Malaika wa Kifo
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 4,052
- 4,621
Tunaomba utoa taarifa kituo cha polisi kilicho karibu naweHuyu naye ni wa hapa hapa Sinza kwa Remi, ana bastola lakini ana akili kama za yule aliyeua, msijesema hatukuwaambia, enyi polisi, huyu hutoa silaha hadharani na kutishia.
haha.... Tuache masihala yule muuaji wa sinza alikuwa below 40yrs!!!. Sura yake tu inaonesha yule mtu ni above 45Sheria ya kumiliki silaha iangaliwe upya... chini ya miaka 40 ni tatizo kubwa...
Sasa mnaona jamaa katuachia mkewe - tufanyeje ssa sisi majirani?
Wenye kusumbua na bastola ni wachacheWambura wapo wengi
Ajali moja ya bodaboda usikufanye uache kupanda usafiri wa bodaboda... asanteSheria ya kumiliki silaha iangaliwe upya... chini ya miaka 40 ni tatizo kubwa...
Sasa mnaona jamaa katuachia mkewe - tufanyeje ssa sisi majirani?
[emoji23][emoji23]Wambura na Bastola wapi na wapi.
Wao si wanapiga tu visu?
Yule wa Itunge lodge ni mchagaHakuna MNYAKYUSA aitwe Koroso nakataa,hilo jina hamna kule huyo pimbi katoka huko Moshi
Kwahiyo hadi post hii niko na na vichaa 22 humu jf.Nadhani ifike mahali Serikali kabla haijampa mtu kibali cha kumiliki sihala ni vizuri akapimwe akili.
Ukizingatia kuwa kwa utafiti uliofanyika huko nyuma kwamba kati ya Watanzania 4 mmoja ni kichaa,huenda Hawa vichaa ndio wanaomilikishwa silaha!
maana jamaa bila bastola atakuwa kama nyuki wa mashine au joka la kibisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mi nadhani kilichowekwa salama hapo ni hiko kimondo alichokuwa akiringia. Ni kama kumtoa meno na kucha Simba halafu unampa kibali cha kuzurura mjini maana jamaa bila bastola atakuwa kama nyuki wa mashine au joka la kibisa
Sio kweli mkuu!Alex Korosso wachaga wamemkana. Huyu ni MNYAKYUSA wa Mbeya. Wachaga wakiua huwa hawajiui na wao. Ukiona mtu kajiua ujue ni mhehe au mnyakyusa.
Moshi wanamfahamu huyo aliyejiuaAlex Korosso wachaga wamemkana. Huyu ni MNYAKYUSA wa Mbeya. Wachaga wakiua huwa hawajiui na wao. Ukiona mtu kajiua ujue ni mhehe au mnyakyusa.
Wakuria walivyo na akili fyatu ataua huyo, Polisi tafadhali sana mnyanganyeni hiyo silahaHuyu naye ni wa hapa hapa Sinza kwa Remi, ana bastola lakini ana akili kama za yule aliyeua, msijesema hatukuwaambia, enyi polisi, huyu hutoa silaha hadharani na kutishia.
Wamekuwa laini siku hizi hawawezi visu tenaWambura na Bastola wapi na wapi.
Wao si wanapiga tu visu?
Wachaga kwa wiki hii wamekua ni watu wa hovyo kuwahi kutokea. Matukio mfululizo kuwahusu ndgu zao tuu.Alex Korosso wachaga wamemkana. Huyu ni MNYAKYUSA wa Mbeya. Wachaga wakiua huwa hawajiui na wao. Ukiona mtu kajiua ujue ni mhehe au mnyakyusa.
Muheshimuni huyo mdada,bado ni shemeji yenu tuSheria ya kumiliki silaha iangaliwe upya... chini ya miaka 40 ni tatizo kubwa...
Sasa mnaona jamaa katuachia mkewe - tufanyeje ssa sisi majirani?
Bado unahangaika na hayati? Busara ikuongozeApelekwe Chato, akafungiwe kwenye yale mabati, apigwe na joto la yule aliyekuwa na faili Milembe Hadi akili na ufahamu vimrudie
Familia ya Mungai ni wenye pesa mno. Wanamiliki mashamba makubwa ya Chai na pia Kampuni ya Chaibora ni matajiri sanaHuyo mtoto wa Mungai ana pesa kweli, au anatengeneza propaganda ili aonekane anazo nyingi? Kwa sababu mzee wake kuwa waziri sio kipimo cha yeye kuwa na pesa ndefu. Nafikiri anajaribu kuwatia watu hofu ili aonekane anazo, na aogopwe.
Mkuu umeripoti kituo chochote cha polisi? Hebu mpigepicha nenda nayo kituo cha polisi wasipokusikiliza nenda pale Wizara ya Mambo ya Ndani ukatoe taarifa. Maana polisi wakati mwingine ni wazinguaji sana.Huyu naye ni wa hapa hapa Sinza kwa Remi, ana bastola lakini ana akili kama za yule aliyeua, msijesema hatukuwaambia, enyi polisi, huyu hutoa silaha hadharani na kutishia.
WitnessjMpelekeeni moto mpaka ajute kujidumbukiza kwa mme anayeua na kujiua[emoji101]