Sio Biblia sio Quran iloitaja umri wa mwanamke kuolewa hiyo 18 mmejitungia tu

Sio Biblia sio Quran iloitaja umri wa mwanamke kuolewa hiyo 18 mmejitungia tu

Hiyo miaka 18 ni jamii imeona ni mda sahihi ..maana kama ni mmea au mazao basi yanafaa sasa kuvunwa.

Na ndio maana hata mmea ukiachwa kuvunwa kwenye stage fulani badi unakomaa na kuoza.

Kwahiyo Kila kitu kina timing.
Miaka 18+ ni timing nzur kwa kizaz cha sasa.

Kwa Sheria ya TZ ni 15+ . Iwe kwa idhini ya wazazi na msichana asiwe mwanafunzi

sio Jamii bali ni wamagharibi, na sisi kwa vile nawatumwa wao wakifikra hua tunafata mkumbo tu
 
Mm nasema hamna kama kuna mwenye aya au ushahidi wowote aje nao nimpe 300,000 usiku huu

Muhammad (60) kwa Aisha ilikua sahihi
Na Joseph (63) kwa bikira Maria ni sawa

Hiyo 18 ni mbwembwe za waja, kama unaushaid iweke mbele weka lipa namba
Poa kama unabinti wanmiaka 9 upo tayari kupokea mahari,?!
 
Unaongea bila facts kama umotoka kunywa mataputapu
Facts zipi?

Nimekwambia hivi..👇

Kama ni sahihi binti kuolewa akiwa under 18, Wewe uko tayari kumtoa binti yako aolewe akiwa under 18?

Jibu swali, acha kukwepa swali.
 
9-12 hii Biology form one

Hiyo viungo kukomaa imeandikwa kwenye aya gani kwenye biblia au ushahidi wowote tu wa kimapokeo?

Sio ukomavu wa Viungo tu.
Ni hadi ukomavu wa kisaikolojia na uwajibikaji na akili.

Huwez oa mtoto kisa tu kaona period bas umzalishe.
Ndio maana wakaanzisha had Kungwi wakumuelewesha nn na nn afanye na asifanye.

Kuoa mtoto ni kumuonea.
 
Hayo yalikua hayapo kipind hicho, soma kichwa cha uzi usitoke kweNye muktadha
 
Zingatia muktadha
Biblia na Quran ni hekaya zilizoandikwa na wapumbavu wa kale.

Huyo Muhammad S.A.W ni Mbakaji kama wabakaji wengine.

Yeyote anayeoa au kufanya mapenzi na mtu under 18 huyo ni Pedophile.

Nyie ndio kina Jeffrey Eipstein.

WABAKAJI NA WALAWITI WA WATOTO!!
 
Sio ukomavu wa Viungo tu.
Ni hadi ukomavu wa kisaikolojia na uwajibikaji na akili.

Huwez oa mtoto kisa tu kaona period bas umzalishe.
Ndio maana wakaanzisha had Kungwi wakumuelewesha nn na nn afanye na asifanye.

Kuoa mtoto ni kumuonea.
Hawa ni Pedophiles.

Wakina Jeffrey Eipstein.
 
Uzi unasema Biblia na Quran hakuna nilipotaja waarabu kwenye uzi, kwahyo ishi humo
Sii kila kiandikwe kwenye hivyo vitabu vyenu common sense na akili ya kawaida inaweza kutumika..
 
Biblia na Quran ni hekaya zilizoandikwa na wapumbavu wa kale.

Huyo Muhammad S.A.W ni Mbakaji kama wabakaji wengine.

Yeyote anayeoa au kufanya mapenzi na mtu under 18 huyo ni Pedophile.

Nyie ndio kina Jeffrey Eipstein.

WABAKAJI NA WALAWITI WA WATOTO!!
Zingatia muktadha wa uzi
 
Back
Top Bottom