Sinza duka linafunguliwa saa 5, kuna T shirt 4, Jinsi 3 ila ndani full AC, Wifi, Dstv, Nje imepaki ndinga ya milioni 50+, wenzetu wanafanye?

Zimepikwa hzo hela ohoo! Fanyeni kazi hata kama unapata mia 2 na unaamani just keep itup.
 
Pale unakuta ni sample tu na ofisi ya kufanya shughuli zingine kama online ,transactions ila duka lenyewe lipo kariakoo
 
Kila mwezi nyuzi za sinza sinza sinza sinza we are fed up
 
Kwani wao waweze wana nini na sisi tushindwe tuna nini, tupeane madini please.

Huku wengine tunawahi kuamka kwenda makazini, vibaruani, madukani, maofisini, n.k. kuna wenzetu wenye frem Sinza wanaamka saa tatu jua lishachomoza

Maduka yanafunguliwa saa nne hadi tano, ajabu vitu vinavyouzwa ni vichache vinahesabika lakini ndani kuna AC, Wifi, Dstv, misosi ya maana inaletwa halafu nje imepaki chuma ya bei ndefu.

Tufumbuane macho
Sembe
 
Hebu fikiria mtu ana fixed deposit mahali mathalani 500,000,000/=na ana shares
mahali mathalani tsh 1,000,000,000/=na amefungua duka kama mahali pakuongelea,inakuhusu nini?
 
Kwani wao waweze wana nini na sisi tushindwe tuna nini, tupeane madini please.

Huku wengine tunawahi kuamka kwenda makazini, vibaruani, madukani, maofisini, n.k. kuna wenzetu wenye frem Sinza wanaamka saa tatu jua lishachomoza

Maduka yanafunguliwa saa nne hadi tano, ajabu vitu vinavyouzwa ni vichache vinahesabika lakini ndani kuna AC, Wifi, Dstv, misosi ya maana inaletwa halafu nje imepaki chuma ya bei ndefu.

Tufumbuane macho
Wanauzia kwenye mabegi! Mabugota a'kulebya mzehe aenayo!
 
Inayoonekana sio biashara halisi, biashara anayo moyoni na moyoni hakuna TRA, wala halmashauri.
 
Kwani wao waweze wana nini na sisi tushindwe tuna nini, tupeane madini please.

Huku wengine tunawahi kuamka kwenda makazini, vibaruani, madukani, maofisini, n.k. kuna wenzetu wenye frem Sinza wanaamka saa tatu jua lishachomoza

Maduka yanafunguliwa saa nne hadi tano, ajabu vitu vinavyouzwa ni vichache vinahesabika lakini ndani kuna AC, Wifi, Dstv, misosi ya maana inaletwa halafu nje imepaki chuma ya bei ndefu.

Tufumbuane macho
Tuache mentallity za kuona wenye maduka ni wauza ngada .
Maduka ya Sinza mengi wanauza "online" , dukani bossi yupo instagram 24/7, anaposti ukiona unalipa namba , kuna boda wa delivery na ya usafiri unalipa.

Haya yote ndio akina Trump walianza kabla wewe hujazaliwa huko Namanyere, huhitaji kwend adukani , unaokoa muda na gharama.
Flana Moja Sinza inauzwa Tshs 50,000 na kwa siku anauza kama 4 tu, anauza pochi na viatu hao ni waliokuja dukani ila wa online ni wengi.
 
Back
Top Bottom