenzetu wenye frem Sinza wanaamka saa tatu jua lishachomoza
Maduka yanafunguliwa saa nne hadi tano, ajabu vitu vinavyouzwa ni vichache vinahesabika lakini ndani kuna AC, Wifi, Dstv, misosi ya maana inaletwa halafu nje imepaki chuma ya bei ndefu.
Tufumbuane macho
haya ,ngoja tutafute nauli tuje ila msitukimbie bana
Unamjua Scaba scuba au unaandika tu?labda nikuulize wewe mwenye X-mas moja mjini
Hebu fikiria mtu ana fixed deposit mahali mathalani 500,000,000/=na ana sharesKwani wao waweze wana nini na sisi tushindwe tuna nini, tupeane madini please.
Huku wengine tunawahi kuamka kwenda makazini, vibaruani, madukani, maofisini, n.k. kuna wenzetu wenye frem Sinza wanaamka saa tatu jua lishachomoza
Maduka yanafunguliwa saa nne hadi tano, ajabu vitu vinavyouzwa ni vichache vinahesabika lakini ndani kuna AC, Wifi, Dstv, misosi ya maana inaletwa halafu nje imepaki chuma ya bei ndefu.
Tufumbuane macho
Wanauzia kwenye mabegi! Mabugota a'kulebya mzehe aenayo!Kwani wao waweze wana nini na sisi tushindwe tuna nini, tupeane madini please.
Huku wengine tunawahi kuamka kwenda makazini, vibaruani, madukani, maofisini, n.k. kuna wenzetu wenye frem Sinza wanaamka saa tatu jua lishachomoza
Maduka yanafunguliwa saa nne hadi tano, ajabu vitu vinavyouzwa ni vichache vinahesabika lakini ndani kuna AC, Wifi, Dstv, misosi ya maana inaletwa halafu nje imepaki chuma ya bei ndefu.
Tufumbuane macho
Hiyo.kazi yakububujikwa machozi boss mwachie Lucas Mwashambwa!Kitendo cha wewee kwenda kufanya stock duka la watu kimenitoa machozi 🥲
ni mungu wako au ?Unamjua Scaba scuba au unaandika tu?
Tuache mentallity za kuona wenye maduka ni wauza ngada .Kwani wao waweze wana nini na sisi tushindwe tuna nini, tupeane madini please.
Huku wengine tunawahi kuamka kwenda makazini, vibaruani, madukani, maofisini, n.k. kuna wenzetu wenye frem Sinza wanaamka saa tatu jua lishachomoza
Maduka yanafunguliwa saa nne hadi tano, ajabu vitu vinavyouzwa ni vichache vinahesabika lakini ndani kuna AC, Wifi, Dstv, misosi ya maana inaletwa halafu nje imepaki chuma ya bei ndefu.
Tufumbuane macho
Ha ha ha ha haMimi ni mtu wa dini hata kanisani kiti changu ni cha mbele.
Ha ha ha ha haNaona wenye maduka yao wameipinga vikali hii post....
Oya Extrovert Vipi torati inasemaje kuhusiana na hili? Maana nimewahi kuuona huu mjadala kule kijijini Instagram na ulikuwa na comments nyingi sana za kuogofya.